king mario
Member
- Mar 15, 2014
- 76
- 9
Kwahiyo ukiwa na mpenzi wako utamchukulia kama work mate au? Hata kama ubahiri siyo huo bana.
Mpelekee mrembo popcorn acheck movie amalizie long weekend hii.
Vitu vidogo vidogo kama hivyo vinataka mtu ambae teyali ameshajikwamua kimaisha na sio yule ambae anatafuta njia ya kujikwamua! Mtu mwenye malengo razima atajitoa ktk mahusiano taraatibu, kuna faida gani ya kula popcorn,ice cream, kuchek movie alafu mkimaliza mnapanga foleni kugombania dala dala! So sio kama hatupendi ila sio muda mwafaka