Azam TV acheni ubaguzi kwa Wakristo

kichakaa man

JF-Expert Member
Oct 20, 2011
5,479
5,068
Nikiwa kama mdau wa michezo hasa hizi za ligi yetu na uzalendo wa Nchi yetu niliamua Kwa upendo kabisa kununua Azam Tv (Nina DStv pia) ili niweze kuburudika.

Lakin kwa masikito makubwa hii media sio mara ya kwanza kufanya hivi ila kipind hiki Azam tv wameonesha wazi wazi ubaguzi wa kuonesha hawapendi /kuheshimu Iman za wakristo.

Msimu huu wa xmass wametuoneshea dharau na ubaguzi wa wazi kabisa yaani Azam Tv Wanasahau Kama Wateja Na Watangazaji Wao Wengine Ni Wakristo Wanaogopa Kutamka na Kuandika Neno 'Christmas' azamtvtz

Mnatubagua Sisi Wateja Wenu Sababu Ya Ukristo Wetu!? Hii jambo ni la ovyo sana na baada ya hili tazama hata hizo tamthilia zao nyingi AZAM TWO zimekaa kidini katika mwelekeo wa kuponda ukristo na kutukuza dini Yao.

Na hata wafanyakazi wao huko Azam Media wapeana ajira kiubaguzi na wakristo waliopo ni wale wenye kipaji haswa yaani sio wa kubahatisha.
 
Cha ajabu ITV iliyoanzishwa na mkristo mwaka 1994, tangu ilipoanzishwa imekaa kipagani pagani tu hadi leo. Hata kurusha nyimbo za injili watu walilalamika sana ndipo wakaanza kurusha baada ya miaka mingi ya kulalamika, tena kwa nusu saa tu kwa wiki.
 
Wakristo wenzangu achanneni na hizo mambo, mtu aise kua wa Iman yako unamlazimisha vipi kukutatkia kheri kwa kitu asicho kiamini mimi akinitamkia mchungaji wangu inatosha. Tumsifu Yesu kristo
Wanajivua nguo, usitetee ujinga.

Kama wanajua watazamaji wao wana imani tofauti, hawatakiwi kuwabagua, wanachofanya ni ushamba na ubinafsi.

Vinginevyo wasiuze dikoda zao kwa wasio wa imani yao, lakini kama kwenye biashara wako tayari kupokea pesa ya yule asiye wa imani yao, lakini kwenye salamu hawataki kutoa salamu kwao, Azam ni washamba, na wasipoangalia kwa huu ujinga wao mbele ya safari utawa cost, mambo huanza taratibu.
 
Wakristo wenzangu achanneni na hizo mambo, mtu aise kua wa Iman yako unamlazimisha vipi kukutatkia kheri kwa kitu asicho kiamini mimi akinitamkia mchungaji wangu inatosha. Tumsifu Yesu kristo
Hapana huu upumbavu Azam vameanza nao zamani sana sema wakristo wajinga sana, mimi niliona tangu zamani sana na never siwezi kuwa na dish Azam wala kuangalia Azam tv never.

Azam ni wadini tena ni fedheha kuangalia Azam
 
Cha ajabu ITV iliyoanzishwa na mkristo mwaka 1994, tangu ilipoanzishwa imekaa kipagani pagani tu hadi leo. Hata kurusha nyimbo za injili watu walilalamika sana ndipo wakaanza kurusha baada ya miaka mingi ya kulalamika, tena kwa nusu saa tu kwa wiki.
Hapo unaitetea Azam au unaitafutia draw ya kimaudhui?
 
Waislamu ni wabaguzi naturally ifike hatua wakristu waachane na mambo yao yani kama wewe ni mkristu do not buy azam dish etc etc kama wao wanavyobagua na wakristo waanze kuwabagua na wakati wa sherehe zao zile wakristu jitahidini sana kutokuvaa kanzu na barakashia na hijab zao kuonyesha hatuhusudu mambo yao iwe ngoma droo wamezidi sana kujiona bora wakati hawana lolote
 
Wanajivua nguo, usitetee ujinga.

Kama wanajua watazamaji wao wana imani tofauti, hawatakiwi kuwabagua, wanachofanya ni ushamba na ubinafsi..
Kwani hao Azam walikufuata nyumbani kwako wakiwa na bunduki wakakuambia usipo nunua kingamuzi chao wata kuua?

Kuhusu kuajili unaweza kunimbia ITV na STarTV zinazo milikiwa na mkrisito mwenzio kuna waislam wangapi wameajiliwa?
 
Ndo maana Baraka Mpenja Na Paschal Kabombe wanalazimishwa waanze na salamu ya "Assalama aleko" wakiwa wanaanza kutangaza mpira
 
Back
Top Bottom