Baada ya kutoka jela Mwamba Freeman Mbowe kuongea na vyombo vya habari vya ndani na nje ya nchi Jumamosi hii

Unachafua sana hilo jina unalotumia, usidhihaki watumishi wa Mungu. Hilojina haliendani hatakidogo na kariba yako humu jukwaani.
Ki-busara ungeweza tumia 'johnthedictator' au johnthejiwe au hats johnthefearful
Jina hufikisha ujumbe. Nadhani kwa jina lake hill ujumbe unaupata ndio maana ukalidadisi jina. Hivi ni sahihi kwa Mh. Msigwa kutumia cheo "Mchungaji"?
 
Haku

Hakuna cha kudadisi jina lipo wazi mfano we unajiita 'mtamu' sijajua unaliwa au vp...(no disrespect)
Mchungaji anapigania haki za watu na amesomea sasa sijui ulitaka aitwaje
 
Mwalimu hajasema majority. Amesema nanukuu, "Sijaona slip ya 50,000/=, nimeona za 1000, 700 na 500". Mwisho wa kunukuu. Wewe ni nyumbu tu. Wadanganye nyumbu wenzako. Kama vipi weka slip yako ya milioni 15 unishushue kama una ubavu!
huna hoja
 
Wewe ndio huna hoja. Tena UKOME kuleta hoja nyepesi humu ukifikiri wote tuliomo humu ni nyumbu na tuna uwezo mdogo wa kufikiri. Acha kabisa!!!!
 
Mimi aliniacha hoi Mbowe(Mandela wa Tanzania wasemavyo wafuasi wake) alipoisaidia CCM ishinde 2015 ile gia iliyobadilishwa angani ilikua yakuisaidia CCM iliyokua taabani. Mtu mmoja tu Mnyika alinishangaza kwakuling'amua hilo na kuamua kutojichafua kizembe. Nikawaza kumbe Mnyika anaupeo mkubwa chama chote peke yake.
Sijui 2020 Mbowe atakuja na msaada gani kwa CCM nasubiri tu kuona maigizo yasafari hii.
Kwangu mimi wanasiasa maslahi huwa sihangaiki nao. Wakati Watu wanahangaika na Mrema nilikaa pembeni nawaonea huruma, wakahangaika na Slaa nikakaa pembeni nawaangalia, sasa wako na Mbowe niko pembeni nawaangalia.
Kifupi Mbowe ni Mrema aliyechangamka, unaweza ukaja kuelewa Hili baada ya miaka hata kumi kutegemea na uzito wa akili yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha kuwa unasema ukweli, utawajanjalua na mafala
 
Back
Top Bottom