Bakhresa group punguzeni udini

Status
Not open for further replies.
Suala la udini kwenye hizo ajira za waarabu si la kujiuliza. Sasa uje Kwa wafanyakazi sasa huko utacheka Kwa unafiki, kila mfanyakazi anajifanya kashika dini haswa kumbe fix tu.
 
tambua wanunuzi wengi ni wakristo wakistukia atalala doro ohoooo
 
Sie watu tuna matatizo c kidogo na ni Malofa hasa!
Mambo yakishakuwa tyt huwa mtu unatafuta excuse ili usionekane ni mzembe wa kufikiria watu wanaleta udini huku wakiwa na hoja zisizo na msingi haileti maana kabisa hakuna evidence yoyote ya kumshtumu mtu watu wanaendeshwa na hisia za imani zao. Ukishaanza kuleta uislam na ukristo ni dhahiri una matatizo ya akili na uwezo wako wa kufikiri ni mdogo zaidi ya kidonge cha piriton
 
Wakristo azam media Ni wachache mno
 
Fika mkombozi bank, kama una jina la kiislamu hupati job hapo
 
mi nachowafaham rafiki zangu wakiristo ni watu wa kutake it easy.. binafsi nachukia sana watu walalamishi. nawachukia sana. na dini inayofundisha watu wake kuwa walalamishi naidharau sana. wakristo hawapo hivyo sijui huyu jamaa imekuaje haya mambo .... mwache bhakressa aajiri anaowataka na nyie kama hamtaki msinunue bidhaa zake.

Wameanza tangu Raisi wa awamu ya pili alipo ingia madarakani kwani hukuwepo? Au hujawahi kuwasikia, pia pale NSSF unafikiri ni akina nani walikuwa wanalalamika?
 
mkuu sasa kama yapo unashindwaje kusema? watakuja kupata madhara baadaye tz ni nchi yenye wakristo wengi sana kama hawajui
 
Uaminifu ndio kitu muhimu, we umeingia na gia za uongo ,je ukikabidhiwa kitita, kigezo cha uislam ni uaminifu kuna wanaoogopa dhambi.
 

Hata mikataba ya serikal inauliza dini na kabila vipi na wao!!?
 
Unaweza kuthibitisha hili???? wakristo wapo pale kibao achaeni hizo mtawaponza wenzenu
 
mkuu sasa kama yapo unashindwaje kusema? watakuja kupata madhara baadaye tz ni nchi yenye wakristo wengi sana kama hawajui
Nkuu issue siyo kusema kama wapo au la. Muhimu hapa ni kutoweka maslahi ya kidini mbele kwa sababu za kibiashara huoni kama inaweza kumpunguzia soko mfanyabiashara ikiwa utang'ang'ania kumnasibisha na udini? Haijalishi awe muislam au mkristo.
 
Kama haya malalamiko ni ya kweli hatari sana lakini ukiachilia Mbali Bakhresa Sekta binafsi kuna shida ya ukabila na Udini. Uwezi ukakuta kampuni ya mchaga wamejaa wazaramo hata siku moja. Msumeno ukate Huku na Huku
Muongo sana huyu , kuna wafanyakazi akina john kibao, mitaani wauza ice cream kibao akina clement , na mimi kuna mzee wangu mzee joseph mwanae ni mwanasheria pale
 
Nkuu issue siyo kusema kama wapo au la. Muhimu hapa ni kutoweka maslahi ya kidini mbele kwa sababu za kibiashara huoni kama inaweza kumpunguzia soko mfanyabiashara ikiwa utang'ang'ania kumnasibisha na udini? Haijalishi awe muislam au mkristo.

Sio kweli , Muongo kwani bakhresa yuko Tanzania peke yake? naishi Uganda, huku waislam wachache , inamaana ame import watanzania waislam? congo na Rwanda je? what abaout Malawi , nako kaajiri waislam? au anawapenda waislam wa Tanzania tu, acheni hasad
 
Jamani muacheni naye awabebe wa upande huo! Wameachwa nyuma sana kwenye ajira.
Sema kungekuwa na asilimia wakristo 30 waislamu 70
Na mchaga akiajili kwenye kampuni yake kuwe na sheria ya asilimia kidini na kikabila
Kampuni ni yake aifai kumwingilia MTU na maliyake Ila kama utaki wafanyakazi wa dini fulani ni vizuri kutangaza waziwazi kua tuna ajiri waislamu tu au wakristo tu kuliko kusumbua watu kuomba kazi
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…