NCHIMBI AJITOKEZE AU SERIKALI ISEME ALIPO.

Samiaagain2025

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2020
Posts
4,686
Reaction score
5,144
Nchimbi ni mwanaCCM mwenzetu na makamu wa rais mstaafu.
Zaidi ya yote ni mtanzania.

Tunaomba serikali iseme aliko au yeye ajitokeze.
Tunajua yupo hai.
Sisi watanzania wa kusini tunajiuliza maswali mengi mfano:
1. Kwa nini asionekane kwenye uapisho wa makamu mpya wa rais ikiwa kujihudhuru kwake ni kwa kawaida?.
2. Kwa nini kama kuna kosa au makosa kafanya asishtakiwe?
3. Serikali haioni kwamba watu wanazidi kupata ushahidi kuwa watu wote waliopotea au kutekwa waliikosea serikali.
4. Familia yake nayo imeshikwa na kigugumizi kusema alipo baba wa familia?
5. Kazi na utu! Utu una maana gani?.

Naomba yeyote aliemshikilia amuachie au kama ni yeye ameamua kujifungia sehemu ajitokeze.
Tanzania hii ni yetu na kila mtu aliyemo atapita kama upepo.
Kwa niamba ya watu wa kusini mwa Tanzania.

Mungu aibariki Tanzania.
 
Mlikuwa mnashangilia na kulipa support shetani kwa kuiba kura, kuteka na kuua wapinzani, sasa limewafikia na ndio limeanza, list ya wana CCM waliodharirishwa,kupotezwa au kuuwawa inaanza kukua,wapi polepole, Ndugai, Nchimbi,simbachawene,Gwajima,Mhagama,Majaliwa(huyu hata ubunge alikatazwa kugombea),yule mjinga wa Bumbuli,Ummy etc
 
Cha ajabu alisema tarehe 4 ndio anatoka lakini mwingine kishaapishwa, na jinsi shetani lisivyo na aibu halisemi hata yuko wapi au nini kimetokea, ila kinachoudhi maboya ya CCM hayana hata uwezo wa kuuliza mwenzao yuko wapi,na haya ndio tuyaamini kulinda maliasili zetu na democracy, nchi mamake ni kama genge la wahuni tuu
 
Mimi fulani bin fulani naapa kwamba nitakuwa mwaminifu kwa serikali ya naniliu........."sitatoa Siri za serikali " ~ ewe Mwenyezi Mungu nisaidie.

Ukishaapa hivo ikatokea umeenda kinyume na kiapo chako lazima ile kwako . Wacha tuone
 
Mlikuwa mnashangilia na kulipa support shetani kwa kuiba kura, kuteka na kuua wapinzani, sasa limewafikia na ndio limeanza, list ya wana CCM waliodharirishwa,kupotezwa au kuuwawa inaanza kukua,wapi polepole, Ndugai, Nchimbi,simbachawene,Gwajima,Mhagama,Majaliwa(huyu hata ubunge alikatazwa kugombea),yule mjinga wa Bumbuli,Ummy etc

Tulia alikatazwa na ajiengue kwenye u spika.
 
1787805203929.jpg
 
Back
Top Bottom