Avatar ipi mnaipenda?

Ni Avatar gani Mwanakijiji aitumie?

  • Napenda ya mzee mwenye Jembe (ya zamani)

    Votes: 52 59.1%
  • Napenda ya mzee mwenye mkwaju (mpya)

    Votes: 35 39.8%
  • Asitumie Avatar yoyote

    Votes: 1 1.1%

  • Total voters
    88

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,463
39,929
Naona kuupgrade avatar yangu kumewakwaza wengine kidogo; wapo wanapenda niendelee na ile ya jembe la mkulima (black and white) na wengine wanapenda hii mpya ya mkwaju (ya rangi). Sasa sijui wapiga kura mnasema niendelee na hii mpya watu wataizoea au nirudie ile ya zamani ambayo kama mmoja alivyosema ni "brand image"..
 
Hongera Mwanakijiji Avatari Mpya yako nimeipenda kwa sababu zifutazo:

1. Ile ya Jembe najua sasa imekuchosha sana na mbaya zaidi huendi kulima.
2. Hii ya sasa inaonyesha kuwa wewe bado ni Mwanakijiji lakini Pia ni
Mwanabaraza.
3. Hii ya sasa ina rangi na hivyo kukufanya uendane na wakati.
 
hii ya sasa ndio chombo...ile ya zamani inaonekana kama ya 1910
 
Mi naizimia ile ya zamani inaonyesha kweli ni mzee wa shambani kabisa.
 
Naona kuupgrade avatar yangu kumewakwaza wengine kidogo; wapo wanapenda niendelee na ile ya jembe la mkulima (black and white) na wengine wanapenda hii mpya ya mkwaju (ya rangi). Sasa sijui wapiga kura mnasema niendelee na hii mpya watu wataizoea au nirudie ile ya zamani ambayo kama mmoja alivyosema ni "brand image"..

Naomba urudishe ile ya zamani. Inanikumbusha shujaa wangu Mwl Julius Kambarage Nyerere na kunipa ujasiri. RIP Mwalimu.
 
Mimi niko njiapanda...zote mbili ni nzuri ajabu kutokana na wengi wetu tunavyokudhania UKO(naongelea hekima)!...

Lakini ingekuwa ndo nimebanwa saaana ningechagua hii ya sasa itumike!
 
Naomba urudishe ile ya zamani. Inanikumbusha shujaa wangu Mwl Julius Kambarage Nyerere na kunipa ujasiri. RIP Mwalimu.

Gonga kura yako hapo juu inaonyesha bado hujagonga mbona kura haziongezeki toka nigonge mm kura yangu ndo hiyo hiyo. Mpwa gonga hapo juu mm naipenda sana ile avatar ya zamani ilikuwa inaendana na jina la muhusika. Huyu wa sasa ni Mzee kimjini na anaonekana wa kimjini mjini zaidi.
 
Mzee irudishe ile ya zamani mkuu.
hata hii mpya haijapoteza maana (ya mzee Mwanakijiji) lakini ile imezoeleka sana.
Binafsi nitaimiss.
 
mm naipenda hii ya sasa maana inaonyesha ni mzee mkulima but msafi sana kwakweli anapendeza
 
zote zinawakilisha vyema dhana ya "mzee mwanakijiji" tofauti ile ya mwanzo inaonyesha kule kijijini we ni mtu wa kada ya chini na mkulima wa kawaida mwenye busara na upeo mpana wa maisha ya kale na ya kisasa. hii ya sasa inaomesha upeo mkubwa na busara nyingi lakini inawakilisha mzee wa kada ya juu kule vijijini, kada ya watawala.

si vizuri kubadilibadili avatar hasa kwa sababu ilishakuwa utambulisho wako"brand" ila kama nimuhimu ungetoa taarifa mapema kuwaandaa wasomaji wa makala zako.

naamini wewe ni mwanahabari, hivyo kwako uandishi wabari na makala si tu interest, bali pia kazi/biashara. nakushauri utengeneze brand mage na itakusaidia sana kukurahisishia hsughuli za masoko. unaweza kuamua kuendelea na hii, lakini ile ya mwanzo uliijenga kwa kipindi kirefu (miaka minne kama ulivyosema kwenye thread ya jana), hivyo ili na hii ipate plurality sawa na ile, huenda nayo itahitaji safari ya miaka minne au zaidi kutegemea how active you will be in these years ukilinganisaha na ulivyokuwa miaka minne iliyopita.

ushauri wangu ni kuwa uko huru lakini kama ile ya mwanzo haikwa na tatizo, nakishauri uiimarishe zaidi, yaani hata kule kwenye blog yako unaweza ukaifanyia utundu wa IT ikaonekana kama backgorund ili kwe na utambilisho kwa yeyote anayefungua tu kuwa kaingia kijijini rasmi.

ile ilikuweka kwenye lower profile comparatively na hivyo kukufanya u-argue successifuly with peolple from all cadres, hta hii haitakuwekea barriers, lakini people will need time to leard and experence the similr feelings

ni hayo tu mkuu
 
hata mimi nilipoona hii mpya nilifadhaika kidogo nikataka kukoment ila nikaona ni uamuzi wako tu. ya zamani ina hadhi zaidi. irudishe
 
Ile ya kwanza ni nzuri unaonekana mzee makini sana kwenye mambo ya kilimo kwanza ...hofu lile jembo labda limekuchosaha begani
55% ya kwanza
45% ya pili
 
zote zinawakilisha vyema dhana ya "mzee mwanakijiji" tofauti ile ya mwanzo inaonyesha kule kijijini we ni mtu wa kada ya chini na mkulima wa kawaida mwenye busara na upeo mpana wa maisha ya kale na ya kisasa. hii ya sasa inaomesha upeo mkubwa na busara nyingi lakini inawakilisha mzee wa kada ya juu kule vijijini, kada ya watawala.

Hili ndo neno sasa ile ya zamani inaonyesha uhasilia kabisa wa kijijini na inaonyesha ni mkulima mm binafsi naizimia sana ile na inanikumbusha mzee mmoja alikuwa anagema ulanzi story zote za siasa tulikuwa tunapata kwake na alikuwa anajua sana viongozi wa nchi akitupiga na ulanzi jioni huku yeye akiongoza paneli huku mnashushia na ulanzi pembeni kuna viazi vya kuchoma kwa kweli ilikuwa ni jioni nzuri sana. Naipenda sana ile ya zamani inanikumbusha mengi ya kujifunza.
 
Naona kuupgrade avatar yangu kumewakwaza wengine kidogo; wapo wanapenda niendelee na ile ya jembe la mkulima (black and white) na wengine wanapenda hii mpya ya mkwaju (ya rangi). Sasa sijui wapiga kura mnasema niendelee na hii mpya watu wataizoea au nirudie ile ya zamani ambayo kama mmoja alivyosema ni "brand image"..

mwanakijiji jasiri, lakini naona sasa asili inakuchosha!!! unataka kutupa jembe? baadaye utatamani uvae suti!.......acha na hii avatar mpya, rudi kwenye asili yetu na maumivu ya kweli ya mkulima, au mwenzetu umeshapata kazi ya kulinda BOT? maana umebadilika na kunona!.....mimi nna wasiwasi, huenda msimamo wako umeanza kuathirika. Kura nimeshapiga, inaruhusiwa kupiga zaidi ya mara moja?
 
Hili ndo neno sasa ile ya zamani inaonyesha uhasilia kabisa wa kijijini na inaonyesha ni mkulima mm binafsi naizimia sana ile na inanikumbusha mzee mmoja alikuwa anagema ulanzi story zote za siasa tulikuwa tunapata kwake na alikuwa anajua sana viongozi wa nchi akitupiga na ulanzi jioni huku yeye akiongoza paneli huku mnashushia na ulanzi pembeni kuna viazi vya kuchoma kwa kweli ilikuwa ni jioni nzuri sana. Naipenda sana ile ya zamani inanikumbusha mengi ya kujifunza.
Isitoshe wazee wa zamani walikuwa majasiri na wazalendo kuliko wazee wa sasa. Linganisha kina Kingunge, Malecela na wenzao na kina Mkwawa, Kinjekitile na wenzao. Wazee wa siku hizi ni ving'ang'anizi vya madaraka na mafisadi wakubwa. heri avatar inayowakilisha wazee wa zamani walioupigania uafrika na uhuru wa waafrika.
 
Mzee Mwanakijiji Mimi naipenda ile ya Zamani ile ambayo ulikuwa unasokota sijui Bangi au Tumbaku nataka niianzishie Thread Kushinikiza uiweke japo kwa siku moja

Naipenda ile kuliko hizi Mbili
 
Isitoshe wazee wa zamani walikuwa majasiri na wazalendo kuliko wazee wa sasa. Linganisha kina Kingunge, Malecela na wenzao na kina Mkwawa, Kinjekitile na wenzao. Wazee wa siku hizi ni ving'ang'anizi vya madaraka na mafisadi wakubwa. heri avatar inayowakilisha wazee wa zamani walioupigania uafrika na uhuru wa waafrika.

Kweli mkuu wazee wa zamani wana busara zao hawa wazee wa kisasa wamekaa kisasa mno hata mawazo yao sometimes sio ya busara ndo maana ukitokea ugomvi mkubwa wanakimbiliwa wazee wa zamani kusuruhisha kama akina mzee Madiba enzi hizo akina mzee Julius.
 
ile ilikuweka kwenye lower profile comparatively na hivyo kukufanya u-argue successifuly with peolple from all cadres, hta hii haitakuwekea barriers, lakini people will need time to leard and experence the similr feelings
Tupo pamoja sana hapo mkuu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom