Azam TV sio kila mteja wenu ni islamic

Azam TV sio kila mteja wenu ni islamic

kwa hiyo hawa azam hawatakiwi kuambiwa ukweli jiulize huwezi kuwezi kusikia zbc analalamikiwa au tumaini tv analalamikiwa sasa hawa kugeuza chanel isiyo ya kidini kuanza kuonyesha mambo ya kidini ni sawa, jibu kwa facts sio mihemuko
Ukweli upi? Mimi nilikuwa huko na nimeona haikidhi matakwa yangu nimehamia DSTV.
 
Ukweli upi? Mimi nilikuwa huko na nimeona haikidhi matakwa yangu nimehamia DSTV.
Wewe nani aliyekuambia nina kig'amuzi kimoja?
swali langu wakikosea hawatakiwi kuambiwa ila nikimbilie kuwa kig'amuzi kingine? na kuna watu bado nashangaa uwezo wao wa kufikiri mtu anakwambia mbona kuna Emanuel tv sijui tumaini tv wanashindwa kuelewa zile ni za kidini nika zilivyo zbc na zinginezo , ambapo chanel ya sinema zetu sio ya kidini, hata hizo za kidini zikianza kuonyesha mambo ya kidunia bado tutahoji.
 
Napenda niwatakie mfungo mwema waislam wote kipindi hiki cha Ramadhani. Ningependa kuwaongelea hawa jamaa wa Azam Tv hasa sinema zetu.

Kipindi hiki cha corona na huu mwezi mtukufu Ramadhani mmekuwa too much filamu zenu zote ni za kidini mwanzo mwisho kana kwamba kila mteja wenu ni muislam jaribu kubalance mnakera.
Binafsi nilikuwa nakereka kimyakimya ila kikiisha kifurushi ntaendelea na channel za bure hadi huo mwezi wao uishe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Napenda niwatakie mfungo mwema waislam wote kipindi hiki cha Ramadhani. Ningependa kuwaongelea hawa jamaa wa Azam Tv hasa sinema zetu.

Kipindi hiki cha corona na huu mwezi mtukufu Ramadhani mmekuwa too much filamu zenu zote ni za kidini mwanzo mwisho kana kwamba kila mteja wenu ni muislam jaribu kubalance mnakera.

UKWELI AZAM MNABOA SANA YAANI HII SIO CHANNEL YA KIISLAMU LABDA TCRA WATUAMBIE KWAMBA AZAM NI CHANNEL YA KIISLAM.
Angalia sultan
Angalia tamthiria

Mnao rusha mnaharibu bland
Mnatukera sana
 
Kituo chenu kimeanza kuwa cha kidini
Angalieni tamthiria zenu mnavyoziweka
Ifike mahali ikiwa ni ya mlengo wa kidin mtuambie tuache kufuata hii channel. Inakera sana
Angalieni sinema zenu mnaweka kupromite uislamu angalieni sultan nayo
Ukweli mnakera sana.
Hayo huwezi kuyaona
ITV
Star tv
 
Ila wametuwekea walau Upendo Tv ya Walutheri. Inatufariji kwa kiasi. Zaidi ya hapo, wengi tumenunua king'amuzi chao kwa ajili ya michezo ya Ligi Kuu Bara.
 
Sasa kwa huu mwezi umeshindwa kuvumilia....
Watu wapo wanapanga ratiba za futari

Ww unaponda wenye futari..

Itakua haujawai enda kula futari ww
 
Kituo chenu kimeanza kuwa cha kidini
Angalieni tamthiria zenu mnavyoziweka
Ifike mahali ikiwa ni ya mlengo wa kidin mtuambie tuache kufuata hii channel. Inakera sana
Angalieni sinema zenu mnaweka kupromite uislamu angalieni sultan nayo
Ukweli mnakera sana.
Hayo huwezi kuyaona
ITV
Star tv
Wengine wanaweza wakasema hizo ulizozitaja zina-promote ukristo....
 
Kituo chenu kimeanza kuwa cha kidini
Angalieni tamthiria zenu mnavyoziweka
Ifike mahali ikiwa ni ya mlengo wa kidin mtuambie tuache kufuata hii channel. Inakera sana
Angalieni sinema zenu mnaweka kupromite uislamu angalieni sultan nayo
Ukweli mnakera sana.
Hayo huwezi kuyaona
ITV
Star tv
Acha chokochoko, mbona uwa hulalamiki zile tamthilia za South America zilizojaa ukatoliki na mapadri ambazo uwa zinarushwa sana sehemu nyingine bila kusahau zile za Kifilipino
 
Back
Top Bottom