Babe unaweza kuniletea popcorn

Babe unaweza kuniletea popcorn

unajua wanatuona mizigo sana tukiwa nao, ila wana-play verry cool wakati wanakufata. I hate it. Unataka tuchat, ila vocha nijitegemee o nichukue kwa mama, inahusuu
Aaaaaanh hapo my dada ugaonekana sooo cheap ukiwa na.shida unapiga kabisa mie nikiwa ina mood ya kuchat we huna vocha!!!!!

Sasa utapewaje nyongeza gengeni bila kununua japo fungu moja!!!!!
Hebu jiongeze we tuma text ila akikutoa ndio mwambie hny ukiona duka plz nahitaji kununua vocha basi atatoa lock kwa simu yake na kukuambia hamisha kutoka humu!!!!!

Hakuna mwanaume anataka demu egemezi mpaka vochaa????!!!!!
 
Yeah swts except with its effect on network searching during mountain climbing before reaching climax!!!!!!
Before this finding Gold used to be my favourable for ladies gift!!!

Is it! Worry not my Prince Charming I will put it near my mnara and it will do magic..yo network will be 4G throughout mountain climbing and I guarantee you that you will reach climax effortlessly
 
Aaaaaanh hapo my dada ugaonekana sooo cheap ukiwa na.shida unapiga kabisa mie nikiwa ina mood ya kuchat we huna vocha!!!!!

Sasa utapewaje nyongeza gengeni bila kununua japo fungu moja!!!!!
Hebu jiongeze we tuma text ila akikutoa ndio mwambie hny ukiona duka plz nahitaji kununua vocha basi atatoa lock kwa simu yake na kukuambia hamisha kutoka humu!!!!!

Hakuna mwanaume anataka demu egemezi mpaka vochaa????!!!!!

Hahahaaahaaa...lol umenikumbusha mbali Sana...
 
Miss u guys sana. Siku hizi hapa pamekuwa kama 'mahame', nakuwa alone tu.

Wakubwa wanapita mara chache chache, mradi shida tu. Howa yuu lakini?

Konnie na King'asti nilimiss hizi bhange tukikutana thread moja

Hapa siiiina mbavu kha!
 
Last edited by a moderator:
Miss u guys sana. Siku hizi hapa pamekuwa kama 'mahame', nakuwa alone tu.

Wakubwa wanapita mara chache chache, mradi shida tu. Howa yuu lakini?
mweeee hadi ninejiskia kulia Konnie
Promithi you nitakuwa naingia huku kwa ajili yako tu
Huyu bhange mwingine hanipi shida nshamvalia sangoogles tayar.
Uwage unanisitua.
Will come.
Jus for u,and zombie ofukozi!
 
Back
Top Bottom