mwingine kanipigia cm sasa hivi yuko chuo,eti 'baby unajua sijala hadi sasa hivi?'....sasa nimjibu nini?!
Sasa akishaviringisha hiyo alfu yake anachokorolea maskio ama? Afu umenikumbusha, hivi sikudai mtoko mmoja?
Am good OLESAIDIMU how are you???
Sijawahi piga mzinga huwezi amini, mimi mgumu kuomba hata kama na shida gani.
Ila mwanaume mwenyewe alikuwa anajua nini nataka na kwa muda gani. Si ndio nashangaa mpaka mtu unaombwa? Nilikuwa siombi napewa, na ambavyo nilikiwa siombi ndivyo naye alikuwa akiumizwa kichwa kunitimizia kila kitu.
Hope umenielewa MstahikiMeya
M gud baby!!!!!
Nikuletee popcorn na ice cream gani caramel ripple,oldman tofee,au ipi?????
"Babe unaweza kuniletea
popcorn...babe i want to
go movie kesho...babe on
saturday i need to go
swimming...babe in the evening
lets go
Marrybrown..."
heeeee
Mungu wee hawa
wasichana wa Kimarekani
waliokosea njia wakazaliwa bongo
fanya mpango wote wapate viza
wakaishi Marekani utuondolee
usumbufu.
mi babe wangu kanambia eti ameanza kusoma chuo kule dodoma---nkamuuliza, 'udom?', akajibu, 'ndio'. nilipomuuliza kozi anayosoma akasema kidogo nizimie---eti akanijibu kwamba BADO HAJAPANGIWA kozi! kaazi kweli kweli! nna wacwac huyu atakuwa ameenda kupiga u-harlot kwa wabunge wa BMK!
Imagine!
Af oh wanawake siku hizi hawataki kufua boxer!
Khaaaaaaa
I waz asking maisef!Sasa akishaviringisha hiyo alfu yake anachokorolea maskio ama? Afu umenikumbusha, hivi sikudai mtoko mmoja?
Buy me a diamond necklace darling you know am on a diet... love you mwaaaaaa.
Atakuwa kapata mzingo!!!!
So ajikalkuletie kama.hiyo pesa mali!!!!!
Kitabia umefanana kabisa na mpenzi wangu,,kumbe wa hii mko wengi mi nilijua ni yeye tu,, maana kabla yake sikuwahi kumpata wa hivyo.
Ni kweli mwanaume usipokuwa na tabia ya kumpiga mizinga una muweka katika hali fulani ambayo inamfanya akuone unathamani..
Isijekuwa nakuquote kumbe we ndo mpenzi wangu,,maana hizi id fake zinatustili,,,LOL
Ha ha ha, wanafua nkachifu tu?
Nakuchoraga tu endelea, umeshanianika mengi humu kwa post zako nakuchuniaga
tu. Nitakwambia kitu hapa utazimia baba yoyoo.
[MENTION=178901]Phlagiey[/MENTIONr]
Kimenuuuuk!
Utaskia si bora nikununilie muhindi wa kuchoma?
Khaaaaa!zawadi gani haina hata kidhungu chake!
Zawadi za kimahaba ni kuku wa marrrybrown (nikiisema hii kene simu ndo utaona how romantic it iz)
Ice cream hii nasema nikiwa narembuajeeeee
Ah hakyanani vijana siku hizi hawajui mahabat!