Azam TV sio kila mteja wenu ni islamic

Azam TV sio kila mteja wenu ni islamic

Kwani hakuna channel nyingine? au umeshikiwa bunduki lazima uangalie hiyohiyo?
 
Waislam wa sasa hawana muda wa kuandamana nao ndo wanatumia mtindo huo kwa sasa
 
Ndio kipindi cha kurudi ITV, wajamaa wa Azam wana UDINI sana, sijui kwanini mnawaendekeza, warudishieni visembuzi vyao n

Hata sinema zetu kipindi hiki Azam wamezama kabisa kwenye maudhui ya dini.
Ukweli Azam ajifunze kwamba channel yake sio ya kidini.

Anatuboa sana wateja wake. Kuna channel zenyw mlengo wa kidini tunazijua lakini why yeye anaweka sultan tena zinamlengo wa kidini kabisa.
Ukweli Azam mjirekebishe
 
Kiukweli Kama muumini Sana wa Dinii nyingine king'amuzi Cha Azam kitakukera,hiyo ndio siasa yao ama Kama hauridhiki

Sent using Jamii Forums mobile app
Hawajapewa leseni ya KITUO CHAKIDINI, hapana nakukatalia na nina ushahidi, wana leseni ya habari na michexo/burudani, sasa wamezidi, yaani mimi ni muislamu sawa ila wenzangu wa kristo waliolipia mwaka mzima ni kutuangalia tu mambo yetu, ? TCRA naombeni muwe fair, tunawaonea makafiri
 
Hata sinema zetu kipindi hiki Azam wamezama kabisa kwenye maudhui ya dini.
Ukweli Azam ajifunze kwamba channel yake sio ya kidini.

Anatuboa sana wateja wake. Kuna channel zenyw mlengo wa kidini tunazijua lakini why yeye anaweka sultan tena zinamlengo wa kidini kabisa.
Ukweli Azam mjirekebishe
Sikio la kufa, hawataki kubadilika, Bakhresa anachangia sana chama na anajihisi kakalia serikali kichwani lakini mwisho wake utafika, hatiwezi kulazimisha ma-kafiri waangalie tu habari zetu
 
Hili ndio tatizo la umaskini wa mawazo,na akili ndogo,baada ya AZam kuanza,sie wadau tulitaka iwe tv station inayoenda zaidi ya mipaka ya dini(za wamiriki),tulitaka iwe channel ya Kitaifa,kimataifa kwa kuwa na viwango kama citizen kenya,SABC ya south Africa,sasa hii mambo ya kutuwekea mamuvi ya kidini,kihindi,inakuwa too much,

Hata ukipanda boat za azam za kwenda Zenj,matangazo mengi yamekaa kidini dini tu,inatakiwa iwe secural,sio kuwa biased na uislam,kama ni chanel ya taasisi ya kidini,tuambieni,tuame

Sent using Jamii Forums mobile app

Mimi ni muislamu, kuna wakati nilikuwa ninasafiri sana na bus za DAR EXPRESS, mwanzo mwisho ni kwaya wakitoa audio wanaweka video zote kwaya safari nzima, lakini wala haikuniumiza roho kwa sababu siyo mali yangu na mimi ndo nawahitaji wao. Asante kwa kunisikiliza.

NB: Tafuta cha kwako au tafuta kinachokupendeza maana option ni nyingi.
 
Mimi sio Muislamu mambo ya waislamu yanakuhusu nini wao wanaamini Mungu wao pilipili usio ila yakuwashia Nini ? waache wamwabudu Mungu wako.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
😁😁 Yaani umemwaga mchele kwenye banda ukidhani ni la kuku kumbe kuna mijibwa..
 
Guys kama kuna mtu anahitaji king'amuzi complete/full kit cha AZAM cha DISH ambacho ni kipya kabisa hakijamaliza hata mwezi na kimeshalipiwa chaneli zote kwa miezi mitatu. naomba anicheki DM tufanye biashara, kinapatikana kwa 165k (non-negotiable price)
 
Mimi ni muislamu, kuna wakati nilikuwa ninasafiri sana na bus za DAR EXPRESS, mwanzo mwisho ni kwaya wakitoa audio wanaweka video zote kwaya safari nzima, lakini wala haikuniumiza roho kwa sababu siyo mali yangu na mimi ndo nawahitaji wao. Asante kwa kunisikiliza.

NB: Tafuta cha kwako au tafuta kinachokupendeza maana option ni nyingi.
Mimi ni mkiristo mkatoliki na upenda na kuuheshimu uislamu
 
Guys kama kuna mtu anahitaji king'amuzi complete/full kit cha AZAM cha DISH ambacho ni kipya kabisa hakijamaliza hata mwezi na kimeshalipiwa chaneli zote kwa miezi mitatu. naomba anicheki DM tufanye biashara, kinapatikana kwa 165k (non-negotiable price)
WAISLAM si wabaguzi ila kuna waumini wa kiislam ni wabaguzi, so AZAM ubaguzi wake wa kutoweka kipindi cha dini ya kikristo ni alke binafsi lisihusishwe na uislam.
 
Back
Top Bottom