pierre tall
JF-Expert Member
- Nov 5, 2013
- 4,245
- 3,731
afu hakuna hata siku moja aliyokushauri jambo la maendeleo....tanda lupeta
hahaahahhaha, hiyo hela unaacha milioni ngapi hadi ahonge? Embu acheni kujikweza jamani. Hela inaachwa ukiiina unaanza kuumwa kichwa kupanga budget kuanzia chai hadi hela za shule za watoto na dinner hapo hapo. Wakati nyie mnakula mchemsho huko maofisintatizo dis time utamchukua golikipa na kumweka ndani matokeo yake fungu unalomwachia anaanza kuhonga serengeti boy,hawa viumbe hawabebeki.
Ha ha haaaa TATIANA anajidai dermatologist ati anajua sana ngozi na uandaaji wa skin grafting!!!!!!!!!!
Hahahahaahaaaa... OLESAIDIMU jambo ipo?
"Babe unaweza kuniletea popcorn...babe I want to ,go movie kesho...babe on saturday I need to go swimming...babe in the evening
lets go Marrybrown..."heeeee
Mungu wee hawa wasichana wa Kimarekani waliokosea njia wakazaliwa bongo fanya mpango wote wapate viza wakaishi Marekani utuondolee usumbufu.
afu hakuna hata siku moja aliyokushauri jambo la maendeleo....tanda lupeta
Jambo saaana rafiki TATIANA !!!!!! meamkaje???
Halafu hili jina lako asee!!!!!!!!!!!!!!!..........................wa...tu....ukiongeza hayo huko mwanzo!!!!!:tape::tape:
umefunga PM???.....mhweeeeeeeeeeeeee huyo huyo uliyenaye ndo yuko hivyo wanawake wa siku hizi ni wachakarikaji kupindukia nyie mnataka mvalishwe na wao sisi hatuko hivyo kamwe hatuko hivyo
Hahahaaaaaa... huku salama hali ya hewa shwari..
Mmmh huo mnyumbulisho hahahaaasss
Aaanh yaani sijui mawazo yalienda kuzurura wapi yakarudi na hiyo!!!!!!
Haya kama we mzima mie burdaaaan
mweeee hadi ninejiskia kulia Konnie
Promithi you nitakuwa naingia huku kwa ajili yako tu
Huyu bhange mwingine hanipi shida nshamvalia sangoogles tayar.
Uwage unanisitua.
Will come.
Jus for u,and zombie ofukozi!
Natumaini hujapelekwa na mafuriko Kama ndio Sema ni wapi ulipotupwa tuwahi kujichukulia vyetu
umefunga PM???.....mh