Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana kwasababu ana uthubutu kuliko hata JPM!

Katika uchambuzi wa Mayalla Alisema kijana mwenye Kariba ya uongozi Bora na uthubutu ni Makonda maana alimchambua kwa kina na kusema unamtabilia Makubwa siku za usoni
Rais Wa wafungwa?Tunasubiri shauri lake lisikilizwe kwanza,lakini anafaa kama atagombea akishahukumiwa.
Ila Mayalla naye kajichokea,hoja zake zimekuwa nyepesi sana.Eti Makonda nini?
 
Katika uchambuzi wa Mayalla Alisema kijana mwenye Kariba ya uongozi Bora na uthubutu ni Makonda maana alimchambua kwa kina na kusema unamtabilia Makubwa siku za usoni

Je leo atakuwa na maoni sawa na hayo?. Makonda alikuwa na nafasi ya kuwa kiongozi mzuri akaichezea baada ya kuruhusu kiburi na dharau kwa wengine.
 
Waganga wanaweza wakakuaminisha vibaya ukavimba kichwa. Mganga ni mfanyabiashara Katu hawezi pingana na hitaji lako, na hakuna dawa asiyokosa mganga, hata ukimwambia nataka kuwa Mzungu atakwambia dawa ipo.
 
Back
Top Bottom