Bakhresa group punguzeni udini

Bakhresa group punguzeni udini

Status
Not open for further replies.
Ni kweli nimeshachagua kwangu SSB NO
lakini aliyepewa kapewa mkuu hata ukigomea wewe haitasaidia maadam hajakufanyia ubaya wowote ataendelea kustawi tu kibiashara. analeta ndege 15 kwa kuanzia hapo zanzibar umeisikia hiyo?
 
Hujadanganya upo sahihi kabisa yani hawa wote hadi Mohamed mo, yan hata ukiomba field wanataka uwe Muslim na kama wa kiume uwe na hata mzuzu ndio wanakuamin, bint uwe umepiga baibui full hapo utapata. Ila uende smart tuuu na u Jackson wako, barua yako inafutiwa meza au kufungiwa vitafunwa
Mmh makubwa...
 
Kama haya malalamiko ni ya kweli hatari sana lakini ukiachilia Mbali Bakhresa Sekta binafsi kuna shida ya ukabila na Udini. Uwezi ukakuta kampuni ya mchaga wamejaa wazaramo hata siku moja. Msumeno ukate Huku na Huku
Kuna shirika/organization moja hivi imejaa wakurya na wajaluo ni hatari. Ili mradi tuna dini na makabila, udini na ukabila haviwezi kuisha.
 
Hujadanganya upo sahihi kabisa yani hawa wote hadi Mohamed mo, yan hata ukiomba field wanataka uwe Muslim na kama wa kiume uwe na hata mzuzu ndio wanakuamin, bint uwe umepiga baibui full hapo utapata. Ila uende smart tuuu na u Jackson wako, barua yako inafutiwa meza au kufungiwa vitafunwa
Wakristo mmezidi kunywa pombe hivyo mtaharibu kazi. Pili wakristo hamuogopagi dhambi ili mradi dili liko mbele yenu. Angalia hata maaskofu akina kilaini na nzigilwa walipiga escrow. Hamuamuniki nyie makafili. Dini yenu ina walakini na utaratibu wa watu tu siyo ya kweli
 
Wengi ya wapemba ni wadini (wa Unguja ni wachache mno mambo ya udini) akiwemo huyo Bakhresa ni mpemba.
 
Wenzetu japo si wote ila wengi mnatabia ya kufuatilia mtu sijui mkoje awamu ya pili mmesema sana kama haitoshi na awamu ya nne mkasema sana, sasa mmetulia kimya wakati mliaminishwa kuwa upande wa pili hawana elimu mkionyeshwa kwamba hata huko kuna wasomi mnalalamika, hivi hizi lawama mnafundishwa kwenye nyumba za ibada? Hili swali nauliza kila mara humu sipati jibu, acheni roho za kwanini fanyeni kazi
 
Bakhresa group au Azam kama wengi wanavyoifahamu kampuni hii, ina udini sana!

Sehemu zao zote walikowekeza ili upate kazi kipaumbele ni lazima uwe unaabudu Islamic; kwanini?!

Anzia kwa madereva wa maroli na gari ndogo ili upate kazi lazima uitwe Juma, Hamia, Hamis, Abdul, Aisha na majina fanani na hayo!

Viwanda vyote vya juice, biscuits na chocolate lazima uwe na sifa hiyo.

Hii si sawa kabisa!Hivi hawa akina John, Eliakim, Annastazia na wengine wengi wakiamua kususia bidhaa zako itakuwaje?

Hata Rwanda sasa wameanza kulalamikia jambo hilo. Mfagizi tu wa OFISI eti lazima awe Islamic! Na hata sasa nasikia una boti inayotoa huduma kiislamu pekee!

Tambua bidhaa zako hazinunuliwi na waislamu pekee na acheni ubaguzi!
Azam/Bakhresa ni wadini sana, yaani NI LZAMA UWE MUISLAMU ili ufanye kazi huko. Ni LAZIMA UWE MUISLAM!!!!!!!!!!!! Nawachukia sana. Ngoja tuanzishe kampeni ya kuwapiga chini hawa wajahidina
 
lakini aliyepewa kapewa mkuu hata ukigomea wewe haitasaidia maadam hajakufanyia ubaya wowote ataendelea kustawi tu kibiashara. analeta ndege 15 kwa kuanzia hapo zanzibar umeisikia hiyo?
Mkuu mimisimuonei wivu Kwa sababu ya kupata kwake nampongeza kuifanya SSB kuwa brand kubwa east central and south Africa nahisi nikiacha kutumia bidhaa zake kidogo napata faraja ya moyo mengine nahisi ni personal
 
Mkuu siwezi kukutukana hata moyoni, naomba unisamehe maana inawezekana moyoni umehisi nimekutukana
Kuhusu wingi wa like ni kwamba like haziamui uzito wa hoja, kama ambavyo watu hufanana akili ndivyo hivyo pia huweza kufana ujinga. Nakupenda na kukuheshimu sana ndugu yangu.
Ni kweli hapo kwenye likes. Mfano wasukuma hwa wanapeana likes tu hata kama ni pumba!
 
Azam/Bakhresa ni wadini sana, yaani NI LZAMA UWE MUISLAMU ili ufanye kazi huko. Ni LAZIMA UWE MUISLAM!!!!!!!!!!!! Nawachukia sana. Ngoja tuanzishe kampeni ya kuwapiga chini hawa wajahidina
kuwapiga chini hutaweza. maana azam ana viwanda zimbabwe malawi kenya rwanda south africa zambia msumbiji uganda congo botswana . kwahiyo utajichosha tu .pole umesikia anaingiza ndege 15 huko kisiwani ? wivu.com wivu.com wivu.com wivu.com
 
Azam/Bakhresa ni wadini sana, yaani NI LZAMA UWE MUISLAMU ili ufanye kazi huko. Ni LAZIMA UWE MUISLAM!!!!!!!!!!!! Nawachukia sana. Ngoja tuanzishe kampeni ya kuwapiga chini hawa wajahidina
Kwanini hamtaki hata kutumia akili kwenye mambo kama haya? Yaani wewe hujawahi kuona wakristo Azam au chuki zako za kidini tu?
Hiyo kampeni hata upige na ukoo wako wote utashindwa? Wenzako walizianza tangu miaka ya 2000 na kibaya zaid anazidi kwenda mbele kuliko kurudi nyuma.
 
Mkuu mimisimuonei wivu Kwa sababu ya kupata kwake nampongeza kuifanya SSB kuwa brand kubwa east central and south Africa nahisi nikiacha kutumia bidhaa zake kidogo napata faraja ya moyo mengine nahisi ni personal
sasa kama humuonei wivu hilo sononeko la moyo unalolitafutia faraja linatokea wapii? duuu pole
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom