Bakhresa group punguzeni udini

Bakhresa group punguzeni udini

Status
Not open for further replies.
wakati wanasoma wao walikua madrasaa, ila sasahivi mwamko mkubwa, top 10 za mwisho kitaifa mikoa ndio ile ile ya madrasa
Sasa kwa mwenyekiti wa Madrasa mnalialia nini? Au mna mpango wa Azimio la Arusha ili mumtaifishe mali zake? Makatonta wasomi ndio wamefisidi hii nchi kufikia hapa tulipo!!
Je tukiacha walivyoua mashirika ya umma, ushirika na mashamba tumesahau WALIVYOSHIRIKI UJAMBAZI WA ESCROW? Je Askofu hakupewa mgao haramu? Hao ndio wawe waajiriwa? =-O🙂
 
Serikali ya magufuli inaudini,ofisi zote za umma 90% ya watumoshi ni wakiristo,mabalozi,makatibu wakiu,mawaziri, Nk.
Cause wakristo ni wengi zaidi nchini so ni kawaida.
 
Hilo jee si kibwazaidi? Maana afadhali Azam ni kampuni binafsi lakini nchi YETU wote.na yz waislamu ni zaidi ya 60% .
Lakini ukija vyuoni,kazini,serikalini wanabaki 20% Inakuwaje kama simoakati wa udini?
Toa ushahidi wa data zako
 
Katika Ulimwengu wa Roho wako Sahihi kabisaaa....Hata wewe ukiwa na Kampuni Yako ni lazima Nafasi za Cheo cha juu kwenye ngazi za kimaamuzi uweke watu wa Imani yako.

Hebu fikiria bakhresa Kila Ijumaa anapeleka sadaka akiambatanisha na Maombi msikitini anakosali anamuambia Mungu wake nakuomba ubariki biashara yangu ....katika ulimwengu wa roho ile Sadaka ina nena na Mungu anayepokea ile Sadaka anakuwa anakabidhiwa ile Biashara/kampuni.
Sasa fikiria Unakuta Kamuajiri labda Meneja Mkuu ni Mkristo safi...kila Jumapili anaenda Kanisani Anatoa Sadaka na Fungu la Kumi akimuambia Yesu Kristo alinde Kibarua Chake... Sasa Katika ulimwengu Wa roho ile Sadaka itasababisha Miungu wawili Tofauti wapiganie Kuongoza / Kulinda Madhabahu katika Kitovu cha Biashara hiyo...Na Mungu mwenye Nguvu Ndiye anayeshinda
Kwa hali ya kawaida utaona ni ubaguzi ila kiuhalisia anajua anachokifanya
 
wakati wanasoma wao walikua madrasaa, ila sasahivi mwamko mkubwa, top 10 za mwisho kitaifa mikoa ndio ile ile ya madrasa
Ndio hao hao ambao hawakusoma waliwazidi uzalendo makatonta wakatafuta uhuru wa nchi. Na wanaojisifia usomi wakaifilisi nchi kwa kiwango cha lami.
 
Hujalazimishwa kununua bidhaa za bakhresa.

Unaenda kununua kutokana ubora wa bidhaa zilizotengenezwa na waislamu. Sioni tatizo lipo wapi.

Mbona sirikali inayoendeshwa kwa kodi zetu inabagua watu wa kuwaajiri kwa misingi ya dini (ukiristu) na ukabila (kada ya ziwa)??

Nakuuliza wewe mbona husemi???

Yani kampuni yangu afu unipangie wa kuwaajiri, we mpuuzi kweli
Toa ushahidi kuwa serikali inaajiri wakristo tu.
 
Waislam hardly wanaweza kuwa 40% maximum nchi nzima. Wapo concentrated pwani zaidi ndo majority.
Kwani upande upi wa nchi una watu wengi!?..upande upi hauna waislam?..kamuulize mtei atakupa ukweli
 
Kwani upande upi wa nchi una watu wengi!?..upande upi hauna waislam?..kamuulize mtei atakupa ukweli
Knowledge ya kawaida ya Demographics,historia na anthropology inatosha kujua kama wakristo ni wengi zaidi
 
Bakhresa group au Azam kama wengi wanavyoifahamu kampuni hii, ina udini sana!

Sehemu zao zote walikowekeza ili upate kazi kipaumbele ni lazima uwe unaabudu Islamic; kwanini?!

Anzia kwa madereva wa maroli na gari ndogo ili upate kazi lazima uitwe Juma, Hamia, Hamis, Abdul, Aisha na majina fanani na hayo!

Viwanda vyote vya juice, biscuits na chocolate lazima uwe na sifa hiyo.

Hii si sawa kabisa!Hivi hawa akina John, Eliakim, Annastazia na wengine wengi wakiamua kususia bidhaa zako itakuwaje?

Hata Rwanda sasa wameanza kulalamikia jambo hilo. Mfagizi tu wa OFISI eti lazima awe Islamic! Na hata sasa nasikia una boti inayotoa huduma kiislamu pekee!

Tambua bidhaa zako hazinunuliwi na waislamu pekee na acheni ubaguzi!
Kuna wazungu na wakenya na sio waislam
 
Upishi unapogoma!!!
CIA 65% kwa 32%
Halafu:
Televisheni ya Serikali ya Tanzania TBC iliwahi kuripoti kuwa Waislamu ni asilimia 32, Wakristo asilimia 52 na Wapagani asilimia 16 wakati Idara ya Uhamiaji ikionesha kuwa mwaka 2010 Waislamu walikuwa ni asilimia 35,Wakristo asilimia 32 na Wapagani asilimia 33?
Aidha amesema Chapisho la Serikali la Ramani ya Taifa linaonyesha kuwa
mwaka 2011 Waislamu nchini Tanzania walikuwa asilimia 35, Wakristo asilimia 45 na Wapagani asilimia 20.
Mseto mzuri tu huu
 
Tafuta sensa ya mwaka 1969 utapata jibu.
Labda ikiwa kuna maradhi yalipita yakaua waislamu ama waliuawa kinyama ndipo hesabu ikapinduka kuwa hii ya siku hizi.
Kwa knowledge ya kawaida tu ya historia, anthropology na demographics za nchi inatosha kuona kuwa wakristo ni wengi zaidi. Chukua mikoa yote ya nchi hii then tafuta dini gani ni majority then leta majibu
 
Kuna wazungu na wakenya na sio waislam
Watakuumisha kichwa, sasa hivi wanamshabikia MO kana kwamba naye si muislamu!!!
Ndio maana baada ya haki za ujirani tumeusiwa kujihadhari nao maana hila zao ni nyingi na chuki yao ni kubwa.
Hawafurahi kuona neema kwa muislam awaye yeyote.
 
Knowledge ya kawaida ya Demographics,historia na anthropology inatosha kujua kama wakristo ni wengi zaidi
hebu lete hyo knowledge..ukristo uliokuja na wamisionari karne ya 18 hauwezi shindana na uislam uliokuja mapema zaidi na kuingia ndani ya tanganyika..waislam wa dar tu wanacover population ya mbeya na iringa
 
Kwa knowledge ya kawaida tu ya historia, anthropology na demographics za nchi inatosha kuona kuwa wakristo ni wengi zaidi. Chukua mikoa yote ya nchi hii then tafuta dini gani ni majority then leta majibu
Ikiwa na wapagani ni wakristo nakubaliana na hesabu yako kama ilivyokuwa South Sudan. Leo hii bado kinaumana baina ya pagans na christians lakini haitangazwi tena.
Utando wa buibui unaaminika ni nyumba imara na buibui kwa sababu inamsaidia kupata rizki yake ila ni nyumba dhaifu na isiyomsitiri kwa adui zake.
 
badilisha din naww uwe muislam upate neema iyo cz matajir wakubwa wote tz ni waislam na sifa moja kuu ya uislam.. muislam nduguye muislam mwenzio so muache awasaidie waislam wenzake.. km umemind tafuta zako mali uwajil wa din yko cz ni hiyar yko
 
Bara wengi ni wasukuma na wanyamwezi,wasukuma wengi ni wapagani..ukichukua waislam wa dar na tanga unalinganisha na wakristo wa mikoa isiyopungua minne
Hebu list mikoa yote ya Tanzania alaf onyesha mikoa ambayo waislam ni wengi zaidi....so unasema Dar hakuna Wakristo au???
 
hebu lete hyo knowledge..ukristo uliokuja na wamisionari karne ya 18 hauwezi shindana na uislam uliokuja mapema zaidi na kuingia ndani ya tanganyika..waislam wa dar tu wanacover population ya mbeya na iringa
Hawezi kuijua hiyo hesabu kwa sababu haoni idadi ya misikiti au wamiliki nyumba miji mikubwa mingi. Achilia mbali Pwani. Atazame Kigoma, Mwanza, Dodoma, Singida, Tabora nk. Na wanachosahau wakati wanaogopa umaskini kwa kuzaa waislamu wanazaana. Kwa mujibu wa Pasco "kuna vifo vingi kutokana na umaskini ndio maana idadi ya waislam inapungua!!!!!"
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom