Seif Mselem
Senior Member
- Oct 16, 2023
- 123
- 189
Kama umekuwa ukitafuta Mbinu ya kutawala Soko La biashara yako ili uweze Kuuza zaidi basi Soma hiki…
.
Kilichofanywa na hawa “Milk Duds” huko Nchini…
.
Marekani!
.
ILA…
.
Kabla Sijakwambia Chochote naomba kwanza Nikurudishe nyuma Kidogo…
.
…Miaka ya 1920’s nchini Marekani…
.
Ramsi ilitambulishwa bidhaa Mpya ya Pipi ijulikanayo kama…
.
“Milk Duds”
.
Na…
.
Kwa muda mfupi Tu Milk Duds ilijitengenezea Sifa ya kuwa kama ni…“PIPI za Movie”
.
(Candy Movie)!
.
Yaani…
.
Kipindi watu Wakienda kucheki Movie walikuwa wakizitumia kama Ilivyo kwa huku kwetu…Popcorn!
.
Na…zilikuwa Zinakuja na tu box twake Kabisa twenye rangi ya Njano na brown…
.
Kwahiyo…vijana wengi wa Miaka hiyo ziliwavutia sana!
.
Na…ilikuwa ni BRAND ukionekana unakula hizo Pipi!
.
Basi bhana…
.
Baada ya muda Kampuni ilipanga kutanua Soko lake ili Iweze kumfikia kila Kijana pale Marekani…
.
Na…
.
Kama nyie Wataalamu Mnavyosema kwamba…
.
Ukitaka kufanya “POSITIONING” Sokoni kitu cha kwanza Unaanza kuangalia kwenye…
.
AKILI ya Mteja!
.
Kwasababu…kabla Hujaanzisha Soko lako Kichwani kwa Mteja tayari kuna Washindani zako waliowahi mapema Washachukua nafasi hiyo…
.
Kwahiyo…ili Mteja aweze kumsahau Mshindani wako basi Inabidi ujue kitu gani Kinakosa kwenye Akili yake then Wewe ndio Unatembea nacho…
.
Na…
.
Hapo ndipo Milk Duds walipoanza Kujiuliza swali hili ambalo 99% ya Wajasiliamali wengi huwa Hawajiulizi kabla ya Kuingia Sokoni…
.
Unajua ni Swali Gani Hilo?..
.
Okay…
.
Angalia Hapa Chini…
.
Walijiuliza…
.
“Nani ni Mteja wa Pipi za Milk Duds?”
.
Na…
.
Majibu yakaja kwamba SIO Mtoto mdogo kabisa Asijyejua chochote Kuhusu pipi bali ni…Kijana mdogo ambaye ameshatembelea Maduka ya Pipi za ya mara Kumi Akitafuta Pipi nzuri…
.
Yaani…mteja wa Milk Duds ni kijana mdogo mwenye Umri kati ya miaka 10 hadi 19…
.
Amabaye anakuwa na Tahadhari na Mashaka pindi anaponunua Pipi zake…
.
Kwahiyo Kampuni ya Milk Duds tayari Ilikuwa ishamjua…Mteja waje Mtarajiwa!
.
Kitaalamu Anaitwa… “Dream Buyer Avatar”
.
(Huu ni UZI wa Siku Ingine wa Jinsi ya Kumjua Mteja wako Mtarajiwa)!
.
Na…
.
…hata Ungeenda kumuuliza Kijana mdogo juu ya Pipi za Milk Buds basi Asingekuwa anazijua…
.
Kwasababu…tayari kulikuwa na Kampuni zingine kubwa na zinazofanya Vizuri Zaidi ya hiyo kwa Kipindi hicho…
.
Mfano… Almond Joys, Hersheys, Mounds, Reeses, Snickers n.k
.
Kwahiyo…walikuwa hawawezi Kushindana na Brand kubwa kama hizo hasa Linapokuja kwenye swala la Matangao…
.
Milk Duds walikuwa na Budget ndogo ukilinganisha na Washindani zake…
.
Kwahiyo…
.
Njia pekee iliyobaki ya kuiweka Milk Duds kwenye AKILI ya wale Vijana ilikuwa ni Kufanya kitu Kinaitwa…
.
“RE-POSITIONING”
.
Okay… Nini maana ya Re-Positioning?..
.
Unaweza Kujiuliza…
.
Okay… Angalia Maana yake hapa Chini…
.
Re-Positioning ni…ile hali Jinsi biashara Inavyobadilisha nafasi ya BRAND yake Sokoni huku ikiendelea Kudumisha Utambulisho wake kama kawaida…
.
Yaani…
.
Badala ya kubadilisha Jina la Biashara yako kabisa na kuja na Kitu Kipya…wewe Unabadili…
.
Jinsi bidhaa yako Inavyotengenezwa…
.
Unabadili Bei ya bidhaa yako Sokoni…
.
Unabadili Location ulipokuwa Unafanyia kazi…
.
Jinsi unavyotangaza Bidhaa au Huduma yako…
.
n.k…
.
Mfano…
.
Badala ya kutangaza Nafasi za shule kwa Mazazi una Tangaza kwa Mtoto ili mtoto akamshawishi Mzazi kumpeleka hiyo shule…
.
Kwa mtu ambaye anauza Midoli na Vitu vya Watoto atakuwa kishanielewa kwasababu…
.
Kwenye hilo Soko huwa Hatumtangazii Mzazi…bali Unamtangazia mtoto (Mlengwa) ili akamshawishi Mzazi amnunulie hicho Kitu…
.
Kwenye Advertisement Huwa Tunasema… “You Change an Ads Angle”
.
Kwahiyo…
.
Kwenye Repositioning huwa…Tunabadili ile “PERCEPTION” kwa Wateja wetu ila Biashara inabakia kuwa ile ile…
.
Mfano mzuri Ukiona…bidhaa/huduma Imebadilishwa Package au Bei yake jua wanafanya Repositioning…
.
Hii unaweza Kuiona haraka kwenye Vinywaji vingi hasa hasa hapa Bongo…
.
Kwahiyo…
.
Milk Duds na wao waliamua kufanya Kitu…unajua Walifanya Kitu gani?..
.
Kwasababu…
.
Kulikuwa na udhaifu kutoka kwa Watengenezaji wengine wa Pipi kwamba…Pipi nyingi zilikuwa zina…
.
Size Ndogo na Shape mbaya…huku Mdomoni hazichukui hata Sek 2.3 zinakuwa zimeisha…Milk Duds walijua hili Litakuwa ni Gap la wao kupitia…
.
Na…
.
Hapo ndipo Kampuni ya Pipi za Milk Duds ilipoamua kuja na…
.
Pipi ambazo zinafungwa kwenye ki Box kidogo badala ya package ya Karatasi na zenye Size kubwa na Shape ya Duara ambazo mtumiaji anaweza Kuzimumunya kwa Muda Mrefu!
.
Guess What Happened to the Market…
.
FINITOOOO!
.
Na…
.
Huo ndio ukawa Mwazo wa hizo Pipi kuwepo hadi Leo hii…
.
Kwahiyo…
.
Unaweza ukaona ni Jinsi gani ukifanya “Repositioning” unaweza Kuwaliza Washindani zako…
.
Na…
.
Ukitaka kuona hiki Kitu kwa Uzuri Zaidi…Angalia hizi JOJO Kubwa za mia mia Zilivyolifanya Soko La…
.
BIG G hapa Bongo…zile Big G ndogo Sizioni kabisa Sikuizi…

.
Kwahiyo…
.
Kazi imebaki kwako ya Kwenda kumnyoosha Mshindani wako…Au Sio?
.
Hahahaaa…
.
Anyway…
.
I Hope Umejifunza Kitu Kipya…
.
Uwe na Jumatatu NJEMA Mpambanaji Mwenzangu.
.
Gracias…