Azam TV sio kila mteja wenu ni islamic

Azam TV sio kila mteja wenu ni islamic

SABC=TBC, Azam is purely private driven by propriators' interests. Unapoangalia Azam TV usishangae kuona maslahi ya mmiliki ndio yanaongoza, hakuna cha ajabu.

Binafsi Azam TV nalipia kisimbuzi chao kwa sababu ya VPL pekee, siku TFF wakiwapora Azam haki ya kurusha VPL, soko lao litashuka kwa 50%. Kwa kuwa VPL imesimama na Bundesliga inaanza mwezi ujao, nitahamia Star Times na nitaacha kulipia kisimbuzi cha Azam hadi hapo VPL itapoanza.

Vv

Sent using Jamii Forums mobile app
Hama kabisa wala usirudi alafu uone kama atafilisika
 
Hili ndio tatizo la umaskini wa mawazo,na akili ndogo,baada ya AZam kuanza,sie wadau tulitaka iwe tv station inayoenda zaidi ya mipaka ya dini(za wamiriki),tulitaka iwe channel ya Kitaifa,kimataifa kwa kuwa na viwango kama citizen kenya,SABC ya south Africa,sasa hii mambo ya kutuwekea mamuvi ya kidini,kihindi,inakuwa too much,

Hata ukipanda boat za azam za kwenda Zenj,matangazo mengi yamekaa kidini dini tu,inatakiwa iwe secural,sio kuwa biased na uislam,kama ni chanel ya taasisi ya kidini,tuambieni,tuame

Sent using Jamii Forums mobile app
Si mtumie majahazi ndugu? Kwan mmelazimishwa kutumia usafiri wao??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio maana nimekuambia unachokiandika haukijui na kinanipa picha na uwezo wako wakufikiria sasa hayo yote ya kuangalia matusi yametoka wapi ? inamaana azam huwa wanaonesha matusi? rejea kwenye uzi nimeelezea vizuri kuhusu hayo mambo kama wanayofanya clouds.

Nimetoka kuangalia ratiba hapa nimeona vipindi vya Movie za Kibongo vipo
Family hawala, Mwaka wa tisa nk. Wewe unatakaje ??
Wenzako wanajaribu kubalance wamepunguza filam za kibongo na kuweka filamu za mafundisho ya Dini Katika Mwezi huu mtukufu wa waislamu ili kusudu waislamu wapate mafundisho ya Dini, Wewe umekuja kufungua uzi huku unalalama Azam sio kila mteja ni Muislam. Kwani Azam king'amuzi ina channels Ngapi Mzee ?? ITV ijumaa Kuna mawaidha sijawahi sikia Malalamiko Hata. Channel moja tuu wameuamua kutoa mafunzo ya dini Wewe ushakimbilia Jamiiforum na ndio kwanza chungu cha pili
Nani anaonekana hana Akili hapo?

Yani Katika quote yangu umeona neno matusi tuu hivi tunawezakuhold discussion kweli ??
Unasema rejea kwenye uzi umeeleza vizuri Sasa pale umeeleza kitu gani aya ya kwanza Salama tupu

Sometimes kirahisi uwe unaona u-positivity katika mambo sio kulalama
 
Huyu Ni mdini kindaki ndaki Sasa kaleta jf upuuzi wa kitu kidogo kukifanya kikubwa Cha kidini
 
Hili ndio tatizo la umaskini wa mawazo,na akili ndogo,baada ya AZam kuanza,sie wadau tulitaka iwe tv station inayoenda zaidi ya mipaka ya dini(za wamiriki),tulitaka iwe channel ya Kitaifa,kimataifa kwa kuwa na viwango kama citizen kenya,SABC ya south Africa,sasa hii mambo ya kutuwekea mamuvi ya kidini,kihindi,inakuwa too much,

Hata ukipanda boat za azam za kwenda Zenj,matangazo mengi yamekaa kidini dini tu,inatakiwa iwe secural,sio kuwa biased na uislam,kama ni chanel ya taasisi ya kidini,tuambieni,tuame

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kwani azam ni tv station au king'amuzi? Mbona kama unalinganisha tv station na kisimbuzi?
 
Napenda niwatakie mfungo mwema waislam wote kipindi hiki cha Ramadhani. Ningependa kuwaongelea hawa jamaa wa Azam Tv hasa sinema zetu.

Kipindi hiki cha corona na huu mwezi mtukufu Ramadhani mmekuwa too much filamu zenu zote ni za kidini mwanzo mwisho kana kwamba kila mteja wenu ni muislam jaribu kubalance mnakera.

Cha ajabu zaidi huwezi kuwaona wakiweka filamu za kikristo mwezi wa quaresma. Hapo ndo utajua kua Azam media/Sinema zetu iko kwa ajili ya special audience na sio wewe.
 
Napenda niwatakie mfungo mwema waislam wote kipindi hiki cha Ramadhani. Ningependa kuwaongelea hawa jamaa wa Azam Tv hasa sinema zetu.

Kipindi hiki cha corona na huu mwezi mtukufu Ramadhani mmekuwa too much filamu zenu zote ni za kidini mwanzo mwisho kana kwamba kila mteja wenu ni muislam jaribu kubalance mnakera.
Kaka acha gubu kuna Zuku, kuna Star Times, kuna DStv pita nazo mzee baba au Kama vp kuna zile muvie za kwenye flash zilizotafsiriwa unaweza kujiongeza tu

Sent from my itel W5001P using JamiiForums mobile app
 
Hili ndio tatizo la umaskini wa mawazo,na akili ndogo,baada ya AZam kuanza,sie wadau tulitaka iwe tv station inayoenda zaidi ya mipaka ya dini(za wamiriki),tulitaka iwe channel ya Kitaifa,kimataifa kwa kuwa na viwango kama citizen kenya,SABC ya south Africa,sasa hii mambo ya kutuwekea mamuvi ya kidini,kihindi,inakuwa too much,

Hata ukipanda boat za azam za kwenda Zenj,matangazo mengi yamekaa kidini dini tu,inatakiwa iwe secural,sio kuwa biased na uislam,kama ni chanel ya taasisi ya kidini,tuambieni,tuame

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli pia ukipanda mabasi ya Dar Express, utakutana na kwaya mwanzo mwenga

Back
Top Bottom