Baadhi ya wanawake wa maofisini ni mtihani

Baadhi ya wanawake wa maofisini ni mtihani

Baadhi sio wote, wanapokuwa ofisini wanajifanya hawana wapenzi au wapo kwenye mapenzi yanayopumulia machine, kana kwamba wanahitaji faraja.

Ofisini hapa Kuna dada nilimkuta, najua ana mpenzi wake na kutwa wana postiana status, nika test kumtania/kimasihara ili ku prove anachosema Xi Jinping ghafla anasema yupo single na wiki lote limekuwa heka heka ofisini, mie kawaida natoka ofisini usiku nae anakaa hadi usiku ili mradi anile kichwa.

Jamani huku ofisini Hali mbaya Kuna ngono na mapenzi ya ajabu ajabu sana.

Sasa sijui tuombea Mungu kabla hatujatoka labda mtu anakuwa na hofu , au kuwe na vipimo vya ukaguzi kama mtu kafanya madudu mda mfupi uliopita, maana Hali ni mbaya inatisha
Mnaotaka kusaidiwa kazi mtasaidiwa vyote mkubali hilo
 
Kwa hivyo umemtest mwanamke mmoja tu wa ofisini kwako na ume coclude kuwa baadhi yao hawaaminiki? Mtu mmoja tu na umefikia conclusion hiyo! Oh dear dear!
 
Huko maofisini watu wanafanya NGONO sana ..kwenye vyoo vya ofisi...ofisi ndani kwenye vichumba, jikoni, lakin jikon sidhani mana kila mtu huingia ..ila pia kwenye magari usiku..parking , Wanatoka usiku wanaelekea parking kwenye gari either ya mwanaume ama ya mwanadada..na hii ni kuavoid kufumaniwa kwenye lodge nagesti bubu...kwaio wanamalizana kwenye magari usiku kwenye parking , wakishatombana , mwanaume Anatoka kama ni gari ya mdada anaingia kwenye gari yake anasepa na mwanamke anasepa na gari yake...and vice versa...
Taja ofisi tatu tu kama ni mfano ili tuamini unachosema, otherwise hii ni chai tu na furahisha baraza!
 
Taja ofisi tatu tu kama ni mfano ili tuamini unachosema, otherwise hii ni chai tu na furahisha baraza!
Hutaki unaacha. Vipi mbona umekuja fasta sana ..na wewe ni mdau nini wa kutomba wake za watu kwenye magari tinted in parking lot.
 
Demu wapeke yako ningum kumapata mkuu mahali popote. Mwanamke anakubali mtu yeyote hata akiwa katika mahusiano kwasababu mwanamke anahitaji ndoa na hana uhakika kama huyo aliyenaye atamuoa kwahiyo nilazima ahakikishe anakuwa nao kisha anagalie mwenye mwelekeo.
Hapo ndipo umalaya unapoanza akishazoea kutiwa na wanaume wengi hata akiolewa ataendelea pale alipoishia.

Hao waliokuwa wanamtomba kabla yako watapasha naye sana viporo
 
Mimi kuna huyo dada tulikuw tunafanya kaz office moja.hanaga shida kabisa anatusaidia sana hapa offsin na ananizidi cheo na mshahara pia
Nisiwe muongo hata Mimi nimewahi kuwamega wa3 huko makazini mwingine nilimuhonga karanga zilizo kaangwa na mke wangu tu Wala si nyingi nikamla na wote Wana ma baby zao
Waume zao walioa malaya shauri zao, nyinyi wala msijihisi hatia.

Kosa ni la hao wake za watu walitakiwa wao wenyewe ndio wakatae mitongozo yenu
 
Back
Top Bottom