Bakhresa group punguzeni udini

Bakhresa group punguzeni udini

Status
Not open for further replies.
Bakhresa group au Azam kama wengi wanavyoifahamu kampuni hii, ina udini sana!

Sehemu zao zote walikowekeza ili upate kazi kipaumbele ni lazima uwe unaabudu Islamic; kwanini?!

Anzia kwa madereva wa maroli na gari ndogo ili upate kazi lazima uitwe Juma, Hamia, Hamis, Abdul, Aisha na majina fanani na hayo!

Viwanda vyote vya juice, biscuits na chocolate lazima uwe na sifa hiyo.

Hii si sawa kabisa!Hivi hawa akina John, Eliakim, Annastazia na wengine wengi wakiamua kususia bidhaa zako itakuwaje?

Hata Rwanda sasa wameanza kulalamikia jambo hilo. Mfagizi tu wa OFISI eti lazima awe Islamic! Na hata sasa nasikia una boti inayotoa huduma kiislamu pekee!

Tambua bidhaa zako hazinunuliwi na waislamu pekee na acheni ubaguzi!
Ndivyo walivyoamua tangu mwanzo.

Ni ngumu kuwabadilisha kwasababu udini upo kwenye damu zao.
 
Hawezi kuijua hiyo hesabu kwa sababu haoni idadi ya misikiti au wamiliki nyumba miji mikubwa mingi. Achilia mbali Pwani. Atazame Kigoma, Mwanza, Dodoma, Singida, Tabora nk. Na wanachosahau wakati wanaogopa umaskini kwa kuzaa waislamu wanazaana. Kwa mujibu wa Pasco "kuna vifo vingi kutokana na umaskini ndio maana idadi ya waislam inapungua!!!!!"
Listi mikoa yote ya Tanzania then taja mikoa yenye waislam majority
 
Mkuu ungekuwa na case study inayokuhusu wewe mwenyewe ingependeza zaidi kuliko kufanya generalization , kama ulifanya application kwenye moja ya kampuni zake na ukaambiwa we tumekuacha kwa ajili ya dini yako na mwenzio akachukuliwa kwa ajili ya dini uke ingependezza zaidi!
Kwani watakuambia tumekuacha kwaajili ya udini ili uwastukie???
 
Mfumo kristo uliwaacha nyuma sana waislamu, sasa Bakhresa ni muumini mzuri wa hiyo dini wacha awasaidie ndugu zake na dini yake inamuelekeza kufanya hivyo.

Huyu Firdaus inamuhusu na vile vibira.
Mfumo Kristo ndio nini?

Hebu tueleze kinagaubaga yakhee
 
Mimi nilifanya interview na kushinda katika process ya kusign contract wakanifukuza walipogundua mimi ni Mkristo.

Natumia jina la Athumani, so they thought ni muislamu, walipogundua ni mkristo wakanifukuza

Tena katika mikataba yao kuna kipengele cha dini gani? As the qsn.
Ni kweli kabisa ni Wadini sana
 
Sasa kwa mwenyekiti wa Madrasa mnalialia nini? Au mna mpango wa Azimio la Arusha ili mumtaifishe mali zake? Makatonta wasomi ndio wamefisidi hii nchi kufikia hapa tulipo!!
Je tukiacha walivyoua mashirika ya umma, ushirika na mashamba tumesahau WALIVYOSHIRIKI UJAMBAZI WA ESCROW? Je Askofu hakupewa mgao haramu? Hao ndio wawe waajiriwa? =-O🙂
Na bado wanaajiriwa na hawachi kuiba
Halafu wanatimuliwa tena kwa wizi kila kukicha yaani hawabebeki
Acha tuangalie mwisho wake yetu macho
 
badilisha din naww uwe muislam upate neema iyo cz matajir wakubwa wote tz ni waislam na sifa moja kuu ya uislam.. muislam nduguye muislam mwenzio so muache awasaidie waislam wenzake.. km umemind tafuta zako mali uwajil wa din yko cz ni hiyar yko
Waache wamkusanyie mtu mmoja mmoja sadaka na kumtajirisha
Halafu akisema anataka kununua ndege binafsi wanatujazia server humu
 
Bara wengi ni wasukuma na wanyamwezi,wasukuma wengi ni wapagani..ukichukua waislam wa dar na tanga unalinganisha na wakristo wa mikoa isiyopungua minne
Mkuu ina maana unapingana na mohammed said aliyesema Bara ina wakristo wengi kuliko waislam ingawa wamepishana kidogo ?? Au mohammed alipotosha kwenye mahojiano ya azam
 
Hebu list mikoa yote ya Tanzania alaf onyesha mikoa ambayo waislam ni wengi zaidi....so unasema Dar hakuna Wakristo au???
Dar wakristo wachache walioletwa na ajira serikalini,dar,tanga,pwani,mtwara,lindi,ruvuma,singida,tabora,kigoma,morogoro,kilimanjaro waislam wapo wa kutosha,mikoa mingine hawakosekani pia
 
Dar wakristo wachache walioletwa na ajira serikalini,dar,tanga,pwani,mtwara,lindi,ruvuma,singida,tabora,kigoma,morogoro,kilimanjaro waislam wapo wa kutosha,mikoa mingine hawakosekani pia
Hesabu idadi ya makanisa na ya misikiti hapo Dar alaf ulete majibu
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom