Sir John Deere
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 14,219
- 27,429
hamna lolote nimegundua watu mna wivu sanaPale udini ndio nyumbanj kwao
hamna lolote nimegundua watu mna wivu sanaPale udini ndio nyumbanj kwao
watu kama hawa wanaolalamika kuwa wanabaguliwa kwa udini ni hatari sana pahala pa kazi. hawa ndio wanaanzishaga migomo kazini. safi sana azamUkianza kuchuguza bata utamla.sasa wewe uliyotowa post je?ukienda coca hata kazi upati wewe sio wa kulekule.leteni hoja za muhimu humu ndani.nenda coca kamatapata kazi.acheni kumchuguza bata.
kwahiyo pale azam tv wanamuogopa tido?usihangalie tv tu tambua pale yupo tido ndio maana wanashindwa kuwaweka majina hayo but ni wadin sana hao fanya utafiti uone


tuache majungu na wivu tuchape kazina wewe nunua vya mkristo mwenzakombaka watu wanaotumia ving'amuzi vyao wanasema wazi wanatumia vya muislam mwenzao nimeshuhudia kwa macho yangu wakisema
Wewe mwenzangu mla kitumoto utaweza kubeba majini ya biashara yake? Pana siri kuu hapo. Waachie wenyewe. Nilikuwa na kingamzi chao nimepaki. Juis zao siku hz siuz. Unga wao pia nataka kuacha kuuza. Dini had kwenye biashara! Ujinga mtupu!Bakhresa group au Azam kama wengi wanavyoifahamu kampuni hii, ina udini sana.
Sehemu zao zote walikowekeza ili upate kazi kipaumbele ni lazima uwe unaabudu Islamic; kwanini?
Anzia kwa madereva wa maroli na gari ndogo ili upate kazi lazima uitwe Juma, Hamia, Hamis, Abdul, Aisha na majina fanani na hayo.
Viwanda vyote vya juice, biscuits na chocolate lazima uwe na sifa hiyo.
Hii si sawa kabisa, hivi hawa akina John, Eliakim, Annastazia na wengine wengi wakiamua kususia bidhaa zako itakuwaje?
Hata Rwanda sasa wameanza kulalamikia jambo hilo. Mfagizi tu wa ofisi eti lazima awe Islamic! Na hata sasa nasikia una boti inayotoa huduma kiislamu pekee.
Tambua bidhaa zako hazinunuliwi na waislamu pekee na acheni ubaguzi.
hamna lolote mna wivu tu nikama ilivyokuwa kwa Dr.Dau pale NSSF lakini Magufuli akashtukia ni majungu yenu akayapiga chini akampa cheo cha ubalozi. pigeni kazi acheni wivuuworld vision ni la kidini kama ilivyo Compassion,wanataka uwe unajua biblia na hata mkatoliki anayesomewa tu biblia hawezï ajiriwa huko, bakhresa hajasajili Shirika la dini,kwahyo tunamripoti kunakohusika
Kwa sababu ni udini, na udini ni uovuSasa kuna ubaya gani kwa Azam kutumikisha Vilaza na akawaacha ambao vichwa vyao vyote vimejaa kitimoto?
😀😀😀Mleta thread una maana..'interview ni kujua kiarabu na juzuu kadhaa,halafu uwe na baraghashia na kanzu mpya,ama unatupia na suruali fupi...na makobanzi..
au sijaelewa?
Ongezea na ivona kamuntu alitekuwa star tv zaman nae ni muislam swala 5Mkuu ni kwelu kabisa ndio maana Charles Hilary kapewa kazi ni muislam yule hata na Patrick Nyembera wote waislam wale,uko sahihi kabisa
aya mvaa buibuiInakuuma? Kunywa sumu na wewe utatuambia ni mwanaume hawa wanaume wa hivi sijui wake zao wanaishije.
elimu elimuYaani observation ya kawaida tu kwa mtu aliezunguka nchi anaweza kujua asilimia yao kuwa ni minority. No offense.
Hilary alibadili dini?Ndio maana wakamtimu Joseph Omog pale Azam fc wakamleta yule mzungu muislam....udini mbaya sana charles hiraly nae alikuwepo nchini muda mrefu ila mpaka alivyobadili dini na kuwa muislam ndio wakamuajiri....dah
Asante MkuuNna buku kumi yako ya vocha