Babe unaweza kuniletea popcorn

Babe unaweza kuniletea popcorn

Oooh darling.. I know you care about me a lot. A 22C gold necklace won't be that bad. Thanks so much

Yeah swts except with its effect on network searching during mountain climbing before reaching climax!!!!!!
Before this finding Gold used to be my favourable for ladies gift!!!
 
He he, utanilipa nini?

Sawa nitafanya, venue nitakonfemu in private.

Halafu unanitonya mi natokea kama bahati mbaya then unajidai unapokea simu ukija huko mbio unaaga as if kuna "situation" inakuhitaji ila utarudi ASAP my dada ok???!!!!!

Unakuwa ndo ushaniweka kakio!!!
 
Ha ha ha, hawajui mapenzi kwa kizungu ni matamu zaidi?

Ni kama nikiagiza 'lemon Ice tea', ni tamu kuliko kusema chai ya baridi ya ndimu.

hizi kasumba hizi!!! unajua kweli nilikuwa nakademu nikikaita 'mrembo' kanachukia balaa! eti anataka nimute 'cutee' au pretty!!! nikimwambia barafu wangu wa moyo ni ugomvi,anasema it sounds awkward anataka nimuite sweetheart!!!!
 
Kwani hajabatizwa????!!!!
Mtwange jina lake tu kwa mujibu wa vyeti vyake!!!!!

Nini kutoana jasho la kwapa bila.sababu?????%%%%%
 
Ha ha ha, hawajui mapenzi kwa kizungu ni matamu zaidi?

Ni kama nikiagiza 'lemon Ice tea', ni tamu kuliko kusema chai ya baridi ya ndimu.
Ahaaahhahhha hawajui wenzao kiinglish kilitupa uhakika wa barua nying kutoka kwa mabebs!
 
Tutavaa mabox kichwani, hamna kutizamana usoni, only voices.

Umenichekesha, smuggling must be ur talent, hadi kwenye movie?
Kuna ka kofi shopu pale sii klif, kanauza kofi tamu sana.

Hehehe tutavaa sungoggles ili tusionane ama? Mi huwa i smuggle my coffee in my handbag so usizimie ukiona natoa kitermosi changu na kuanza kujichana
 
Back
Top Bottom