BAKWATA yatangaza rasmi waislam kugomea sensa!

BAKWATA yatangaza rasmi waislam kugomea sensa!

msaada mkubwa wa sensa ni kufahamu idadi ya watu kwa ajili ya kupanga maendeleo ya watanzania kwa kuandaa bajeti inayoendana na takwimu.hakuna uhusiano wa sensa ya dini.kama mnataka sensa ya dini yenu basi andaeni sensa ya kiislamu msitumie mgongo wa serikali kwa kukwepa gharama ili mjue waislamu mpo wangapi.IN SHORT TUMEWACHOKA SANA NA DEMAND ZENU ZA AJABU AJABU.

Mipango gani kwa hapa bongo? Ina maana bajeti ya jana iliegemea kwa idadi ipi ya watu? kama ikitokea baada ya sensa idadi ya watu ni wengi zaidi ya mategemeo bajeti itarudiwa? kwa maelezo yako basi kipengele cha dini ni muhimu sana kwa bajeti kwa vile ni lazima serikali ijue walevi noi wangapi ili itozer kodi nzuri kwenye vileo na inajulikana walevi ni dini gani
 
Wewe ndio mweupe kupitiliza! Hao Waislamu wanaolipa kodi, wanalipa kama taasisi au kibinafsi? Je, hao Waislamu wanapolipa kodi, wanalipa kodi wanalipa kuchangia ustawi wa dini ya au Taifa lao?
Nakurahisishia, ni pale Waislamu wanapotoa zaka na sadaka Misikitini tu ndipo wanapochangia ustawi wa dini yao.

Kwenye Memordaum of understanding kati ya kanisa na serikali waislamu hawalipi kodi? hizi dhulma zina mwisho
 
bora wakahesabiwe msikitini si ijumaa ndo siku yao bana watajua idadi yao na ujinga wao

"Nanye kangambeyo".huu ni msemo wa wahaya wenye maana nami ngoja niseme.We hapo umechangia au bora uandike? kama huna hoja bora pitia mawazo ya wenzio tu
 
Waislam wana ajenda ya siri kuhusu idadi yao nchini, wanataka kushinikiza mahakama ya kadhi na matumizi ya sharia katika katiba mpya iwapo tu watazidi hata kwa 1%. In short wanapigania u first class citizenship.
 
U first class citizenship ndio nini? nani anashikilia nafasi hiyo kwa sasa? je kwa sasa waislamu ni class gani?
 
Dhuluma ina mwisho wake bwana mtu asikwambie
 
hakuna kitu kimeniumiza kichwa kama hili la BAKWATA kususia sensa//! serikali imeshawaambia kuwa maendeleao hayagauwi kwa kuangalia dini wala kabila, sasa jamaa wanasisitiza lazima kipengele cha dini kiongezwa kwenye madodoso ya sensa.. Aibu kwenu BAKWATA, mliobaki kushupalia vitu visivyokuwa na msimamo.. 😱 .

Najua waislamu ni watu wenye msimamo sana na mambo yao, sasa kama mnataka kujua idadi yenu, basi mtafutane misikitini..au mtangaze katika magazeti kuwa siku flani, waislum wote wafiki misikitini tunataka kuwahesabu! simple tu, sio kulumbana na serikali na kuwaaibisha waislamu wenzenu ambao haouni mantiki ya nyie viongozi kushubalia ishu ya dini kwenye sensa ya Taifa.

Na huo ni ushauri tu mliotoa kwa serikali ya CCM, hivyo wanaweza wakaamua kuuchua au wakauacha, sio kulazimisha!
 
Mkuu Riwa hakuna sababu ya kubishana na mlevi wa dini. Kila jambo analiangalia kwa miwani ya dini yake. Kama amekwenda shule,hakuelimika! Mtu kama huyu ndiyo mshauri wa Ponda.
PhD na Master 2...with that level of thinking!? Kazi tunayo waTanzania...

Kama kuna register kwenye Misikiti na Makanisa...kwa nini unahitaji serikali ihesabu watu kwa dini zao kwenye sensa? Mchumi...hata huoni hapo unaongezea serikali mzigo wa cost isiyo na msingi. Tunafaidkia vipi na kodi yetu iliyokusomesha mpaka uwe na PhD ya Uchumi wakati uwezo wako wa kufikiri na kureason ni sawa na 'Issa Ponda'!?
 
Binafsi nilikwishaacha kujadili ishu za kidini hazina tija kwa taifa hili usipoteze muda kubishana nazo mkuu, umecomment poa sana tu big up.

Big up mkuu ....... hasa ukizingatia ,Kukubali tofauti zetu ktk sura za kidini,makabila makabila,sehemu tutokapo(tulipozaliwa),ushabiki tu mfano mipira ,ukiwamo ule wa kiitikadi ,Ndiyo Nguzo kuu ya msingi kabisa,iliyopelekea

Udumishaji wa amani na utulivu(uliodumu sana tu .......ambao ,dalili zinaonyesha kuanza kusulubika, kwa status quo hiyo !!!!! Amani Tanzania imeanza kusulubika, kwa mwenendo wa baadhi yetu Tanzania, kushabikia kupindukia ,kutotii viongozi wetu tuliojichagulia wenyewe,kutotii shera na mamlaka zenye dhamana,ikiwamo kushindwa kukemea bila utani in time ,Visingizio vyote vinavyombagua Mtanzania ,ktk Sura ya Udini,ukabila,kiitikadi,ikiwamo yale yote yanayofanana na hayo ..

Tujihadhali basi,kwani hata wale Wasudani,wapakistani,Wasomali etc, wanaokurupushana kule vichakani,nao wana miguu miwili kama sisi .......Ubaguzi wowote ni chachu murua ya ukaburu,vurugu na kutoridhika........naTujenge basi Tanzania moja......ili na sisi,tuweze kuwarisisha Watanzania wajao Tanzania Bora !!!!!
 
Wewe ni GT. Nimezipenda hoja zako. Asante sana.
Ndugu zangu waisilamu, waasalaam aleikum.
Sisi waisilamu tumekuwa na tabia ya kuleta pingamizi katika kila jambo, kuhusu idadi ya waisilamu je nilazima kuwajua kupitia sensa ya taifa?
Kama kweli viongozi wetu wa dini wako serious wangetafuta njia mbadala ili kujua idadi sahihi ya waisilamu. Kwanza tujue idadi ya misikiti yote tuliyo nayo Tanzania, hili wala halihitaji bajeti ya serikali, baada ya kujua idadi ya misiki rasmi, viongozi wote wa hiyo misikiti watoe idadi ya waumini wao, kisha tunajumlisha na tunapata idadi ya waisilamu wote.

Hii itatuwezesha pia kujua mkoa wenye idadi kubwa ya waisilamu, idadi ya vijana, wazee, wanawake na watoto. tutaweza kupanga mikakati mingi mfano:
1. Eneo lenye wakazi wengi wa kiisilamu lakini misikiti michache, kuongeza idadi ya misikiti.
2. Eneo lenye vijana wengi na watoto kuongeza idadi ya madrasa na shule za kawaida
3. Sehemu zenye wanawake wengi kuongeza huduma za hafya za mama na watoto.
Tutakapo tumia mfumo huu itakuwa dhahiri tunania nje na idadi ya watu wetu. LAKINI kama tunadai idadi ya watu wetu kupitia mfumo wa serikali hapa kutakuwa kuna agenda ya siri iliyojificha.

Kama tunavyo ngangania kuwa na mahakama ya kadhi. kwanini hili tufanyiwe na serikali, je sisi hatuna wasomi? Kwanini tusianzishe kitu chetu wenyewe kisha tukaomba baraka za serikali?

Serikali imetusaidia kuanzisha chuo kikuu kwa kupewa majengo kule Moro, Hii ni aibu kubwa, Serikali imetusaidia hata kuanzisha BAKWATA. na tumekuwa tukipata ruzuku toka Serikali WHY? kila kitu Serikali. JE hapa kuna siri gani tunaitaka.

Kama lengo ni kutaka kuifanya Tanzania kuwa nchi yenye muongozo wa Dini ( Sharia) hili halitakubalika, kwakuwa tumeona shida na ukandamizaji wa haki za raia katika nchi nyingi zinazo tumia mfumo huu. Saud pamoja na utajiri wake lakini mpaka leo hii mwanamke hana haki hata ya kuendesha Gari.

Ndugu zangu waisilamu tusikubali kuburuzwa na hawa viongozi wetu wa DINI ambao hata wengine hatukuwachagua waisilamu wote, sasa ni kwa nini wazungumze kwa niaba ya waisilamu wote?

TAKE CARE
 
nilitoa category ya waislamu, wewe uko category ya kwanza. wewe ni mtu huru, waislamu wangekuwa na mawazo huru kama ya kwako, vita kati yetu ingekuwa historia. hongera sana, take time to civilise your fellow Muslims.
 
Unajua maana ya kuchinja na kunyonga? Ondoa ulevi wako wa dini hapa! Kwa akili hizi bado upo ktk dunia ya kijima!
Nyie mnachinja au mnanyonga? kuleni mizoga yenu,muislamu gani umewahi kusikia amekufa kwa njaa au utapiamlo hapa nchini
 
Mpuuzi we unafikiri unajadiliana na kihiyo hapa,

For your information mimi ni senior economists nina PhD ya economics, Masters mbili ya sheria na uchumi na nimefanya kazi US na UK kama mshauri na hapa Tanzania na moja ya kazi nimefanya kusimamia suala la demographic usifikiri unajadiliana na mpuuzi kapeleke upuuzi wako kule mjinga wewe.

Unajitia aibu...unaongelea 'Gender' au 'Sex'? Hivyo ni vitu viwili tofauti, nadhani unataka kuongelea Sex lakini unaconfuse na Gender...Gender is a very wide subject with lots of evidence-generating research done and other going on..kuna watu wana PhDs za mambo ya gender! Gender sio 'Mwanamme' na 'Mwanamke' tu, it goes far beyond that my brother!

Kuhusu gender nilikuuliza hilo swali hujalielewa ni kwamba gender is subjective na kuna weakness nyingi katika gender kwani wapo wanawake, wanaume na wanaopenda kujiona wanawake au wanaume etc. But kinachofanyika ni assumption kuwa kuna jinsia mbili tu nazo ni mwanaume na mwanamke hivyo a SIMILAR ASSUMPTION INAWEZA KUTUMIKA KATIKA RELIGION KWA KUASSUME ZIPO DINI KUU NNE AU TANO NAZO NI UKRISTO, UISLAMU, DINI NYENGINEZO NA WAPAGANI. KUNA SHIDA GANI?

Hapo kwenye purple ni uthibitisho kuwa huna idea yeyote kuhusu research. Primarily kabla hujafanya research, ni lazima u-define clearly your variables of interest, kwamba utakaposema kwenye reseach yako fulani ni dini fulani...basi ina maana ana vigezo (criteria) moja, mbili, tatu etc. ili kuondoa bias. Na kwa kumuuliza mtu 'wewe dini gani' (kama unavyosuggest) naye ajibu 'muIslam' au 'mKristo' bila kuzingatia vigezo vya dini ya kiIslamu kuita mtu muIslam au vigezo vya dini ya kiKristo kuita mtu mKristo..then hujawa na evidence kuwa kuna waIslam au waKristo wangapi sehemu husika!

MPUUZI KABISA WEWE! Kwani variable ya religion ina ambiguity gani? Kuna variable isiyokuwa na assumption? Wewe kama upo WHO ndio maana hamna maana kabisa kwasababu kwa jinsi health system ilivyokuwa mbovu no wonder eti variable has to be defined clearly on what basis??? Hebu tuondolee ridiculous thinking zako any variable is subject to have clear definition which is subject to certain assumption. Kumuuliza mtu wewe ni dini gani unampa uhuru wa kupata majibu ya a. huyu muislamu, b. mkristo, c. dini nyenginezo d. hana dini ambiguity iko wapi? Na rudia post yangu ya nyuma nilikuambia kuwa any primary data has to be verified hivyo TAASISI ZA KIDINI ZITAKUJA KUVERIFY WANACHOKISEMA WATU KWANI KILA TAASISI INAWAFAHAMU WAUMINI WAO NDIO MAANA KUNAKUWA REGISTER KATIKA MISIKITI NA MAKANISANI. AU UNATAKA KUTUAMBIA WATU HAWAOI NA KUOLEWA? KAMA HAKUNA TAARIFA HIZO MAKAZINI NA KWENGINEKO KUNAZO HIZO TAARIFA.

Lete utumbo wako mwengine nimekuambia fani ya utafiti nimebobea na najisifu kwani nina journals articles za kutosha kimataifa na sio Tanzania. Kadanganye wengine na sio mimi?

Ni heri usingekuwa na hiyo PhD. maana unatoa mawazo ambayo ni questionable, una PhD lkn bado umejificha kwenye chungu cha udini as if udini unakuletea ugali nyumbani kwako, funguka toka kwenye hicho chungu, vunja hicho chungu utoke na uaachane na mawazo mgando. Ktk ushabiki wa dini kuna vitu viko nyuma ya pazia. Unaukumbuka ule wimbo uliokuwa unaimbwa na Mohamed Said na kuitikiwa na akina FF, Barubaru nk; Serikali ilipotoa taarifa rasmi ule wimbo ulikoma mpaka leo. Unakumbuka wale jamaa zako ambao kila iitwapo leo walikuwa hapa mtandaoni wakidai kuwa Waislam ndio wanaoongoza kwa kulipa kodi. Kumbuka serikali ilipotoa orodha ya wanaoongoza kulipa kodi kuwa ni walevi, wale jamaa zako walifungasha virago na sio ajabu nawe huenda ulikuwa mmoja wao.

Kama hiyo idadi ya MUSLIMS ni muhimu sana waambieni viongozi wenu wa dini wafanye sensa ya waumini wao walio hai kiroho, takwimu ziletwe hapo BAKWATA,mbona ni rahisi sana kupata idadi hiyo.

Udini na ukabila vinasaidiaa nini ktk kupanga maendeleo ya jamii. FUNGUKA MKUU VINGINEVYO WW UTAKUWA MOJA YA WATU HATARI SANA KWA USALAMA WA NCHI
 
Mi naamini katika Mungu mmoja na mtume Muhammad ni mtume wa Mungu! Pia naamini Yesu ni mwokozi. Huwa sifungi wala kwenda msikitini au kanisani! Nisaidieni wakati wa sensa mi nitakuwa nani? Muislam? mkristo?
 
Roster M aSiza, Yusifal Munji, Idda Mzungu(Mzee wa Cocain) Oman Mhita Mzee wa polich na Majambazi hao ni baadhi tu ya mapapa kati ya wengi kama Abdul Chimbo yule afande anayemiliki mkwanja wa wizara kadhaa South Africa nao ni wakristo? Suala hapa mnataka iitwe jamhuri ya kiislamu Ikitokea mkawa wengi. Mnataka kazi yet hamtaki SHULE Mnataka kigezo kiwe madrasa?

umemsahau jk
 
Kwenye Memordaum of understanding kati ya kanisa...waislamu hawalipi kodi?...

Labda unatoka Z'bar Mkuu. Ni mkoa gani Tz ambao serikali inazo hospitali zaidi ya ngazi ya Wilaya? Tena nyinginezo Serikali imeingia ubia na Kanisa ili kuwahudumia Watz wengi zaidi. Fikiria hizo hospitali za Kanisa zisingekuwepo! Hali ingekuwaje?
MoU imesaidia sana huduma za afya kuwafikia watz wengi zaidi. Nilitembelea hosp moja ya Kanisa Bonde la Ufa, inahudumia vijiji 200.
Nitarudi na MoU
 
kazi kweli kweli! kama wanaweza kuwashawishi waislamu wote nchini wasusie sensa, Inawezekana pia kuwafikiwa waislam wote wakawahesabu na kujua idadi yao. Otherwise kuna agenda zilizofichika katika madai yao, kama si ya kukurupuka na wavivu wa kufikiri.
 
Kwa nini katika hospital za serikali kuna kipengele cha dini na kabila?

UNAULIZA SWALI ILI USAIDIWE AU UNAKEJELI? ............... KAMA ULIKUWA HUJUI, JIBU LAKO NI HILI HAPA: Unatakiwa ujulikane dini yako na kabila lako hospitalini, kwani ukizidiwa na ukifa, tujue utazikwa kwa misingi ya imani ipi, au kwa matambiko ya kabila lipi... Habari bidyo hiyo, ukienda hospitalini kufa ni nje nje. BYE
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom