mbudunge
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 1,735
- 1,096
Ile ni Tv ya kidini hata watangazaji wake ni waislam kama charles hillary jina tu la kikristo ila si mkristo tena sijajua kabadili dini palepale au vp yani ni Tv ya kiislam kaulize walioomba kaz pale wakristo hupat pale labda uslim pale pale siwez kununua azam tv kamwe .Napenda niwatakie mfungo mwema waislam wote kipindi hiki cha Ramadhani. Ningependa kuwaongelea hawa jamaa wa Azam Tv hasa sinema zetu.
Kipindi hiki cha corona na huu mwezi mtukufu Ramadhani mmekuwa too much filamu zenu zote ni za kidini mwanzo mwisho kana kwamba kila mteja wenu ni muislam jaribu kubalance.
Mnakera.
Kwa mfano ni Wakristo gani hao ambao waliomba kazi lakini hawakupata kwa sababu ya Ukristo wao?!Ile ni Tv ya kidini hata watangazaji wake ni waislam kama charles hillary jina tu la kikristo ila si mkristo tena sijajua kabadili dini palepale au vp yani ni Tv ya kiislam kaulize walioomba kaz pale wakristo hupat pale labda uslim pale pale siwez kununua azam tv kamwe .
Sent using Jamii Forums mobile app
Tena usikute "wife" mwenyewe ni wale wa backup... wanawaleta kulea watoto, wanawageuza wake zao!!Mkuu haya malalamiko ni ya kwako au umetumwa na wife?
Kichwa cha familia unakaa sebuleni unaangalia sinema zetu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Tido Muhando, Ivona Kamuntu hawa nao waislam?Ile ni Tv ya kidini hata watangazaji wake ni waislam kama charles hillary jina tu la kikristo ila si mkristo tena sijajua kabadili dini palepale au vp yani ni Tv ya kiislam kaulize walioomba kaz pale wakristo hupat pale labda uslim pale pale siwez kununua azam tv kamwe .
Sent using Jamii Forums mobile app
Aise, yaani inakushinda subira ya mwezi mmoja tu?Napenda niwatakie mfungo mwema waislam wote kipindi hiki cha Ramadhani. Ningependa kuwaongelea hawa jamaa wa Azam Tv hasa sinema zetu.
Kipindi hiki cha corona na huu mwezi mtukufu Ramadhani mmekuwa too much filamu zenu zote ni za kidini mwanzo mwisho kana kwamba kila mteja wenu ni muislam jaribu kubalance.
Mnakera.
Hii Phobia usipoidhibiti unaweza kupata kiungulia suguKipindi hiki cha corona na huu mwezi mtukufu Ramadhani mmekuwa too much filamu zenu zote ni za kidini mwanzo mwisho kana kwamba kila mteja wenu ni muislam jaribu kubalance.
Mnakera.
Mbona ikifika Christmas season machannel mengi uonyesha masuala ya christmas?Napenda niwatakie mfungo mwema waislam wote kipindi hiki cha Ramadhani. Ningependa kuwaongelea hawa jamaa wa Azam Tv hasa sinema zetu.
Kipindi hiki cha corona na huu mwezi mtukufu Ramadhani mmekuwa too much filamu zenu zote ni za kidini mwanzo mwisho kana kwamba kila mteja wenu ni muislam jaribu kubalance.
Mnakera.
Acha kupotosha wewe... Sultan ni historical drama na wala sio kwamba eti ina maudhui ya Kiislamu!Ni kweli maudhui makuu ya tamthilia ya sultani ni kulingania dini ya kiislam na kuonyesha umma kwamba imani hiyo ni suprime over all others including Jewish and christianity
Kama ni channel ya dini sawa ila kama sio sawa, labda uniambie sinema zetu ni chanel ya dini?Mbona ikifika Christmas season machannel mengi uonyesha masuala ya christmas?
Mbona redio nyingi hupiga nyimbo za gospel za akina joel luaga, goodlucky gosbert na wengine wengi tena vipindi visivyo vya dini wenzetu hawa uwa hawalalamiki? Uliwahi waza ingekuwaje wangekuwa wakipiga kaswida?
Kwa hiyo wakienda mrama tukae kimya huku unalipia? kuhamisha chanel sio mwisho wa tatizo ni sawa na mwanaume kukimbia tatizoHii Phobia usipoidhibiti unaweza kupata kiungulia sugu
Mwezi mmoja tu unashindwa kuwavumilia wenzio?kama mimi ningekua wewe,ningehamisha channel au kuacha king'amuzi chao
Kwanini niwe na subira kwa kitu ambacho hakihitaji subira kwani sinema zetu ni chanel ya kidini?Aise, yaani inakushinda subira ya mwezi mmoja tu?
Very sorry kusema kwamba Wakati unanunua king'amuzi utakuwa hukufanya tathmini ya kile unachonunua.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo sikulifaham kabla asante sana mkuu kwa kunijuzaIle ni Tv ya kidini hata watangazaji wake ni waislam kama charles hillary jina tu la kikristo ila si mkristo tena sijajua kabadili dini palepale au vp yani ni Tv ya kiislam kaulize walioomba kaz pale wakristo hupat pale labda uslim pale pale siwez kununua azam tv kamwe .
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona hata humu wapo hao wataoa huduma na ujumbe wameupata au hujui JF ndio chanzo cha taarifa nyingi kwenye media zetu?Kama una kingg'amuzi zaidi ya kimoja tatizo lako liko wapi? Pengine hawa jamaa wamefanya survey na kukuta wateja wao wa ukanda wote wa pwani ya afrika mashariki kipindi hiki wanapenda programs ambazo zinarushwa hewani??
Hata hivyo, ingekuwa busara zaidi kuwaandikia hao watoa huduma kuhusu hilo.
hata Mimi hushangaa kipindi cha kwaresma huwezi kuona movie ya yesuA
Angeibadirisha kabisa chanel hiyo iitwe islamic tv watu kama nyie nilikuwa nawategemea
Hayo yote nayajua ila wakienda kinyume lazima waambiwe ile sio channel ya kidini na issue sio imani ya mtu issue wanaleta udini sehemu isiyo sahihiTANZANIA kuna vingamuzi sita. Wewe nunua Ting au continental kama dini yako ni ya kiasili otherwise funga DStv uangalie mpira. Azam wako vile wakitegemea wateja wao ndio wanachokipenda.
Napenda niwatakie mfungo mwema waislam wote kipindi hiki cha Ramadhani. Ningependa kuwaongelea hawa jamaa wa Azam Tv hasa sinema zetu.
Kipindi hiki cha corona na huu mwezi mtukufu Ramadhani mmekuwa too much filamu zenu zote ni za kidini mwanzo mwisho kana kwamba kila mteja wenu ni muislam jaribu kubalance.
Mnakera.