Babe unaweza kuniletea popcorn

Babe unaweza kuniletea popcorn

Watu wanaishi maisha ya kwenye movie.
 
Umeona eeh..mizinga ya millions sawa lakini popcorn.. drinks..foods...oooh

Aaah kabisa shost, waache zao hivi vitu hata watoto wa sekondari wanaafford. Je wakipigwa mizinga ya maana si mtu anahama mkoa sijui nchi.
 
Boss (manake at this age nikikuita babe utajua unaibiwa live), zile mileage zako zimefika ngapi wangu manake nna hamu nazo hadi naskia kihindihindi. Hebu nifanyie mpango wa ticket mbili za dubai shaaa niende na dogo tukafurahie wokovu wetu wenye dhambi. Yaani hapo ukicheka imeshakula kwako! Mie nipige mzinga wa chipsi na nna shamba la viazi?
Got a tag???!!
 
Sasa kama mwanaume atashindwa vitu vidogo hivyo, ni kipi anachoweza tena?
Bora kulalamika bidada anataka kubadilishiwa gari kila mara au mizinga ileeeeeee mikubwaaaaa.

Haba na haba hujaza kibaba, akija kushtuka hapo ndani ya mwezi mmoja gharama aliyotumia angekuwa na rava-4
 
Boss (manake at this age nikikuita babe utajua unaibiwa live), zile mileage zako zimefika ngapi wangu manake nna hamu nazo hadi naskia kihindihindi. Hebu nifanyie mpango wa ticket mbili za dubai shaaa niende na dogo tukafurahie wokovu wetu wenye dhambi. Yaani hapo ukicheka imeshakula kwako! Mie nipige mzinga wa chipsi na nna shamba la viazi?

Ha aha ahaaaa uzuri wa type hii huwa hawana umimi yaani akifumania nyavu naye kukupiga mi perfume sijui mashuka ya home sio issue na akipata training hata Arusha tu hakawaii kukuambia"much as wananilipia chumba just drive will host you huku" mzee tartiibu unaenda hapo Nashera unapumzisha mtima"!!!!!!

Yaani mnajiongeza flani hivi na wengi sio kununa type!!!!!
Unawezaa safiri ukamuachia gari akakurudishia limeoshwa na full tank!!!!!

Huku side B sasa????!!!!!!!Akiwa nacho hujui akiwa hana anakununia yani kama konda hesabu haijatimia!!!!!
 
Tabia haijifichi kama cjala lazma nimwambie. kwan nakuwa nimetenda dhambi?

Sio kula tu we muagize mpaka pads na pantliner sio aje tu akute mambo sawa hajui hata brand ya pad unazotumia na bei yake!!!!
 
Boss (manake at this age nikikuita babe utajua unaibiwa live), zile mileage zako zimefika ngapi wangu manake nna hamu nazo hadi naskia kihindihindi. Hebu nifanyie mpango wa ticket mbili za dubai shaaa niende na dogo tukafurahie wokovu wetu wenye dhambi. Yaani hapo ukicheka imeshakula kwako! Mie nipige mzinga wa chipsi na nna shamba la viazi?
halafu we king'asti mbona unaniharibia?usimfundishe wifi yako,ataniua!!
 
Sio kula tu we muagize mpaka pads na pantliner sio aje tu akute mambo sawa hajui hata brand ya pad unazotumia na bei yake!!!!

Bila shaka nimekusoma hz tabia za kukwepa kuhudumia cjui nan anawafundsha watu hawa ndio wanaopenda wahudumiwe wao
 
Sasa kama mwanaume atashindwa vitu vidogo hivyo, ni kipi anachoweza tena?
Bora kulalamika bidada anataka kubadilishiwa gari kila mara au mizinga ileeeeeee mikubwaaaaa.

Kama vipi poa,na sisi ME tukitaka vitu vikubwa muwe tayari!km 0713..
 
Aaah kabisa shost, waache zao hivi vitu hata watoto wa sekondari wanaafford. Je wakipigwa mizinga ya maana si mtu anahama mkoa sijui nchi.

Mi ndio hapo huwa nachoka kabisa maana mmmh...
 
"Babe unaweza kuniletea
popcorn...babe i want to
go movie kesho...babe on
saturday i need to go
swimming...babe in the evening
lets go
Marrybrown..."
heeeee

Mungu wee hawa
wasichana wa Kimarekani
waliokosea njia wakazaliwa bongo
fanya mpango wote wapate viza
wakaishi Marekani utuondolee
usumbufu.

kim Kardashian wanna be#fake life#
 
Back
Top Bottom