Baadhi ya wanawake wa maofisini ni mtihani

Baadhi sio wote, wanapokuwa ofisini wanajifanya hawana wapenzi au wapo kwenye mapenzi yanayopumulia machine, kana kwamba wanahitaji faraja.

Ofisini hapa Kuna dada nilimkuta, najua ana mpenzi wake na kutwa wana postiana status, nika test kumtania/kimasihara ili ku prove anachosema Xi Jinping ghafla anasema yupo single na wiki lote limekuwa heka heka ofisini, mie kawaida natoka ofisini usiku nae anakaa hadi usiku ili mradi anile kichwa.

Jamani huku ofisini Hali mbaya Kuna ngono na mapenzi ya ajabu ajabu sana.

Sasa sijui tuombea Mungu kabla hatujatoka labda mtu anakuwa na hofu , au kuwe na vipimo vya ukaguzi kama mtu kafanya madudu mda mfupi uliopita, maana Hali ni mbaya inatisha
Okoka na umpende Yesu.
 
Vipi DR SANTOS kuna ukweli wowote huko kwenu?

20250619_064548.jpg
​
 
Asante kwa ushuhuda mkuu, ukweli ni kwamba wake za watu wanamegwa sana huko maofisini. ​
Wale warembo. Nashuhudia mdada, na mke wa mtu Hana shape hakuna mwenye habari naye. Warembo watoto wa 2000 Hadi wa umri wa 38 ni kuninywa tu.
 
Baadhi sio wote, wanapokuwa ofisini wanajifanya hawana wapenzi au wapo kwenye mapenzi yanayopumulia machine, kana kwamba wanahitaji faraja.

Ofisini hapa Kuna dada nilimkuta, najua ana mpenzi wake na kutwa wana postiana status, nika test kumtania/kimasihara ili ku prove anachosema Xi Jinping ghafla anasema yupo single na wiki lote limekuwa heka heka ofisini, mie kawaida natoka ofisini usiku nae anakaa hadi usiku ili mradi anile kichwa.

Jamani huku ofisini Hali mbaya Kuna ngono na mapenzi ya ajabu ajabu sana.

Sasa sijui tuombea Mungu kabla hatujatoka labda mtu anakuwa na hofu , au kuwe na vipimo vya ukaguzi kama mtu kafanya madudu mda mfupi uliopita, maana Hali ni mbaya inatisha
Kama ana kidhi vigezo ww tafuna tu haya mambo hayanaga fomula
 
Mke ya mutu yenye kati ya 36-40 ananitega sana, mara aninunulie bia,mara kiti ya moto, mara mbuzi...cha ajabu Sina matamanio naye hata kiduchu
 
Wale warembo. Nashuhudia mdada, na mke wa mtu Hana shape hakuna mwenye habari naye. Warembo watoto wa 2000 Hadi wa umri wa 38 ni kuninywa tu.
Hakuna namna ni kuminywa tu kuna wakati wao wenyewe wake za watu wanataka, utafanyeje sasa!​
 
Baadhi sio wote, wanapokuwa ofisini wanajifanya hawana wapenzi au wapo kwenye mapenzi yanayopumulia machine, kana kwamba wanahitaji faraja.

Ofisini hapa Kuna dada nilimkuta, najua ana mpenzi wake na kutwa wana postiana status, nika test kumtania/kimasihara ili ku prove anachosema Xi Jinping ghafla anasema yupo single na wiki lote limekuwa heka heka ofisini, mie kawaida natoka ofisini usiku nae anakaa hadi usiku ili mradi anile kichwa.

Jamani huku ofisini Hali mbaya Kuna ngono na mapenzi ya ajabu ajabu sana.

Sasa sijui tuombea Mungu kabla hatujatoka labda mtu anakuwa na hofu , au kuwe na vipimo vya ukaguzi kama mtu kafanya madudu mda mfupi uliopita, maana Hali ni mbaya inatisha
Niliwahi kumla mke wa mtu hivo hivo ofsini.Japo nishaachana nae ila siwez kusahau namna tulivyoanza.
 
Wake za watu wanawakataa sana waume zao huko makazini, wanajifanya wako single au hawafurahii ndoa zao ili waliwe​
😅😅😅 Wanatupa sanaa wana wao.. wanakuwa wamoto, hii Karne kuona ni mtihani sana
 
Acha kabisa.Nimeajiriwa namkuta tukazoeana akaanza kumpomda mume wake yaan inshort nilimla bila kutongoza😂😂
😅😅 Hawatongozwi, mie mwenye huyu nilianzia mshika mshika shingo hata agomi.. badae akawa kasimama nika mkumbatia ili kumla mate, hata agomi
 
Ukila mzigo ukaendelea na mambo yako utapungukiwa nini???!! Sio kila kitu kuja ku post hapa JF, be a grown man
 
Back
Top Bottom