Babe unaweza kuniletea popcorn

Babe unaweza kuniletea popcorn

Ni sawa Dr ndio maana mtu unashauriwa uchague mpenzi/mke wa tabia uitakayo.
Sasa mtu size yake wa buku ten, unakuwa. na mtu atakaye millions ukishindwa utamlaumu nani? Dr.Mo
Ni kweli bantu lady vinawaza kuwa vidogo au vitu vokubwa.. Lkn tatizo ni jinsi mtu anavyoviomba ..yaani ni km kuchuna buzi vile.. Uswahilini tumeona ss
 
kuna mmoja alikuwa na mizinga kila simu anayopiga mizinga nikastuka nikawa sipokei wala kujibu text zake akaona hii ngoma inaelekea mwisho akajitutumua siku kunitext babe nina mimba yako kiroho safi nikamjibu kwani mimi doctor bingwa wa kutoa mimba......mpaka leo no text no usumbufu wa kupiga muda mwingine inakera aiseee
 
Mi nitakuletea soksi na handkerchiefs

Ilimradi tu umaanishe kunifanya niwe smart.. I will like them.! Sio kila siku nakupa hela ukatafute nguo zako na kweli unanunua zako tuuu. Hata siku moja kusema Mr, nimependa hizi soksi nikakuchukulia hakuna!!! Khaaaa!!! Na usipowapa wanalalamika hao. Unakutana tu na msg, bebi nitumie 50000 kwenye mpesa!
 
Khahahaaaa.... lol...
Au baby kodi yangu imeisha natakiwa nilipe 4mil next week mwenye nyumba kawa mkali!!!
Hapo ni jtano jumatatu hela inatakiwa
 
Hata uwe mkali vipi...such kind ya mizinga nakupiga chini kweli hata kama ni utani tu.

Kwanini girls mnashindwa kuwa na budget?

Seriously,nipige hiyo mizinga in advance lakini sio tip-tap kama vile uliwekezaga pesa wakati ukiwa mdogo halafu unazitaka mara mija tu.Inakera sana.
 
Hahahahahaaaaa..... Say YEEEES to mizinga....
 
"Babe unaweza kuniletea popcorn...babe I want to ,go movie kesho...babe on saturday I need to go swimming...babe in the evening
lets go Marrybrown..."heeeee

Mungu wee hawa wasichana wa Kimarekani waliokosea njia wakazaliwa bongo fanya mpango wote wapate viza wakaishi Marekani utuondolee usumbufu.
Ukiona dalili za mzinga tu basi muwahi mpige yeye mzinga.
 
Back
Top Bottom