Kutoa jingles za Ramadhani ni kwenda mrama?Kwa hiyo wakienda mrama tukae kimya huku unalipia? kuhamisha chanel sio mwisho wa tatizo ni sawa na mwanaume kukimbia tatizo
Ukristo wako unakufundisha nini kuhusu uvumilivu wa kidini?ndio mana unashauriwa kuhamia Ting,pesa yako itaenda vizuri tu