OLESAIDIMU
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 19,139
- 9,574
ukitaka kuogelea maji marefu shurti ujue kuyaoga sasa we wataka vitu sio saizi yako kisha wajilizaliza kha!
Kundi la kudhulumiwa hao!!!!!
ukitaka kuogelea maji marefu shurti ujue kuyaoga sasa we wataka vitu sio saizi yako kisha wajilizaliza kha!
sorry manka,umenisamehe?ila punguza kidogoUmeamua unitangaze?
bantu lady ndo uko level hizo?!nakukimbiaSasa kama mwanaume atashindwa vitu vidogo hivyo, ni kipi anachoweza tena?
Bora kulalamika bidada anataka kubadilishiwa gari kila mara au mizinga ileeeeeee mikubwaaaaa.
Sasa kama mwanaume atashindwa vitu vidogo hivyo, ni kipi anachoweza tena?
Bora kulalamika bidada anataka kubadilishiwa gari kila mara au mizinga ileeeeeee mikubwaaaaa.
Umeamua unitangaze?
Na bora mdumae, manake mkisikia mizinga ya King'asti mtazimia!
Mwingine kanipigia cm sasa hivi yuko chuo,eti 'baby unajua sijala hadi sasa hivi?'....sasa nimjibu nini?!
hahahahaaaaaaaa,bro tusijeibiana tena!!!namwambia aku pmMwambie ani PM mi ntakujibia bob!!!
Na bora mdumae, manake mkisikia mizinga ya King'asti mtazimia!
Sasa mdogo wangu njaa yako mwenyewe kwanini impe shida shemeji yanguu???
bantu lady ndo uko level hizo?!nakukimbia
Hahahaaaa....lol nashukuru sijawahi pata ili jibu.. mutuwache tudeke kwenu bhana msiwe wagumu sana
hahaha honey hujui anataka mpesa ya chapchap
Jamani hela yote ile aliyopewa na mama ameishaimaliza mara hiii!!!!
hahahahaaaaaaaa,bro tusijeibiana tena!!!namwambia aku pm