zote zinawakilisha vyema dhana ya "mzee mwanakijiji" tofauti ile ya mwanzo inaonyesha kule kijijini we ni mtu wa kada ya chini na mkulima wa kawaida mwenye busara na upeo mpana wa maisha ya kale na ya kisasa. hii ya sasa inaomesha upeo mkubwa na busara nyingi lakini inawakilisha mzee wa kada ya juu kule vijijini, kada ya watawala.
si vizuri kubadilibadili avatar hasa kwa sababu ilishakuwa utambulisho wako"brand" ila kama nimuhimu ungetoa taarifa mapema kuwaandaa wasomaji wa makala zako.
naamini wewe ni mwanahabari, hivyo kwako uandishi wabari na makala si tu interest, bali pia kazi/biashara. nakushauri utengeneze brand mage na itakusaidia sana kukurahisishia hsughuli za masoko. unaweza kuamua kuendelea na hii, lakini ile ya mwanzo uliijenga kwa kipindi kirefu (miaka minne kama ulivyosema kwenye thread ya jana), hivyo ili na hii ipate plurality sawa na ile, huenda nayo itahitaji safari ya miaka minne au zaidi kutegemea how active you will be in these years ukilinganisaha na ulivyokuwa miaka minne iliyopita.
ushauri wangu ni kuwa uko huru lakini kama ile ya mwanzo haikwa na tatizo, nakishauri uiimarishe zaidi, yaani hata kule kwenye blog yako unaweza ukaifanyia utundu wa IT ikaonekana kama backgorund ili kwe na utambilisho kwa yeyote anayefungua tu kuwa kaingia kijijini rasmi.
ile ilikuweka kwenye lower profile comparatively na hivyo kukufanya u-argue successifuly with peolple from all cadres, hta hii haitakuwekea barriers, lakini people will need time to leard and experence the similr feelings
ni hayo tu mkuu