TATIANA
JF-Expert Member
- Dec 8, 2010
- 4,695
- 2,449
saivi full caramel ehh...sie bado tupogo...hahaha..
Hahahaaaaa... utafika tu mdogomdogo ndio mwendo
saivi full caramel ehh...sie bado tupogo...hahaha..
mhhhh hivi kula popcorn,kwenda movie,swimming na kula marrybrown ni anasa jamani??...hadi uje useme mmu nyie wanaume,kwani nyie hamuendagi..?
Umeamua unitangaze?
kwani ile programu ya kuwarudisha makwao wahamiaji haramu imeishia wapi??????"Babe unaweza kuniletea popcorn...babe I want to ,go movie kesho...babe on saturday I need to go swimming...babe in the evening
lets go Marrybrown..."heeeee
Mungu wee hawa wasichana wa Kimarekani waliokosea njia wakazaliwa bongo fanya mpango wote wapate viza wakaishi Marekani utuondolee usumbufu.
hayaaaa! kumekucha