Babe unaweza kuniletea popcorn

Babe unaweza kuniletea popcorn

Koh, koh!

cc Kongosho
mweeee hadi ninejiskia kulia Konnie
Promithi you nitakuwa naingia huku kwa ajili yako tu
Huyu bhange mwingine hanipi shida nshamvalia sangoogles tayar.
Uwage unanisitua.
Will come.
Jus for u,and zombie ofukozi!
 
Last edited by a moderator:
Sasa kama mwanaume atashindwa vitu vidogo hivyo, ni kipi anachoweza tena?
Bora kulalamika bidada anataka kubadilishiwa gari kila mara au mizinga ileeeeeee mikubwaaaaa.
Problem sio vitu vidogo.. Problem hapo no vitu vya maisha ya kuigiza flani
 
Mtu mmejuana just siku tatu b4, eti naomba unichangie laki 6 nilipie fremu nina mtaji wangu nataka kufanya biashara! Mh unaona huyu mtu anamawazo ya kuendelea au mchunaji, vile anajigeuza chukua simu yake chek fasta inbox message, watsap my God hyo laki 6 mmeombwa wanaume 5, halafu wanaume wengne nao vilaza aisee, utaona ooh baby jion nakupa lak 4 then kesho namalizia mbili...nyie wanaume amkeni.
 
Mi mwanaume akiwa hachuniki hata popcorn wa kazi gain?
Woooi!
Achukue alfu yake aiviringishe tu!

kazi ya ngu kubeba tofali tena kibarua ..kwa sku elf tatu ...yan me usiniletee hzo za popcorn
 
Mtu mmejuana just siku tatu b4, eti naomba unichangie laki 6 nilipie fremu nina mtaji wangu nataka kufanya biashara! Mh unaona huyu mtu anamawazo ya kuendelea au mchunaji, vile anajigeuza chukua simu yake chek fasta inbox message, watsap my God hyo laki 6 mmeombwa wanaume 5, halafu wanaume wengne nao vilaza aisee, utaona ooh baby jion nakupa lak 4 then kesho namalizia mbili...nyie wanaume amkeni.

Wappo wengi sana
 
Mmh...usiwe hivyo ..hivi kale ka 1mil nilichokuomba vipi hun?
 
Problem sio vitu vidogo.. Problem hapo no vitu vya maisha ya kuigiza flani

Ni sawa Dr ndio maana mtu unashauriwa uchague mpenzi/mke wa tabia uitakayo.
Sasa mtu size yake wa buku ten, unakuwa. na mtu atakaye millions ukishindwa utamlaumu nani? Dr.Mo
 
Last edited by a moderator:
Is it! Worry not my Prince Charming I will put it near my mnara and it will do magic..yo network will be 4G throughout mountain climbing and I guarantee you that you will reach climax effortlessly

Oonh la la you are such a magnet!!!!!! then tuanzae kabla ya hiyo present for record purposes ili ikija tuone ufanisi umeongezeka kwa kiasi gani!!!!!! Promise me about the effortless thing babes!!!!
 
Wala wasichana wa kimarekani hawapo hivyo mkuu ni ushamba na kuiga.. Maisha ya kwenye tv ya akina kim.. Wakati wao wanaonesha ili wapate hela.. Wasichana wa kimarekani wanasoma na kufanya kazi kwa nguvu..ndo maana hata wakati mwingine ukizingua wanakuacha na wanalea watoto as single mom.. Hawaogopi maisha mkuu

upo sawa mkuu yan wahapa nikupenda vtu nje ya uwezo wap na kuigiza maisha hhaahah...mara bebi hv mara bebi vle mara movie mkitoka movie mnapanda daladala za tandka kurud home hahah wengi wao ndio wanaishia kumegwa na vibabu kwa tamaa yakutaka ufahari mjini km kabwana kako hakana uwezo vumilianae tu si ndio umemchagua... come-on bitches
 
Aaaaaanh hapo my dada ugaonekana sooo cheap ukiwa na.shida unapiga kabisa mie nikiwa ina mood ya kuchat we huna vocha!!!!!

Sasa utapewaje nyongeza gengeni bila kununua japo fungu moja!!!!!
Hebu jiongeze we tuma text ila akikutoa ndio mwambie hny ukiona duka plz nahitaji kununua vocha basi atatoa lock kwa simu yake na kukuambia hamisha kutoka humu!!!!!

Hakuna mwanaume anataka demu egemezi mpaka vochaa????!!!!!
wala haiko hvyo. Wajua zamani baba zetu walikuwa wanahudumia sana na babu zetu but siku hizi mnajifanya hamtaki mwanamke goli kipa bla bla kibao kumbe ni kukwepa majukumu na ndo maana matatizo yanazidi coz wanawake wana hustle kusaka maisha na hapo ndo wanakutana na vihawishi. Wakati zamani wanawake wanakaa home baba ndo anaenda kutafuta, vishawishi vilikuwa vichache na almost negligible kabisa.
 
mmoja kanitumia text mida ya saa moja leo asubuhi....eti "Bby leo cna hata vocha mwenzio"
 
wala haiko hvyo. Wajua zamani baba zetu walikuwa wanahudumia sana na babu zetu but siku hizi mnajifanya hamtaki mwanamke goli kipa bla bla kibao kumbe ni kukwepa majukumu na ndo maana matatizo yanazidi coz wanawake wana hustle kusaka maisha na hapo ndo wanakutana na vihawishi. Wakati zamani wanawake wanakaa home baba ndo anaenda kutafuta, vishawishi vilikuwa vichache na almost negligible kabisa.

Ha ha ha haaa speaking of zamani yeanh na wengi walikuwa bikra wake kwa waume!!!!!
You dig!!!!!???
 
wala haiko hvyo. Wajua zamani baba zetu walikuwa wanahudumia sana na babu zetu but siku hizi mnajifanya hamtaki mwanamke goli kipa bla bla kibao kumbe ni kukwepa majukumu na ndo maana matatizo yanazidi coz wanawake wana hustle kusaka maisha na hapo ndo wanakutana na vihawishi. Wakati zamani wanawake wanakaa home baba ndo anaenda kutafuta, vishawishi vilikuwa vichache na almost negligible kabisa.
tatizo dis time utamchukua golikipa na kumweka ndani matokeo yake fungu unalomwachia anaanza kuhonga serengeti boy,hawa viumbe hawabebeki.
 
Back
Top Bottom