Baada ya kutoka jela Mwamba Freeman Mbowe kuongea na vyombo vya habari vya ndani na nje ya nchi Jumamosi hii

amenyolewa upara, na mbowe alivuliwa nguo uchi wa mnyama mbele ya wafungwa 300 na kunya kwenye ndoo ya bati hatari sana
Naona kuna funzo hapo, au hulioni?

Hata wananchi wataanza kuona ni kawaida tu kwenda jela na kufanyiwa yote hayo na wanatoka huko wakiwa imara zaidi.
Ulilifikiria hilo?
 
Video
 
Attachments

  • Freeman Mbowe alivyopokelewa baada ya kutoka gerezani Segerea - MwananchiUpdates ( 480 X 480 ).mp4
    5 MB
Achunge tu kauli zake. Hawa hawajajipanga. Kila mtu anaongea, heche anaongea, halima anaongea, msigwa anaongea, mwalimu anaongea na mbowe anaongea.
Walikuwa na kiherehere gani? Kwa nini wasingesubiri watoke wote kisha waitishe press conference ya pamoja.?
Inaonyesha jinsi walivyokuwa wakurupukaji. Sasa mbowe ataongea nini maana hakuna jipya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulisema umechangia milioni kumi wakati Salum Mwalimu kasema umechangia jero! Ahahahahah! Kuwa nyumbu raga sana kwa wajinga!
Mimi nimechangia mil 15 , wala siyo 10 kama unavyodai , huyo Salum kazungumzia majority , sisi matajiri wachache tumemwaga hela za kutosha , mwenzangu Nyalandu kaweka nyaraka hadharani ya mil 7 , hiyo nayo hujaona ?

Halafu unatakiwa kuelewa kwamba jambo hili tumeamua kuhusisha umma kwa malengo maalum , vinginevyo mimi binafsi ninao uwezo wa kulipa mil 350 bila hata kutetereka kibiashara
 
Achunge tu kauli zake. Hawa hawajajipanga. Kila mtu anaongea, heche anaongea, halima anaongea, msigwa anaongea, mwalimu anaongea na mbowe anaongea.
Walikuwa na kiherehere gani? Kwa nini wasingesubiri watoke wote kisha waitishe press conference ya pamoja.?
Inaonyesha jinsi walivyokuwa wakurupukaji. Sasa mbowe ataongea nini maana hakuna jipya.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe kapuku endelea kutumikishwa , achana na chadema
 
Achunge tu kauli zake. Hawa hawajajipanga. Kila mtu anaongea, heche anaongea, halima anaongea, msigwa anaongea, mwalimu anaongea na mbowe anaongea.
Walikuwa na kiherehere gani? Kwa nini wasingesubiri watoke wote kisha waitishe press conference ya pamoja.?
Inaonyesha jinsi walivyokuwa wakurupukaji. Sasa mbowe ataongea nini maana hakuna jipya.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama wabunge wa cm wanavo kurupuka kwa kuitikia ndio bunge waulizwe Leo na spika korona ije Tanzania ww watajibu ndio ???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nimechangia mil 15 , wala siyo 10 kama unavyodai , huyo Salum kazungumzia majority , sisi matajiri wachache tumemwaga hela za kutosha , mwenzangu Nyalandu kaweka nyaraka hadharani ya mil 7 , hiyo nayo hujaona ?

Halafu unatakiwa kuelewa kwamba jambo hili tumeamua kuhusisha umma kwa malengo maalum , vinginevyo mimi binafsi ninao uwezo wa kulipa mil 350 bila hata kutetereka kibiashara
Mwalimu hajasema majority. Amesema nanukuu, "Sijaona slip ya 50,000/=, nimeona za 1000, 700 na 500". Mwisho wa kunukuu. Wewe ni nyumbu tu. Wadanganye nyumbu wenzako. Kama vipi weka slip yako ya milioni 15 unishushue kama una ubavu!
 
Hakuna jipya......kesi imeisha sasa imarisheni chama!
Unachafua sana hilo jina unalotumia, usidhihaki watumishi wa Mungu. Hilojina haliendani hatakidogo na kariba yako humu jukwaani.
Ki-busara ungeweza tumia 'johnthedictator' au johnthejiwe au hats johnthefearful
 
Back
Top Bottom