Baadhi ya wanawake wa maofisini ni mtihani

Baadhi sio wote, wanapokuwa ofisini wanajifanya hawana wapenzi au wapo kwenye mapenzi yanayopumulia machine, kana kwamba wanahitaji faraja.

Ofisini hapa Kuna dada nilimkuta, najua ana mpenzi wake na kutwa wana postiana status, nika test kumtania/kimasihara ili ku prove anachosema Xi Jinping ghafla anasema yupo single na wiki lote limekuwa heka heka ofisini, mie kawaida natoka ofisini usiku nae anakaa hadi usiku ili mradi anile kichwa.

Jamani huku ofisini Hali mbaya Kuna ngono na mapenzi ya ajabu ajabu sana.

Sasa sijui tuombea Mungu kabla hatujatoka labda mtu anakuwa na hofu , au kuwe na vipimo vya ukaguzi kama mtu kafanya madudu mda mfupi uliopita, maana Hali ni mbaya inatisha

Ukishaona ofisini watu wapo busy na mapenzi, jua tu hapo hakuna kazi;
Watu wapo wapo tu bora liende wanasubiri mwisho wa mwezi wakapokee mshahara na Mei mosi waka andamane kudai nyongeza ya mshahara wakati hakuna chenye tija walishofanya, SHAME!!!
 
Ukishaona ofisini watu wapo busy na mapenzi, jua tu hapo hakuna kazi;
Watu wapo wapo tu bora liende wanasubiri mwisho wa mwezi wakapokee mshahara na Mei mosi waka andamane kudai nyongeza ya mshahara wakati hakuna chenye tija walishofanya!!!
Hii ni private mkuu. Ofisini kimasihara nyingi sana . Wanawake wanatafuta uhuru na uo uhuru wanaupata maofisini
 
Baadhi sio wote, wanapokuwa ofisini wanajifanya hawana wapenzi au wapo kwenye mapenzi yanayopumulia machine, kana kwamba wanahitaji faraja.

Ofisini hapa Kuna dada nilimkuta, najua ana mpenzi wake na kutwa wana postiana status, nika test kumtania/kimasihara ili ku prove anachosema Xi Jinping ghafla anasema yupo single na wiki lote limekuwa heka heka ofisini, mie kawaida natoka ofisini usiku nae anakaa hadi usiku ili mradi anile kichwa.

Jamani huku ofisini Hali mbaya Kuna ngono na mapenzi ya ajabu ajabu sana.

Sasa sijui tuombea Mungu kabla hatujatoka labda mtu anakuwa na hofu , au kuwe na vipimo vya ukaguzi kama mtu kafanya madudu mda mfupi uliopita, maana Hali ni mbaya inatisha
baMtu
 
Private kabisa ambao ni "result oriented" ulete upuuzi upuuzi kama huo
labda kama ni zile private zinazolipa mshahara wa kuunga unga...hivyo hazina cha kupoteza
 
Demu wapeke yako ningum kumapata mkuu mahali popote. Mwanamke anakubali mtu yeyote hata akiwa katika mahusiano kwasababu mwanamke anahitaji ndoa na hana uhakika kama huyo aliyenaye atamuoa kwahiyo nilazima ahakikishe anakuwa nao kisha anagalie mwenye mwelekeo.
Na wakipata ndoa wanakuwa pasua kichwa.
 
Unakutana na mwanamke kwny daladala anakuangalia mpaka unahisi hauko salama,kumbe anahitaji japo umtamkie neno lolote au umsemeshe,
Ole wako umsemeshe unaitwa mume siku hiyo hiyo na kupewa majukumu.
Kodi itaisha
Nywele zitafumuka
Birthday itakuwa kesho yake
Gas itaisha
Ni nchi yenye majambazi warembo duniani
 
Baadhi sio wote, wanapokuwa ofisini wanajifanya hawana wapenzi au wapo kwenye mapenzi yanayopumulia machine, kana kwamba wanahitaji faraja.

Ofisini hapa Kuna dada nilimkuta, najua ana mpenzi wake na kutwa wana postiana status, nika test kumtania/kimasihara ili ku prove anachosema Xi Jinping ghafla anasema yupo single na wiki lote limekuwa heka heka ofisini, mie kawaida natoka ofisini usiku nae anakaa hadi usiku ili mradi anile kichwa.

Jamani huku ofisini Hali mbaya Kuna ngono na mapenzi ya ajabu ajabu sana.

Sasa sijui tuombea Mungu kabla hatujatoka labda mtu anakuwa na hofu , au kuwe na vipimo vya ukaguzi kama mtu kafanya madudu mda mfupi uliopita, maana Hali ni mbaya inatisha
Ndo nini ? Na siku nyingi sijaingia MMU , mambo yamebadirika sana.
 
Back
Top Bottom