CHIEF MP
JF-Expert Member
- Jul 6, 2011
- 1,559
- 680
Sasa kama mwanaume atashindwa vitu vidogo hivyo, ni kipi anachoweza tena?
Bora kulalamika bidada anataka kubadilishiwa gari kila mara au mizinga ileeeeeee mikubwaaaaa.
Kiuchumi girls hasara sana, mnavalue zaid luxurious things other than necessary ones!!!
Kuweni na kiasi, kheeee!!!""