TheDreamer Thebeliever
JF-Expert Member
- Feb 26, 2018
- 2,490
- 3,593
Amia TBC
Mkuu vumilia tu,mbona sisi tulivumilia sana enzi tunaangalia itv tu filamu ni za kinaijeria maudhui ya maombi tu muda wotw wote kwani walikuwa hawajui kuwa kuna imani zingine??Napenda niwatakie mfungo mwema waislam wote kipindi hiki cha Ramadhani. Ningependa kuwaongelea hawa jamaa wa Azam Tv hasa sinema zetu.
Kipindi hiki cha corona na huu mwezi mtukufu Ramadhani mmekuwa too much filamu zenu zote ni za kidini mwanzo mwisho kana kwamba kila mteja wenu ni muislam jaribu kubalance mnakera.
Nilikataa kukiweka kwangu na hakitaingia hata bure
karibu Zuku Tv, kwa maana wewe ni mpenzi wa sinema zetu. 🙂Napenda niwatakie mfungo mwema waislam wote kipindi hiki cha Ramadhani. Ningependa kuwaongelea hawa jamaa wa Azam Tv hasa sinema zetu.
Kipindi hiki cha corona na huu mwezi mtukufu Ramadhani mmekuwa too much filamu zenu zote ni za kidini mwanzo mwisho kana kwamba kila mteja wenu ni muislam jaribu kubalance mnakera.
Mbona tv nyingine na michezo mingine na ving'amuzi vengine vinaonesha sana mambo ya kikristo tena toka enzi hizo hakuna hata azam waislamu walikaa kimya kwasababu hawakua na option nyengine.Kituo chenu kimeanza kuwa cha kidini
Angalieni tamthiria zenu mnavyoziweka
Ifike mahali ikiwa ni ya mlengo wa kidin mtuambie tuache kufuata hii channel. Inakera sana
Angalieni sinema zenu mnaweka kupromite uislamu angalieni sultan nayo
Ukweli mnakera sana.
Hayo huwezi kuyaona
ITV
Star tv
fungua cha kwako na wewe tangaza dini yakoKituo chenu kimeanza kuwa cha kidini
Angalieni tamthiria zenu mnavyoziweka
Ifike mahali ikiwa ni ya mlengo wa kidin mtuambie tuache kufuata hii channel. Inakera sana
Angalieni sinema zenu mnaweka kupromite uislamu angalieni sultan nayo
Ukweli mnakera sana.
Hayo huwezi kuyaona
ITV
Star tv
Nyani haoni kundule mkuu!Haya mambo yasikuumize kichwa. Tuvumiliane. Mimi pia nilipanda Dar express na mlangoni imeandikwa kila goti litapigwa na ndani ilikua na kwaya na kuna wakristo walifurahia na mimi nilivumilia
Sent using Jamii Forums mobile app
Hujaelewa hoja wala kinachoongelewa bora ubakie kuwa msoma commentsMkuu vumilia tu,mbona sisi tulivumilia sana enzi tunaangalia itv tu filamu ni za kinaijeria maudhui ya maombi tu muda wotw wote kwani walikuwa hawajui kuwa kuna imani zingine??
Sent using Jamii Forums mobile app
Nani kakwamboa ninia azam tv pekee?Kuna Dstv
Kuna startimes
Kuna continental
Sio lazima utumie Azam decoder
Balance shobo
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeishia kucheka hujui lolote bora ungekaa kimya tu ingekusaidiaWee angalia tu tamthilia hizo hizo, shida iko wapi! Mbona hata vingamuzi vingine tunakomaa tu na tamthilia full ukristo, na hakuna anayelalamika. Ushawahi ona Muislam analalamikia DSTV au ving'amuzi vingine au channel yoyote kuonesha tamthilia zenye maudhui ya dini za kikristo? Na ndio zilizoenea kuliko za kiislam. Mimi nakushauri ujikaze tu, au kimya kimya pambana na hali yako( hamia mtaa wa pili) lkn kulalamika hakutakusaidia chochote.
Shida ni kwamba tumezoea kuona hizo zenye maudhui ya kikristo sasa hizi nyingine zinatusumbua.
Hii pia imejengeka hata katika ofisi za umma au zozote, taasisi ikiongozwa na muislam hata wakiwepo waislam wachache na wakristo wengi wapo, lazima wakristo watalalamika wanasahau ofisi karibu asilimia tisini wamejaa wao tu, akili yako inakataa kuona mabadiliko, cha msingi kubaliana pia na vitu vingine, kubali akili iingize kitu kipya ndugu, sio kila siku kwaya na movie zinazoishia na maombi tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
TANZANIA kuna vingamuzi sita. Wewe nunua Ting au continental kama dini yako ni ya kiasili otherwise funga DStv uangalie mpira. Azam wako vile wakitegemea wateja wao ndio wanachokipenda.Napenda niwatakie mfungo mwema waislam wote kipindi hiki cha Ramadhani. Ningependa kuwaongelea hawa jamaa wa Azam Tv hasa sinema zetu.
Kipindi hiki cha corona na huu mwezi mtukufu Ramadhani mmekuwa too much filamu zenu zote ni za kidini mwanzo mwisho kana kwamba kila mteja wenu ni muislam jaribu kubalance.
Mnakera.
Kama una kingg'amuzi zaidi ya kimoja tatizo lako liko wapi? Pengine hawa jamaa wamefanya survey na kukuta wateja wao wa ukanda wote wa pwani ya afrika mashariki kipindi hiki wanapenda programs ambazo zinarushwa hewani??Wewe nani aliyekuambia nina kig'amuzi kimoja?
swali langu wakikosea hawatakiwi kuambiwa ila nikimbilie kuwa kig'amuzi kingine? na kuna watu bado nashangaa uwezo wao wa kufikiri mtu anakwambia mbona kuna Emanuel tv sijui tumaini tv wanashindwa kuelewa zile ni za kidini nika zilivyo zbc na zinginezo , ambapo chanel ya sinema zetu sio ya kidini, hata hizo za kidini zikianza kuonyesha mambo ya kidunia bado tutahoji.
Mbona kabadili kitambo sana baada ya kumuoa yule Mngazija!!Hata clouds nao hivyohivyo nahisi kusaga kabadili dini kweli