Na zile za kibongo jini akitaka kuingia ndani anavua viatu na mwisho anaombewa na mchungaji huwa hazikukeri!?Shida sio Chanel nyingine shida kwanini wanaonesha filamu zenye uislamu silamu hapo ndio tatizo Chanel zipo nyingi mpaka za kidini mule za dini zote
Ndio kipindi cha kurudi ITV, wajamaa wa Azam wana UDINI sana, sijui kwanini mnawaendekeza, warudishieni visembuzi vyao nNapenda niwatakie mfungo mwema waislam wote kipindi hiki cha Ramadhani. Ningependa kuwaongelea hawa jamaa wa Azam Tv hasa sinema zetu.
Kipindi hiki cha corona na huu mwezi mtukufu Ramadhani mmekuwa too much filamu zenu zote ni za kidini mwanzo mwisho kana kwamba kila mteja wenu ni muislam jaribu kubalance.
Mnakera.
Hawa watu ni wabinafsi sana. Ukipanda magari yanayotoka Dar kwenda Arusha,kisha hotel mkaingia inayomilikiwa na muislamu utasikia lawama safari nzima. Kisa hapauzwi pombe.Kwa mfano ukipanda Basi la kilimjaro Ni kwaya mwanzo wa safari Hadi mwisho wa safari lakini mtu hashangai kwani Kuna ajabu gani sababu mtu mjinga tu ndio atake uliza maswala Kama haya
Haya maneno yangekuwa yamesemwa na wao AzamMedia yangekuwa na maana sana ila kwa kuwa wewe mpambe ndio umesema ni upuuzi tu.Kama umekereka hamia kwingine
Hiki ndicho walitakiwa kufanya ili nikijiunga nijue kabisa nachokwenda kukutana nacho.A
Angeibadirisha kabisa chanel hiyo iitwe islamic tv watu kama nyie nilikuwa nawategemea
Ndugu zetu wanalalamika hadi wanakera... Uzuri ni kwamba tunaweza kuwavumilia... Maana tunaishi nao huko mitaani... Amani na upendo vitawale...Achana nao hao. Ni wabinafsi sana na kujiona wao ni bora kuliko wengine. Mabasi yao ya mikoani utakutana na wachungaji waganga njaa wakihubiri na kuomba sadaka. Hatujalalamika.
Ukifika mwezi wa 12 ofisi zote za serekali na mashirika ya uma utakuta yamepambwa kwa miti na maua kama makanisani. Tena kwa gharama za uma. Kwao burudani. Nchi yao.
Ijumaa ni siku ya kazi. Na ukiwa kazini ukute msimamizi ni mbinafsi,mwenye roho ya chuki kama mleta mada,hupati hata nafasi yakwenda ijumaa. Lakini j'pili wao wanapumzika. Mfumo kristo.
Tumewazoea. Hamtusumbui
Sent using Jamii Forums mobile app
Sinema zetu?Hakuna zinazoonyesha bongo movie mkuu
Kuna tatizo chief?Sinema zetu?
Sijakataa ila ingekuwa kwa chanel maalum ya hayo mamboBasi muwalaum na wafanya biashara kwmaba wasipandishe bei vitu kisa mwezi wa ramadhan sababu Sio wote waislam. Mkuu unatakiwa kujua kwamba izi ni nyakat za mfungo lazima uwajali wateja wako kwa kuweka vitu wanavyo endana navyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekuuliza Azam Wana channel ya bongo movie inaitwa sinema zetu..na yenyewe haioneshi bongo movie?Kuna tatizo chief?
Dar express imeandikwa nje na wewe umeona hiyo kupanda ni hiyari yako, kwa kuwa maandishi umeyaona kabla ya kupanda. Kuhusu kwaya unaweza kuwaambia waondoe kuna tatizo kwani?Haya mambo yasikuumize kichwa. Tuvumiliane. Mimi pia nilipanda Dar express na mlangoni imeandikwa kila goti litapigwa na ndani ilikua na kwaya na kuna wakristo walifurahia na mimi nilivumilia
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kwani huyu ni Yesu?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kusaga naye ana tumbo pia. Au mnataka afe njaa?Hata clouds nao hivyohivyo nahisi kusaga kabadili dini kweli
Hiyo sio ofisi basi itakuwa kijiwe hiko.Kwanini mnauogopa sana uislam ma kuwachukia waislam? Tukiwa huku maofisini tena ofisi za umma mnapiga nyimbo za injili, maombi ya Mwamposa kwa kutumia computer za umma au kwenye magari ya umma bila hata kuwa na eyephome au headphones ila Muislam akiweka kaswida au Qur'an mnaanza majungu. Na sisi hatutii neno!
Sent from my itel W5001P using JamiiForums mobile app
Nikiwaambia waondoe na wale wakristo walio kuwa wanafurahia kwaya watajiskia vp? Uvumilivu ni kitu muhimu sanaDar express imeandikwa nje na wewe umeona hiyo kupanda ni hiyari yako, kwa kuwa maandishi umeyaona kabla ya kupanda. Kuhusu kwaya unaweza kuwaambia waondoe kuna tatizo kwani?
Inaonyesha movie za kidiniNimekuuliza Azam Wana channel ya bongo movie inaitwa sinema zetu..na yenyewe haioneshi bongo movie?