Source Jambo leo & Nipashe
Mwanaharakati na mtetrzi wa Waislam Tanzania sheikh Issa Ponda amedai mufti wa Tanzania sio msemaji wa waislam na kaongea kama yeye Simba ila sio kwaniaba ya taasisi za waislam Tanzania na hana mamlaka ya mkuamua mambo kwa waislam wote Tanzania.
Hivyo wameamua yafuatayo;
Kupinga kauli ya Mufti wa Tanzania na kuwa sio kauli na sauti ya waislam
Kwenda mahakamani kuishitaki serikali kwakutoweka kipengele cha Dini katika dodoso la sensa.
Siku ya sensa wataandamana nchi nzima kupinga sensa kama wasipoyekelezewa hayo hapo juu.
My take
Huyu jamaaa wanamwangalia tu kwanini wasi Mlimboke au kumwakyembe
Pumba. unafikiri Ponda yupo peke yake? muueni uone akina ponda tutakapoibuka wengi tena wahatari kuliko huyo unayemdhania. Hata huyo ulimboka akifa tutaibuka akina ulimboka wengi mpaka wenyewe watablow. Think twice. Hilosio suluhisho. tekelezeni matakwa yao.