Huja jibu swali. Nimekuuliza takwimu ya 99% umeitoa wapi? Kama ndiyo waliosoma ni utafiti upi unaonyesha kuwa Tanzania 99% ya wasomi ni Wakristo? Na pia je kigezo cha aliesoma ni nini (form 4, form 6, chuo?). Na je mashirika ya umma huajili hao unao waita wasomi tu?
vita vya panzi...
Swali la muhimu zaidi la kuuliza ni kwanini BAKWATA ndiyo inatoa mufti (sheikh mkuu) na si hizo taasisi zingine?
Kuna dini nyingi hapa duniani lakini ki ukweli waislam wananiboa
mufti vs ponda vs uamsho = ????
99% ya wafanyakazi mashirika ya umma na serekali ni wakiristo. nchi yetu ni maskini. rushwa inazidi kukua. tukijua hivyo tutaka KEKI ya Tanzania iliwe kwa pamoja. hichi mnakikimbia. Tushakutambueni zamani.
nYIE SEMENI CHADEMA HADI MUMIIZE KICHWA. WAKIRISTO SI MJIHESABU TU KWA KUSHIRIKIANA NA SEREKALI?
jana hukusikia Hotuba ya Mbowe bungeni kuhusu waislam watz? alikuwa anawakilisha nani? kama sio chamaya chadema yametoka wapi tena?
nDIO HOJA ZENU ZA KILA. MNAOGOPA MKIJUA WAISLAM WAPO WENGI HALAFU NYINYI NDIO MLIOSHIKA NCHI YENYE UFISADI WA KUTISHA. HAMNA JENGINE MNALOOGOPA.
Kha! Jamani pelekeni watotowenu shule
hii hali ni mbaya yaani kwa akili yako unaweza fikilia kuwa waislam wengi kuliko wakristo your lost.
naskia jana mumemtuma mbowe kuwakilisha bungeni. Hotuba yake imejaa udini
kusoma hujui basi hata picha hona.
Hapa tuna zungumzia kauli ya mufti ili yo jaa uelewa na usomi kama kiongozi wa dini.
VS
Kauli ya sheikh ponda isiyo ya uungwana na kupinga kauli ya mufti ya kuwahimiza watanzania kuhesabiwa kwa aajili ya maendeleo.
Ok tell us where did mbowe speech come from?
I think you should come down and try to think twice what to post!
I can see how you use to go off---point in your class exams.
jana umesikia hotuba ya Mbowe Dhidi ya uislam tz. umemsaidia kutunga au amechukua comment zako?
Huyu Ponda anayewadanganya waislamu eti katika dodoso la sensa kuna kuhesabu MISIKITI na MAKANISA halafu waislamu hata bila kufanya utafiti kidogo wa kutafuta dodoso la sensa wanamuani 100% Bora nikose akili kuliko kuwa mwislamu!