sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,408
- 19,034
Vitisho vya ziada navyo ilibidi vitumike 😁😁Wahenga walikua na akili,lakini sababu walizokuwa wanatumia sasa utasikia "ukila mayai utazaa mtoto hana nywele "😆😆😆
Hivi sky kuna uhusiano gani kati ya mimba na kupenda pombe,, mi si mpenda pombe kabisa ila nikiwa mjamzito nakunywa pombe jamani hata zile kali na silewi,Kuna mama hakunywa pombe kipindi chote cha uja uzito, baada ya kujifungua alikata Ndovu baridi 10 za papo kwa papo.
Naunga mkono hoja. Wazungu wanatutengenezea matatizo mengi yasiyo na lazima.Wahenga zetu kwa namna moja au nyingine walikuwa na akili sana.
Zamani haya mambo ya upasuaji yalikuwa bado sana na mtoto alikuwa anazaliwa nyumbani kwa msaada wa wakunga ila kazi ya kumtoa mtoto kwa kiasi kikubwa ilikuwa kwa mwanamke kumsukuma mtoto atoke, hakukuwa na shortcut ya upasuaji kwa hio ilibidi maandalizi ya mapema mno yafanyike mtoto awe mdogo ili apite kwa uhakika kwenye njia ya mama yake.
Vyakula vyenye protini viligundulika kufanya mtoto kuwa mkubwa na kuleta shida kupita kwenye njia ndio maana wanawake hasa wajawazito walikatazwa kula.
Siku hizi sishangai wanawake wengi sana kujifungua kwa upasuaji maana hula sana kuku, mayai, nyama, chipsi yai, n.k
Hiyo namba mbili ina ukweli?Kuna matatizo makuu mawili siku hizi;
1. Kuzaa sio tena jambo linalokuja natural, imekuwa fashion. Wanawake wanashika mimba siku hizi kwa vile tu Rihana (mfano) ana mimba. Na ikitokea huyo Rihanna akajifungua kwa operation basi kina bossbabe na bosschic nao wote wanaenda kupigwa kisu.
2. Wanawake wengi wanaishi kwa mtaji wa nyuchi zao. Hivyo kuhofia kutoonekana mnato wanaamua kupigwa visu.
Kwa kifupi hakuna uasilia tena wa jambo lolote. Kila kitu kinaendeshwa kwa nguvu ya trend za mitandao na maslahi ya kipato.
Balimi inasakafiwa na konyagi. Nisawa na kifunga linta ya tofali katika nyumba ya maweSiku hizi hawali maembe mimba zinawapeleka vibaya utasikia baby nataka balimi tano! Na halewi!..
Hapo ataomba na ka konyagi ka kusakafia balimi zake tano!..
Wapumbavu tu, mbona dawa za uzazi wa mpango zinawasababishia nyuchi kuwa madimbwi, baridi, ugumba na kupelekea Me kukosa kabisa msisimuko wa ladha ya tendo la ndoa lakini hawaangalii hiloKuna matatizo makuu mawili siku hizi;