madindigwa
JF-Expert Member
- Aug 30, 2017
- 2,498
- 2,927
Mbona ile baada ya sultan ilikua ya kikristoKituo chenu kimeanza kuwa cha kidini
Angalieni tamthiria zenu mnavyoziweka
Ifike mahali ikiwa ni ya mlengo wa kidin mtuambie tuache kufuata hii channel. Inakera sana
Angalieni sinema zenu mnaweka kupromite uislamu angalieni sultan nayo
Ukweli mnakera sana.
Hayo huwezi kuyaona
ITV
Star tv
Sent using Jamii Forums mobile app