Baadhi ya wanawake wa maofisini ni mtihani

Baadhi ya wanawake wa maofisini ni mtihani

Mi nimeachana nae mkuu mume wake mbabe balaa anaweza kunila bastola dadekii😂😂
Ofisini ngumu kufumaniwa, ila kama na mtaani ulikuwa wamla ndio shida. Ila kama ofisini tu uwanja wako wa kujidai..
 
Ndoa mnazikandia sana lkn niwaambieni tu ukweli wengi walio kwenye ndoa zinazokosa uaminifu hawakuoa watu sahihi kwajili Yao km unaoa mke kw kuangalia tako lazima ufeli tu. Vtabu vyote vya dini vimekukusisitza sifa kuu ya mwanamke kuolewa ni khofu yake kwa muumba wake
 
Baadhi sio wote, wanapokuwa ofisini wanajifanya hawana wapenzi au wapo kwenye mapenzi yanayopumulia machine, kana kwamba wanahitaji faraja.

Ofisini hapa Kuna dada nilimkuta, najua ana mpenzi wake na kutwa wana postiana status, nika test kumtania/kimasihara ili ku prove anachosema Xi Jinping ghafla anasema yupo single na wiki lote limekuwa heka heka ofisini, mie kawaida natoka ofisini usiku nae anakaa hadi usiku ili mradi anile kichwa.

Jamani huku ofisini Hali mbaya Kuna ngono na mapenzi ya ajabu ajabu sana.

Sasa sijui tuombea Mungu kabla hatujatoka labda mtu anakuwa na hofu , au kuwe na vipimo vya ukaguzi kama mtu kafanya madudu mda mfupi uliopita, maana Hali ni mbaya inatisha


NYIE WANAWAKE HUWA HAMPENDANI KABISA.
 
Wanagongeka ile mbaya,japo Mimi sijawahi kupata, wafanyakazi wakisafiri ni ngono tu
Ni hatari sana maofisini, Kuna uwezekano hata mimba za staff wenzao sana, alafu akirudi home ana mchomekea mwamba wake ... Mke akiwa ofisini kati watoto wengi huenda unakutwa mtu umepigwa mahala
 
Waacheni watu wangonoke kwa hivyo vitendea kazi wamepewa vya kazi gani?

Usipongonoka sasa utangonoka baadae baada ya kupigwa tukio.

Mkeo akipigwa tukio na wewe mpige tukio sahau maisha yaendelee.

Hakuna mtakatifu chini ya jua linapokuja suala la ngono.

Piga mashine jiachie wewe duniani tunapita na tunaishi mara moja tu.

Shauri yako wacha kufuatilia ya watu angalia mambk yako.
 
Back
Top Bottom