Kwani UN inavyotaja idadi ya watu dunian kinafuata nini?
kwenye mipango na ushauri
Kwani UN inavyotaja idadi ya watu dunian kinafuata nini?
Kinachonichefua mimi ni UNAFIKI wa wantanzania. Kama angesema Pengo kiepngele cha dini kiwekwe basi ungeona woote wanaopinga hapa wangekuwa upande wapili na sababu wangukuja nazo. Tatizo ni pale tu anapozungumza Muislaam na wameshindwa kuelewa ya kwamba ikiwa swala lolote linakuwa raised na mtu wa jinsia, rangi, dini au kabila lolote kuhusiana na swala la Utaifa ni muhimu kulitazama kwa fikra huru.Hahaha Juzi umemsikia Waziri wa Fedha akizungumza kituko katika Bajeti kuwa atajitahidi kupambana na inflation ya chakula huku hazungumzii njia gani atatumia kupambana na inflation hiyo ambayo sasa ipo karibia 25% amesahau inflation ya chakula inasababishwa na demand ya chakula nchini na miundo mbinu mibovu.
Moja ya solution ya hilo ni kuwa taarifa za uhakika za dini za watu ili kikitokea mfano kipindi cha Ramadhani au Christmas ambapo demand ya vyakula fulani ni kubwa kunakuwepo na maandalizi ya awali kuhakikisha vyakula hivyo vinapatikana. Taarifa hizo hazipatikani kwengine isipokuwa katika sensa ya watanzania.
Hii nchi ni kama movie drama ya Lost!!!!!
Sawa kwa yote ulosema lakini hakuna nchi hata moja duniani ambayo utasoma historia yake na ukakosa kipengele cha dini na makabila ya wenyeji wake na hata wahamiaji. Hii haina maana kwamba hisotiria hizo ziomejengwa kutia hofu fulani. Marekani Watu weusi ni asilimia 10 tu wakati Hispania wanafika asilimia 13 sasa hivi kama sikosei. Kulikuwa na sababu gani ya kupata hesabu hizo?..Kwa ujumla wake Immigrant wanazidi kuongezeka ktk kila states na sensa zinafanyika kila mara lakini hata siku moja hazijapokelewa kwa nia mbaya isipokuwa kuwepo kwa taarifa hizo kumeiwezesha serikali ya Marekani na watu wake kupitisha sheria, kuwezesha uhamiaji, mipango miji au maamuzi mengine ambayo yasingewezekana kama isingekuwepo sensa hizo.Ndugu Zangu Mdondoaji na Mkadara, kuhusu vyakula viwe vya ramadhani au kwaresima, vinapelekwa na wafanya biashara na si serikali kutokana na supply na demand ama sivyo huwa tuna ji adjust kutokana na bei na upatikanaji wa kitu, kama viazi vitamu, mihogo, wali, chapati, nazi maharage, mabogo,mdizi zile tamu tamu kwa huku pwani, bukoba watajiria ndizi bukoba, tambi iwe zile za kukausha juani au hizi za mtaliano nk, na zaidi ya hapo tulivyo tawanyika huwezi kusema mwanza waislamu wapo wangapi na sehemu gani, hivyo upeleke viazi kufuatana na idadi yao, kwa hiyo utakuta mara nyingi supply ina base kwenye 35% to 50 of the population ili kumsaidia mchuuzi apate bei nzuri, nasi wateja tuna react na market kutokana na hiyo supply, na price. Iringa ya leo si ile ya miaka kadha iliyo pita , na pia kariakoo, upanga hata ukerewe.
Ungejifunza namna gani wanafanya sensa kwanza!....Ondoa dodoso ya dini halafu serikali ifanye sensa na kutuambia kuwa Watanzania wapo millioni 46, vipi kuhusu watakaohama nchi na kuchukua uraia wa kigeni baada ya sensa? watakao oa au kuolewa na kuhamia nchi nyingine pamoja watoto wao au ndugu zao?
Unataka kutuambia kwa sababu vitu kama hivi vitatokea hivyo sensa isifanyike?!!
Hahahaha very well! je nikuulize unataka kutuambia tusihoji kwanini kipengele cha dini kisiwepo katika sensa? Hebu nipatie mchakato wa kwanini kipengele hicho kisiwepo mie nifahamu.
Mbona hujaeleza ni kwa vipi kuwepo kipengele cha dini katika sensa kitagawanya wananchi, mbona unazungumza mambo ya kufikirika zaidi mkuu?Some things are so disgusting here. Honestly, let ask ourselves what will happen if we say everyone who contribute something in JF should write down also their religion, tribe, clan, occupation, country of residence, current residence, age and sex, and may be wealth, because its important for JF moderators to know who is who, who says what, what to post etc in order to improve information in their blog.
Isnt that sound good? do you think it is not possible to do that? do you think the founders of JF dont know that? But, that is not the aim of this blog.
May be let me ask a different questions to those who support kipengele cha udini. How do you define religion you as you? How do you differeantiate it from goverment or politics? I would not ask about blacks, white and brown, i would not ask about UN activities, i would not ask about bourgeoisie and proletariat.
Its just funny that some people jus because they are so religious then they want to make a big deal out of it. Guys, we are talkin about country that has no religion, a secular state for god sake, not a family or religious group or your business whatever. When people omit religion in the constitution it does not mean the country does not recognize religion.
But, religion is not part of the goverment of Tenzania, not because USA says so or Iran says so or Saudia says so, not even because it a sin or is against religious books, no!! But who the hell doesnt know that religion is vulnerable and can divide people, especially ignorant Tanzanian (who among you dont know what happen in Zanzibar? can you defend it?).
How could we be able to run a country with multiple cultures, multiple religions, multiple ethinicities if even our economies is not functional, our infrastructure is poor, our education is backward? aren't we ashamed?
elimu ndogo ni sumu. sisi waislam twende shule kwanza ndo tutajitambua vizuri. viongozi wetu uwa wanakurupuka tu kwa sababu ya shule ndogo ukilinganisha na wakristu:yo:
nashukuru ndugu yangu kwa kutumia mfano wa usa na uwekaji data wake, sasa maendeleo ya kiuchumi, kiutawala, kielimu na kadhalika unaiwezesha usa kufanya hivyo kwa kuwa ndio huluka yao ili kulinda maslahi ya weupe na ukristo wao? ambao ni baptist church or methodist na sio ukatoliki, na hata wakifuata ukatoliki sawa, lakini objective yao ndio hiyo, si ndio kwanza tunajenga hizo structure za kiutawala, elimu ndio hivyo tunakwenda mbele mara tuna rudi nyuma na shule zetu za kata na waalimu wa voda faster, ukija kwenye uchumi bado napo hatujui tunataka umeme wa jua, gesi, diesel au wa hydro, sasa ukishakuwa na hayo matatizo makuu, hasa hasa elimu na utawala, ni wazi tutakuwa so vulnarable kuingiliwa na matatizo hayo mengine ya kabila na udini. kwani tumeisha yaona yakianza, rejea hotuba moja ya mwalimu kuhusu haya alipomtembelea Gertrude Mongela alipokuwa kiongozi wa wanawake duniani, na kukutana na mama moja wa uganda, pili uliona nyufa zilizotokea baada ya utawala wa Mwinyi, sasa hivi tunaziona rasha rasha za zanzibar na muungano, reli ya kati tulivyo hiharibu, na kwenye ziwa napo shida mv victoria nk, sinotaship haipo tena tumekuwa tuna jiendea endea ovyo.Sawa kwa yote ulosema lakini hakuna nchi hata moja duniani ambayo utasoma historia yake na ukakosa kipengele cha dini na makabila ya wenyeji wake na hata wahamiaji. Hii haina maana kwamba hisotiria hizo ziomejengwa kutia hofu fulani. Marekani Watu weusi ni asilimia 10 tu wakati Hispania wanafika asilimia 13 sasa hivi kama sikosei. Kulikuwa na sababu gani ya kupata hesabu hizo?..Kwa ujumla wake Immigrant wanazidi kuongezeka ktk kila states na sensa zinafanyika kila mara lakini hata siku moja hazijapokelewa kwa nia mbaya isipokuwa kuwepo kwa taarifa hizo kumeiwezesha serikali ya Marekani na watu wake kupitisha sheria, kuwezesha uhamiaji, mipango miji au maamuzi mengine ambayo yasingewezekana kama isingekuwepo sensa hizo.
Pengine unachoshindwa kufahamu ni kwamba hata mzazi hana tatizo kusema nina watoto wa kike wanne, na wa kiume watano ati kuwa sababu ya kujenga mahusiano ya kibaguzi baina yao..isipokuwa kuelewa huku kuna mrahisishia mzazi kufahamu ataweza vipi kukabiliana na maandalizi, mahitaji ya watoto hao kwa tofauti zao za kijinsia na kadhalika. Msichukulie dini kama Uadui baina ya Waislaam na Wakristu halafu swala hili Waislaam wanaiambia serikali sio tofauti zao na wakristu, lakini wakristu tayari wameisha chukulia personal na kujibu kwa niaba ya serikali. Hofu yenu nini haswa?..
Taratiibu mkuu...as long as hatupigani majambia na kila mtu anapractice dini(hata kama wewe unaona ziko obsolete huko zilikoanzia) kwa amani sioni tatizo in fact dini zinaweza zikatuweka pamoja zaidi kama zikitumika vizuri...Tume ya uchaguzi,
I mean that there should be a clear separation between church/mosque and state. I would think that the recognition of this great principle was behind the decision not to include religion in this census. Our country like many others has already shown vulnerability to these religious issues and surely we must watch our steps carefully from here on. Religion MAY be important but it definitely has no part in how the state is run. If we want to be so liberal about religion, we should first find ways to deal with these divisions, in which case we need more time to learn our religions. The ability of the country to hold together in the future could well depend on how successfully we do this. By the way, it is annoying how we Africans continue to waste our lives and time with these obsolete Middle Eastern Religions:eyeroll1: (yes , islam and christianity are both middle eastern and OBSOLETE:biggrin🙂
Mkuu wangu kwanza nakuomba usiniweke maneno ambayo mimi sijayasema. Hakuna mahala nimesema Marekani wanafanya sensa kwa kufuata Ukatoliki.. Sensa ni ukusanyaji wa takwimu wa wananchi wanaoishi ktk nchi hiyo iwe hata Saudia au China. Pengine mnachukulia swala la economics juu juu tu kwa fikra za kuwa watu wote sawa wakati hakuna usawa ktk fikra na hulka za kila mmoja wetu isipokuwa sheria ndio hutazama usawa huo na kuulinda baada ya kuhesabiwa.nashukuru ndugu yangu kwa kutumia mfano wa usa na uwekaji data wake, sasa maendeleo ya kiuchumi, kiutawala, kielimu na kadhalika unaiwezesha usa kufanya hivyo kwa kuwa ndio huluka yao ili kulinda maslahi ya weupe na ukristo wao? ambao ni baptist church or methodist na sio ukatoliki, na hata wakifuata ukatoliki sawa, lakini objective yao ndio hiyo, si ndio kwanza tunajenga hizo structure za kiutawala, elimu ndio hivyo tunakwenda mbele mara tuna rudi nyuma na shule zetu za kata na waalimu wa voda faster, ukija kwenye uchumi bado napo hatujui tunataka umeme wa jua, gesi, diesel au wa hydro, sasa ukishakuwa na hayo matatizo makuu, hasa hasa elimu na utawala, ni wazi tutakuwa so vulnarable kuingiliwa na matatizo hayo mengine ya kabila na udini. kwani tumeisha yaona yakianza, rejea hotuba moja ya mwalimu kuhusu haya alipomtembelea Gertrude Mongela alipokuwa kiongozi wa wanawake duniani, na kukutana na mama moja wa uganda, pili uliona nyufa zilizotokea baada ya utawala wa Mwinyi, sasa hivi tunaziona rasha rasha za zanzibar na muungano, reli ya kati tulivyo hiharibu, na kwenye ziwa napo shida mv victoria nk, sinotaship haipo tena tumekuwa tuna jiendea endea ovyo.
jingine la msingi kwetu sisi ni uwezo wetu binafsi wa kuelewa mazingira na madhumuni ya hizi dini. why islam, why sunni, why shia, why prince Agakhan aliye uhamishoni na asiwe kwao Pakistani na biashara zake all over the world? why roman catholic na roma, and why anglican church na uingereza, why lutheran church na ujerumani, na why baptist church na usa na mengineyo yanayo kuja iwe assemblies of God, morovian, menonite, Jehova, Methodist , African Inland church , why othordox church ugiriki nk nk, utaona ni wazi dini zilianzishwa na hawa watu ili ili kuwezesha kuwatawala watu wao kwa kuogofya uwepo wa jehenamu na kutii mamlaka zilizopo duniani, sasa wenzetu kwa sababu ya maendeleo yao wakaja Africa na kutuona duni na kuanza kutupa pipi, shanga bunduki, wengine uchifu, ili waweze kututawala na kuingiza tamaduni zao, na sisi leo hii tunagombana sababu ya tamaduni zao, kiasi kwamba tunaona kisipokuwepo kipengele cha dini hutakuwa muuumini mzuri wa dini yako? au utakosa chakula wakati wa kwaresima, au hutapata kiongozi bora zaidi ya yule anayetoka sehemu yako. so kwa ufupi changamoto tulizo nazo ni tofauti na za usa, canada, uk, saudi arabia nk.
Mkuu wangu kwanza nakuomba usiniweke maneno ambayo mimi sijayasema. Hakuna mahala nimesema Marekani wanafanya sensa kwa kufuata Ukatoliki.. Sensa ni ukusanyaji wa takwimu wa wananchi wanaoishi ktk nchi hiyo iwe hata Saudia au China. Pengine mnachukulia swala la economics juu juu tu kwa fikra za kuwa watu wote sawa wakati hakuna usawa ktk fikra na hulka za kila mmoja wetu isipokuwa sheria ndio hutazama usawa huo na kuulinda baada ya kuhesabiwa.
Hivyo jibu langu kwako kuhusu Marekani, ni kwamba wao hawahesabu watu kwa sababu ya Ukristu au Ukatoliki wao. Siamini hivyo na wala hakunakitu hicho ila wanahesabu WATU kwa sababu mfumo mzima wa Ubepari unatofautiana na UJAMAA ktk kutambua MTU ni nani.. sisi ktk Ujamaa tunajificha nyuma ya pazia wakati wao wanakuwa open UWAZI kutambua na kumdefine MTU ktk kumhesabu maana Hata Mungu mwenyewe katuumba sisi tofauti kwa nini hakutuumba sote tuwe na sura moja, umbo moja, lugha moja na kadhalika.. Na kwa imani ya dini yangu imenambia ya kwamba Mungu alituumba kwa tofauti hizi ili TUTAMBUANE yaani hizi tofauti ndizo ID ya kila mmoja wetu. Unapowahesabu watu kwa nini uziache?.. Sasa Mnataka kusema Mungu mjinga kuweka alama zote hizi ili tutambueane? Na kama sii swala la Kutambuana nambieni UMUHIMU wa sensa?.. hamtaki hadi sasa hivi.
Nasisitiza tena ya kwamba ni muhimu tukubali kwanza tofauti zetu, kisha sheria itaweza kulinda na kutambuliwa haki za hao waliohesabiwa hata iwe ktk ibada zao. Upebari unakubali usawa wa binadamu kwa lengo la kulinda haki za watu wote na sii usawa wa mgao wa keki maana sisi sote hatuna ashiki sawa, matamanio sawa, matumbo sawa wala njaa sawa!.. ila inakuhakikishia kukaa mezani maana umehesabiwa ua utalindwa.
UJAMAA unalazimisha watu wote tuwe sawa wakati hakuna usawa huo kifikra. nchi zote za kijamaa zine fail kutokana na kutokubali ukweli huu na ndio maana kuna ukiukaji mkubwa wa haki za binadamu China, Russia, na nchi zote za kijamaa kuliko nchi za Kibepari. This is the main reason Ujamaa ulishindwa kutambua tofauti za binadamu kwanza na hivyo kuwalazimisha watu kuamini usawa ambao haupo na hivyo tukashindwa kulinda haki za wanyonge baina yetu.
Tumepumbazwa na mchanganyiko wa siasa za Kijamaa na Kibepari, lakini binafsi nimeweza kuelewa matumizi mabaya ya fikra hizi ktk jumuiya zetu na mazngira yetu. Wenye nchi (CCM) wanaendelea kuogopewa, kuheshimika kiasi kwamba hadi kesho wana uhakika wa wataendelea kushika madaraka na wao tu ndio haki ya kugawanya na kugawana keki ya taifa kwa sababu sheria zipo kuwalinda wao.
Mnapinga kuweka kipengele cha dini lakini kila mmoja wetu dini yake (what U believe in) kuwa MUHIMU kuliko vitu vingine vyote, tena naweza sema yawezekana kuwa muhimu zaidi kuliko hata rangi, jinsia, kabila au Uraia wa kila mmoja wetu hapa - Kwa nini tusihesabiwe?..Swala la kufikiria hizi dini zimekuja kwa nini ni swala lile lile la kujiuliza mengi hata maendeleo yenyewe unaweza kuyakana kama utapenda kwenda deep intensio ya maendeleo. It's all about money, utajiri biashara na huwezi kuzungumzia maendeleo pasipo Utajiri au money - The end justifies the means..
Kifupi kuna tofauti ndogo sana kati ya Utawala wa Kifalme na ule wa KIJAMAA ambao unatambua kundi fulani la watu kama Royal families na wanaheshimika hadi kesho. Katika Ujamaa kuna wenye nchi ambao ndio wa kwanza kwenye mgawanyo wa keki ya Taifa,. utaona tunapeana madaraka, kupeana kazi kwa kigezo cha nasaba.. Utaulizwa wewe mtoto na nani? aaaah Mkandara yule wa Chuo kikuu? nikisema hapana basi nimeshindwa interview..Hii yote ni kutokubali ukweli kwamba vita ya Udini na Ukabila inawezeshwa na ukweli ktk kulinda haki za wale wanaopuuzwa.
Na labda nikukumbushe tu ya kwamba kinachonichefua mimi hapa JF ni pale kila swala huchukuliwa Udini, ni rahisi mtu kuuliza dini ina faida gani ktk maendeleo ya nchi lakini mtu huyo huyo amepinga wazo hili kwa sababu alosema ni Muislaam. Na nikasema kama angekuwa Pengo ungesikia wakristu wote wamejipanga nyuma yake na Waislaam kuanza kupinga hoja hiyo. Jiulize kwa nini kila kinachofanyika nchini kinatazamwa kwa jicho la Udini, why wamesema Waislaam imekuwa issue kubwa hapa JF wakati wanahesabiwa pia wakristu, wapagani na Hindu na Krishna!.. au hofu yenu kubwa ni pale ikijulikana Waislaam ni wengi itakuwa kero na shida nyingine kutokana na siasa za mafichoni? elezeni hofu yenu halafu tutaipima yenyewe na sio kutaka kujua faida ya kuwepo dini ikiwa lengo ni kuweka takwimu za WATU na sio NCHI.