Kifurukutu
JF-Expert Member
- Aug 29, 2013
- 4,502
- 6,403
Dr. Hassan Abbas, Dr. Kijazi(wa Tanapa na naibu katibu mkuu maliasili) wana kofia moja.mheshimiwa Rais alishaweka utaratibu wake kwamba viongozi hawawezi kuvaa kofia mbili katika uongozi, hivyo Polepole si mwenezi tena
Wachenini kujikombaNa ikawe heri
Na wewe anzaWachenini kujikomba
Naona njaaa imeshakuingia hadi kwenye ubongo
Hahahahahahahahahaha ila wewe jamaaaBaada ya CCM kulawiti uchaguzi mkuu sasa wataanza kulawitiana wenyewe kwa wenyewe!
Mungu hajalala,yupo kazini!
Wachenini kujikomba
ππππNasikia shemeji yako alitemeshwa ubunge nyote mkaugua!
Wewe utaendelea kulalama hivi hivi tu hadi kiama ya mwili wako, badili mitazamo kijana,uchaguzi ushaisha leteni hoja zenye mashiko, sio haya maneno ya kukaliliBaada ya CCM kulawiti uchaguzi mkuu sasa wataanza kulawitiana wenyewe kwa wenyewe!
Mungu hajalala,yupo kazini!
πChoir masterPolepole huenda akachuka nafasi ya Dr. Mwakyembe katika baraza la mawaziri na kuwa waziri aliyekaribu na wasanii wa bongo fleva, ili apate nafasi nzuri ya kuzurura nao kwa ukaribu ili kuongeza juhudi za kusifu na kuabudu.
Sent from my Nokia 2.1 using JamiiForums mobile app
Kwa kuwa CCM hawajawahi kuwa na akili watampa!Makonda hawezi pewa iyo nafasi...