Keyboard_Warrior
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 6,327
- 11,026
Sawa, vipi unakubaliana na uwepo wa atoms?Binadamu hawaumbwi na wala hawakuumbwa.
Binadamu hawa evolve.
Binadamu ni kiumbe kamili kinacho zaliana chenyewe.
Katika upande wa Physics!
Sawa, vipi unakubaliana na uwepo wa atoms?Binadamu hawaumbwi na wala hawakuumbwa.
Binadamu hawa evolve.
Binadamu ni kiumbe kamili kinacho zaliana chenyewe.
Ndio.Sawa, vipi unakubaliana na uwepo wa atoms?
Katika upande wa Physics!
Unakubaliana na fact kwamba kila kitu kilichopo kimetengenezwa na atoms?Je ni lazima Dunia iwe na origin?
Okay, nini maana ya atom?Ndio.
Hapana.Unakubaliana na fact kwamba kila kitu kilichopo kimetengenezwa na atoms?
Kinachokufanya uamini kama ina origin, ndo kinachomfanya asiamini katika origin hiyo. Maana utakuwa umelishwa matango hivo, na yeye ana yake hivo.Sawa, so...what is the origin of earth sir!?
Jibu unalo na unajua definition ya atom ya ni ipi.Okay, nini maana ya atom?
Definition.
Kwani mkuu, uwepo wa atom na uwepo wa mungu, si yale yale? Si vitu watu tu wamefoji ili kuweza kufanikisha vingine!??Sawa, vipi unakubaliana na uwepo wa atoms?
Katika upande wa Physics!
WTF!?Hapana.
Giza halina atoms.
And darkness exists.
Ooooh lord!!!Kwani mkuu, uwepo wa atom na uwepo wa mungu, si yale yale? Si vitu watu tu wamefoji ili kuweza kufanikisha vingine!??
Ulisema kwamba, Je nakubaliana kwamba kila kitu kilichopo kimetengenezwa kwa Atoms?WTF!?
😂😂😂
Darkness is not matter, darkness is the absence of light!!!
This is O'level Physics mkongwe!!!
Hapa mimi namlaumu Kiranga, na pengine mzee wa watu hata ajui kama ametengeneza mtu wa aina yako hapa jukwaani.
Hauamini katika dini, haukubaliani na science!
Bila shaka wewe ni flat earther pia.
Sasa unaenda wapi? Kama mada ni kubishana, unajua huenda mwisho wa siku ukamconvince mtu akaelewa. Unaweza kuta hatuamini tusichokijua, na ukatuaminisha 😀 😀 😀 😀 😀 .Ooooh lord!!!
😂😂😂😂
Nyie watu mnawezana wenyewe!
Kwaherini aisee!!!
Darkness is not a thing brother!Ulisema kwamba, Je nakubaliana kwamba kila kitu kilichopo kimetengenezwa kwa Atoms?
Nikakujibu hapana.
Kwa sababu Giza halijatengenezwa kwa Atoms.
Swali lako lime generalize kila kitu, Badala ya kuwa specific.
Darkness exists, Sasa unaposema "kila kitu" unajumuisha hadi na visivyo tengenezwa na Atoms, kama giza.
You have to be specific.
Ok sawa.Darkness is not a thing brother!
Giza sio kitu, giza ni hali ya kutokuwa na mwanga.
Ili nijibu hili swali, inategemea wewe upo upande gani?Ok sawa.
Sasa turudi kwenye origin. Kama ulivyokuwa umeuliza mwanzo.
Kama kila kitu kilichopo lazima kiwe na origin, Je origin ya origin ya kila kitu ni nini?
Kwa nini unataka niwe na upande?Ili nijibu hili swali, inategemea wewe upo upande gani?
Upo upande wa sayansi au dini?
Vipi nachangan'ya Adam na Hawa si ndoo tunakufamisha ki elimu ili upate akili hahaha, maisha yote duniani yalitoka kwa babu mmoja linaungwa mkono na mistari mingi ya ushahidi kutoka kwa taaluma mbalimbali za kisayansi. Hapa kuna mambo muhimu yanayochangia uelewa huu. MfanoUnachanganya habari za "Adamu na Hawa" ambazo ni imani za kidini za kusadikika na Genetics ambayo ni sayansi yenye facts.
Sayansi na imani haviwezi kukaa pamoja.
Huwezi kuchanganya habari za "Adamu & Hawa" na Genetics.
Unafanya Logical fallacy ya non-sequitur.
Una unganisha vitu viwili tofauti visivyo na uhusiano wowote ule kuunda hitimisho potofu.
Kwanza hakuna uthibitisho wenye uhakika kwamba Adamu alikuwepo. Sanasana ni stori za kwenye Biblia tu ndizo zinamwelezea Adamu.
Kwa hiyo habari za Adamu bado hazijitoshelezi na hazina uthibitisho wenye uhakika
Kwa hiyo huwezi kusema kwamba wanadamu wote tumetoka kwa Adamu bila kuwa na uhakika na uthibitisho wa uwepo wa huyo Adamu mwenyewe.
Kwenye Genetics variation sawa.
Lakini habari za Adamu hazina ukweli wala uthibitisho wowote ule.
Sanasana ni hadithi za kwenye hekaya za Biblia tu.
Ukisema kwamba wanadamu wote tumetoka kwa Adamu kwa vile ndivyo Biblia yako ilivyokwambia, Hata mwislamu atakwambia wanadamu wote tumetoka kwa Allah kwa vile ndivyo Quran yake inavyomwambia.
Sasa hapo hakuna ukweli wenye uhakika zaidi ni imani za vitabuni tu, Zisizo na uthibitisho wowote ule.
Science ni logic, haupo kwenye logic kwenye mkongwe.Kwa nini unataka niwe na upande?
Kwa nini unataka kunipa majibu kutoka kwenye hizi pande mbili tu?
Mimi sihitaji kuwa na upande wowote.
Natumia logic tu.
Kama kila kitu kilichopo lazima kiwe na origin, Je hiyo origin ya kila kitu, origin yake ni ipi?
Au hiyo origin ya kila kitu, ilitokea tu from nowhere?
Aisay huyo nilisha msoma hana analo lijua ni ubishi tuWTF!?
😂😂😂
Darkness is not matter, darkness is the absence of light!!!
This is O'level Physics mkongwe!!!
Hapa mimi namlaumu Kiranga, na pengine mzee wa watu hata ajui kama ametengeneza mtu wa aina yako hapa jukwaani.
Hauamini katika dini, haukubaliani na science!
Bila shaka wewe ni flat earther pia.
Nakuuliza hivi 👇Science ni logic, haupo kwenye logic kwenye mkongwe.
Wewe upo sehemu nyingine kabisa.