Bwana kaduga
JF-Expert Member
- Apr 18, 2018
- 864
- 1,818
Kwa hivo kwa sasa ni mwendo wa Upendo TvIla wametuwekea walau Upendo Tv ya Walutheri. Inatufariji kwa kiasi. Zaidi ya hapo, wengi tumenunua king'amuzi chao kwa ajili ya michezo ya Ligi Kuu Bara.
Sent using Jamii Forums mobile app