Bwana wa WHO,
Labda nikujulishe kama hufahamu kuwa hivi misikitini au makanisani watu wakioana huwa wanasign register fulani kuwa hawa ni bwana na bibi. Na vile vile misikiti na makanisa Tanzania ina register za kujua waumini wao wa maeneo ya hapo sasa gharama gani unayoongelea wewe au ya kuzua. Acha wazimu huo ati addition cost ipi wakati registers zipo since zamani zina rekodi za waumini muda mrefu kwanini wasizitumie kuverify?
Yes dude I have a PhD ya economics tena from top three universities in the World!!! na Masters from top 4 universities in the world. Call me arrogant I considered it confidence as I clearly know what I am talking about kadanganye wengine dude sio sisi Adios!!! Asante sana kwa kunilinganisha na Sheikh Ponda ila sijamfikia yeye kwani amesoma sana dini mie uislamu wangu wa kuungaunga ila inshallah nitamfikia siku moja ila nakushukuru sana maana hiyo kiwango kikubwa sana cha wadhifa!
inaelekea umesoma lakini una mapungufu ambayo labda yamezibwa na udini/dini au hujatambua kupambanua mambo kwa uwigo mpana zaidi. kwanza tanzania ni nchi haifuati uislamu au ukristo nk. hivyo data hiyo ya dini haito lisaidia taifa katika mipango yake ya maendeleo, sasa sijui katika phd yako ya economics variable mojawapo ulikuwa unaweka suala la dini?
Serikali mipango yake ni barabara, hospitali, shule nk ambavyo haviendani na dini.
Pili unatakiwa uelewa mwanzo wa hizi dini, kwanini hazikuanzia china, india, au ulaya kwenye maendeleo makubwa? jiulize wa hindi na crisis zao au maendeleo yao wa hindu hawatakwenda peponi? je imani walizokuwa wanatumia babu/bibi zetu kutufundisha tuwe watu bora zili base kwenye ukristo au uislamu? si zilijengwa na mazingira yao, kwamba ukitupa kucha ovyo mchawi atachukua na kukuloga, au ukijisaidia bila kufukia ni hivyo hivyo, na mengineyo ya kuhusu ujasiri na ufanyaji wa kazi hivyo ndivyo imani ya mtu kwenye dini inavyojengwa, the only problem kwa wazee wetu ni kuzidiwa maarifa na hawa waliokuja iwe waarabu au wazungu na dini zao ili tuwe watiifu kwao na tutimize mambo yao, sasa wewe na phd yako waweza leo hii kujua dini ya kweli? kama ni uislamu au ukiristo?
Hata tukifuata uislamu, upi ulio bora sunni au shia nk? at the end f the day dini ni wewe mwenyewe na matendo yako, na so Ponda, wala Bakwata, wala mwaarabu nk. haya mengine ni mapambio tu ya hizi dini. Mfano uislamu unaamini Mohamed SAW ndio mtume wa mwisho, sawa, je ndiye aliye bora kuliko wengine? maana nilisikia kwenye youtube ya moja wa masheikh akitamka hivyo? Je asili yake ilikuwaje, mpaka akaoteshwa na kuamua kutangazia umma tulioyapokea leo? je kabla ya hapo hao waarabu walikuwa hawana dini, walishi kivipi? maana mengine yaliokuja na uislamu ni culture za watu na si dini, mfano kuingia bila viatu, maana karene hizo watu walikuwa wanavaa talawanda za ngozi, hivyo hutoa harufu , sasa ilikutokumuudhi aliyo nyuma yako akiswali, lilo bora ilikuwa kuvua talawanda na kuosha miguu, vivyo hivyo katika usafi mwingine, na kuzuia wizi nk, hivyo vyote nasi tulikuwa navyo kwa njia zingine.
Basi ukitaka kujielimisha kama binadamu unaweza kuona mengi unayo fuata sasa hivi si sahihi zaidi ya kujituma wewe mwenyewe katika kuboresha maisha yako na yangu kwa mapendo kwa wote, ndio msingi mkuu wa ubinadamu. na si uislamu/ukristo unaojaribu kututenganisha. hakuna aliye bora juu ya mwingine zaidi ya matendo yetu. Hao wahubiri dini wapo hapo kwa maslahi yao, na si yako, kwa sababu hata leo hii, watanzania wote tukisha kuwa waislamu bado condratiction zitakuwepo. iwe kutokana na background yako au nafasi uliokuwa nayo nk nk.
kuna wakati nilipita Tanga Enzi za Marehemu sheik Ahmed bin Juma bin Ahmed, basi ukisikia hadithi za watu wengine ni kwamba maimamu au viongozi wa misikiti nk ilikuwa na watu wa ukoo wake, hii ni mifano midogo tu kuhusu contradiction za binadamu, Saadam na uzuri wake na kupenda kutenda haki kwa watu wake baadae aliona watoto wake ni bora kuliko wa wengine, na vivyo hivyo kwa Raisi aliye pita wa Syria, Togo , Gabon, DRC, nk hivyo ni vizuri tusiwe wafuasi wafuata upepo tafakari na ujitume, na hiyo Phd yako itumie kutuelimisha, ilituondokane na umaskini wetu huu chini ya muarabu na mzungu, ladba ukiwa wewe ni mwaarabu/mzungu hivyo unependa sisi weusi tuendele na ujinga wetu.