Bakhresa group punguzeni udini

Bakhresa group punguzeni udini

Status
Not open for further replies.
Yani hawa watu nmetokea kutowapenda hata kidogo ni wabaguzi mno,hawa azam wa.puuzi sana hata king'amuzi chao wamejaza channels za kihindi as if consumer wa bidhaa zao ni waislam wote nmekiuza juz hcho kisimbus chao nmenunua dstv na home kwangu marufuku bidhaa za huyu n.g.urue
sasa mkuu wahindi na uislam wapi na wapi? bora hata ungesema kajaza channel za kiarabu kidogo ungetushawishi. tuache chuki zisizo na mpango tuchape kazi.
 
Nimepunguza kununua bidhaa zake muda mrefu Sana nitanunua endapo nitakosa bidhaa ninayoitaji katika hilo eneo
 
Yani hawa watu nmetokea kutowapenda hata kidogo ni wabaguzi mno,hawa azam wa.puuzi sana hata king'amuzi chao wamejaza channels za kihindi as if consumer wa bidhaa zao ni waislam wote nmekiuza juz hcho kisimbus chao nmenunua dstv na home kwangu marufuku bidhaa za huyu n.g.urue
Ujinga ni mzigo kweli, ukaona wahindi wote ni waislam kwa akili zako na hicho ndio kigezo chako cha Azam kuwa wabaguzi.
Kinachokuhangaisha ni chuki na itakusumbua kweli.
 
Hujadanganya upo sahihi kabisa yani hawa wote hadi Mohamed mo, yan hata ukiomba field wanataka uwe Muslim na kama wa kiume uwe na hata mzuzu ndio wanakuamin, bint uwe umepiga baibui full hapo utapata. Ila uende smart tuuu na u Jackson wako, barua yako inafutiwa meza au kufungiwa vitafunwa
 
Mkuu siwezi kukutukana hata moyoni, naomba unisamehe maana inawezekana moyoni umehisi nimekutukana
Kuhusu wingi wa like ni kwamba like haziamui uzito wa hoja, kama ambavyo watu hufanana akili ndivyo hivyo pia huweza kufana ujinga. Nakupenda na kukuheshimu sana ndugu yangu.


Tusema walionipa like ni kwa kufanana kwetu ujinga. Hapo utakuwa hujanitukana.
 
Anzisha kiwanda chako...! acha kulalama. Nimesoma heading ya uzi tu sijasoma post ya kwanza. Tusilaumiane.
 
Nimepunguza kununua bidhaa zake muda mrefu Sana nitanunua endapo nitakosa bidhaa ninayoitaji katika hilo eneo
Usipokunywa utakula, halafu kupitia hela ysko uliyokuwa unanunulia hivyo vitu kajenga na hotel ksbisa na watu wataenda kwa fujo bila kujali hizi kelele za vijana wanaotaka kwenda kupiga picha na videmu vyao kusikia hapo sio danguro mje mkiwa na vyeti vya ndoa na kama ni pombe nendeni mtaani baa kibao.
 
Bakhresa group au Azam kama wengi wanavyoifahamu kampuni hii, ina udini sana!

Sehemu zao zote walikowekeza ili upate kazi kipaumbele ni lazima uwe unaabudu Islamic; kwanini?!

Anzia kwa madereva wa maroli na gari ndogo ili upate kazi lazima uitwe Juma, Hamia, Hamis, Abdul, Aisha na majina fanani na hayo!

Viwanda vyote vya juice, biscuits na chocolate lazima uwe na sifa hiyo.

Hii si sawa kabisa!Hivi hawa akina John, Eliakim, Annastazia na wengine wengi wakiamua kususia bidhaa zako itakuwaje?

Hata Rwanda sasa wameanza kulalamikia jambo hilo. Mfagizi tu wa OFISI eti lazima awe Islamic! Na hata sasa nasikia una boti inayotoa huduma kiislamu pekee!

Tambua bidhaa zako hazinunuliwi na waislamu pekee na acheni ubaguzi!
mtoa mada wewe ndio.mdini
umefanya wapi hiyo comperative study mpaka ukakaja na hii conclusion ya hovyo. unasema bahresa ni wadini je umelinganisha na taasisi gani nyingine?
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom