Nyalotsi
JF-Expert Member
- Jul 20, 2011
- 6,989
- 5,066
Hahahaaaa....lol nashukuru sijawahi pata ili jibu.. mutuwache tudeke kwenu bhana msiwe wagumu sana
Tatizo mnaleta uzungu mno!! Sie ni waafrika wenye tamaduni za kiafrika
Hahahaaaa....lol nashukuru sijawahi pata ili jibu.. mutuwache tudeke kwenu bhana msiwe wagumu sana
'...hab u kno ma cazin amerudishwa hm coz ya xul fiz!..'
yah ilinisumbua,ngoja nicheki tenasijafunga ngoja nicheki kidogo kwani inakusumbua?
Ha aha ahaaaa uzuri wa type hii huwa hawana umimi yaani akifumania nyavu naye kukupiga mi perfume sijui mashuka ya home sio issue na akipata training hata Arusha tu hakawaii kukuambia"much as wananilipia chumba just drive will host you huku" mzee tartiibu unaenda hapo Nashera unapumzisha mtima"!!!!!!
Yaani mnajiongeza flani hivi na wengi sio kununa type!!!!!
Unawezaa safiri ukamuachia gari akakurudishia limeoshwa na full tank!!!!!
Huku side B sasa????!!!!!!!Akiwa nacho hujui akiwa hana anakununia yani kama konda hesabu haijatimia!!!!!
mbona nimeshafungua na iko huru umeshindwa kuingia au kwako inagoma?
Wa aina hii wako poa sana. Kuna mmoja bhana niliwahi kumfuma, siku aliyonitembelea kaja na begi zima la mashuka, vitambaa suruali na t shirt za kutosha. Anavyoondoka nilijikuta natoa tu hela bila kinyongo.
cc miss chagga
Lazima vijana wapate soma jirani!
hHahha wameshakuelewa baba lao si unawaona hata popcorn wanabania
Naona itifaki inazingatiwa hawachezi nje ya kanuni.
Tatizo mnaleta uzungu mno!! Sie ni waafrika wenye tamaduni za kiafrika
Bora kuwekeza kwenye matofali na mchanga upate nyumba kibamba
Wa aina hii wako poa sana. Kuna mmoja bhana niliwahi kumfuma, siku aliyonitembelea kaja na begi zima la mashuka, vitambaa suruali na t shirt za kutosha. Anavyoondoka nilijikuta natoa tu hela bila kinyongo.
hahahahaha wamezidisha chumvi mboga hailiki tena
Mwingine kanipigia cm sasa hivi yuko chuo,eti 'baby unajua sijala hadi sasa hivi?'....sasa nimjibu nini?!
Waalah, umenipa roho kuuma nakuja pm soon tuchukuane maelezo!
miss chagga, hivi unajua wewe ndio ulifilisi duka langu kwa jinsi ambavyo nilikuwa nakugaia mipesa ya biasharaupendo na kutoa acha ubahili wewe