maishapopote
JF-Expert Member
- May 28, 2009
- 3,505
- 6,441
ile ya zamani imekee kiukweli kabisa...hi sijaipenda kabisa halaf ile ukiingalia kwa makini inashabihiana na mzee mwanakijiji kiukweli lkn hii walaaa
Mzee Mwanakijiji Mimi naipenda ile ya Zamani ile ambayo ulikuwa unasokota sijui Bangi au Tumbaku nataka niianzishie Thread Kushinikiza uiweke japo kwa siku moja
Naipenda ile kuliko hizi Mbili
umenikumbusha ile ya original yenyewe!!
acha hii bana
yaani niikona naimajini ulivyo!
lile jembe halina dili mbolea ya ruzuku si ndo hii wameiba yote,
hahahaaaa,Avatar ya zamani ni nzuri sana na naipenda.
Hii ya sasa siipendi tu!