Nyalotsi
JF-Expert Member
- Jul 20, 2011
- 6,989
- 5,066
Hahahaaaahaa....depends Mimi nipo class gani. No faking.
So nikiwa high inabid ujibebe
Hilo nalijua, ila kuna wale wenzangu na Mimi tunatoka wote Ludewa akifika mjini anakuwa kama amezaliwa ocean road na kukulia masaki. Kila kitu anachotaka ni supermarket. Nikikutana na we wa kishua nitajua namna ya kukubeba.