Baada ya kutoka jela Mwamba Freeman Mbowe kuongea na vyombo vya habari vya ndani na nje ya nchi Jumamosi hii

Kila anaetoka Segerea anatangaza kufa press conference! Wameanza wakina mdee hatujui ata waliongea nn mwisho wa siku

Utajuaje ikiwa unataka waongee kuhusu yale unayotaka?! We tulia hivyo hivyo, acha watu wafanye yao.
 
amenyolewa upara, na mbowe alivuliwa nguo uchi wa mnyama mbele ya wafungwa 300 na kunya kwenye ndoo ya bati hatari sana
 
Amina
Kwamba,bado uko imara, tunamshukuru Mungu kwa hadhina hii ya viongozi wa upinzani ambao pamoja navitisho Vya kimahakama, dola na hats vifo bado wapi imara kututetea na kuitetea demokrasia yetu. We Mungu wabariki viongozi wetu

In God we Trust
 
Kwani kulima ni kituko? Unataka kutwambia kuwa wakulima hawana hadhi yoyote mbele ya wana ccm kama wewe? Mbona umeamua kujidhalilisha hivyo wewe mjaa laana?
Nafikiri naye atatuambie jinsi alivyokuwa analima huko gerezani kama ambavyo alivyotueleza Mh. Heche. Ngoja tusubiri movie nyingine ya wanachadema.

In God we Trust
 
View attachment 1387272
View attachment 1387273

Ataongea kuanzia saa 8 mchana Makao Makuu ya Chadema , Kinondoni Mtaa wa Ufipa .

Wote Mnakaribishwa

Pamoja na mengi atakayoongea, ahakikishe anasisitiza kuwa ujumbe mkubwa kwa kila mwananchi iwe ni tume huru ya uchaguzi. Ahimize kuwa kuanzia sasa wananchi wote wapaze uhitaji bwana tume huru ya uchaguzi. Kelele ya tume huru uchaguzi iwe vijiweni, kwenye vyombo vya usafiri, kwenye mikusanyiko nk. Cdm hawana haja ya kuogopa chochote maana wanamtaji wa kutosha wa watu.
 
Back
Top Bottom